Duka la dawa za Asili

Duka la dawa za Asili Page hii imeuzwa kwa mtu binafsi kwa matumizi ya Kutangaza biashara na huduma chini ya mkataba namba 689784/5873 kwa $ 456 . 09 kwa mwaka

We are Trust and Transparent Organ with non-government we promote free and freedom to refund your life with cheapest Micro-fund direct through mobile.

Habari za majukumu!Leo nipo  mbele yenu kuzungumzia kiungo tunachokifahamu sote, kiungo ambacho mara nyingi tunakichukul...
05/20/2026

Habari za majukumu!

Leo nipo mbele yenu kuzungumzia kiungo tunachokifahamu sote, kiungo ambacho mara nyingi tunakichukulia k**a tunda la kawaida au kichocheo cha ladha kwenye uji na juisi zetu. Tunda hili si jingine bali ni Ukwaju. Lakini leo, siji kuongelea ladha yake ya ukali na ukwasi; nipo hapa kuwaeleza siri kubwa ya kitatibu iliyofichwa ndani ya tunda hili na majani yake—hususan katika kulinda na kutibu kiwanda kikuu cha miili yetu, nacho ni Ini.

Ndugu zangu, ini ndilo linalochuja sumu zote tunazokula, tunazokunywa, na kupumua. Maisha ya sasa yamejaa vyakula vya mafuta na kemikali, jambo linalofanya ini kuchoka na kushambuliwa na magonjwa k**a Fatty Liver (mafuta yaliyozidi kwenye ini) na hata Cirrhosis (ini kusinyaa na kulemaa).

Je, ukwaju unaingiaje hapa k**a tiba?

Kwanza kabisa, Ukwaju ni "Mfagio" wa Mafuta Kwenye Ini.
Tafiti za kisayansi zinaonyesha kuwa ukwaju una tindikali asilia na viondoa-sumu (antioxidants) vyenye nguvu, k**a vile polyphenols na flavonoids. Kemikali hizi zina uwezo wa ajabu wa kuyeyusha mrundikano wa mafuta mabaya yanayoganda kwenye seli za ini. Unapokunywa ukwaju, unasaidia ini lako kujisafisha na kupunguza mzigo wa mafuta unaoweza kulisababishia majeraha.

Pili, Ukwaju unarekebisha na Kulinda Seli za Ini Zilizoharibika.
Ini linaposhambuliwa na sumu au pombe, seli zake huanza kufa na kutengeneza makovu. Majani na nyama ya ukwaju yana uwezo wa kuchochea utengenezajiji wa vimeng'enya (enzymes) asilia vya mwili vinavyolinda ini. Kinga hii inazuia uharibifu zaidi wa seli na kulipa ini nafasi ya kujikarabati lenyewe.

Sasa, tunautumiaje ukwaju k**a tiba?
Njia ni rahisi sana na iko ndani ya uwezo wetu:

K**a Juisi ya Tiba: Chukua nyama ya ukwaju uliokomaa, roweka kwenye maji ya moto kwa dakika 15 hadi 20. Uchuje vizuri kupata rojo yake. Kunywa glasi moja asubuhi na jioni. Siri kubwa: Ili iwe tiba ya ini, usiekee sukari! Sukari itarudisha nyuma kazi ya ini. Unaweza kuweka asali kidogo au kunywa hivyo hivyo na ukali wake unaochangamsha.

Chai ya Majani ya Ukwaju: Chemsha majani mabichi na machanga ya ukwaju kwenye maji safi. Kunywa kikombe kimoja kila siku. Chai hii ni msaada mkubwa katika kushusha joto la ini na kuondoa sumu za ndani.

Ndugu zangu, nimalizie kwa kusema hivi:
Asili imetupa majibu ya magonjwa mengi yanayotugharimu mamilioni ya pesa hospitalini. Ukwaju ni daktari wa bei rahisi aliyepo sokoni kwetu. Tuuthamini, tuutumie kwa ugonjwa wa ini, lakini pia tusiache kupata ushauri wa madaktari wetu wa hospitalini ili kupima na kujua maendeleo ya afya zetu.

Asanteni sana kwa kunisikiliza!
KWA HUDUMA YA AFYA NA UZAZI WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0678525653

Ndugu zangu, habari za uzima!Leo nimesimama mbele yenu kuzungumzia ugonjwa unaozidi kutishia afya na ustawi wa jamii yet...
05/18/2026

Ndugu zangu, habari za uzima!

Leo nimesimama mbele yenu kuzungumzia ugonjwa unaozidi kutishia afya na ustawi wa jamii yetu duniani kote—ugonjwa wa Kisukari cha Aina ya Pili (Type 2 Diabetes).

Kwa ufupi, huu ni ugonjwa unaotokea pale ambapo miili yetu inashindwa kuzalisha au kutumia vizuri homoni muhimu inayoitwa insulin. Kazi ya insulin ni k**a ufunguo unaofungua milango ya seli ili sukari itoke kwenye damu na kuingia mwilini kuzalisha nguvu. Huu ufunguo usipofanya kazi, milango inafungwa, na matokeo yake sukari inarundikana kwa wingi kupita kiasi kwenye damu, jambo linaloleta madhara makubwa kwenye macho, figo, na mishipa ya fahamu.

Mdalasini: Silaha ya Asili Kwenye Kabati Lako la Jikoni
Lakini habari njema ni kwamba, asili haijatuacha mkono. Katika mapambano haya, tuna msaidizi mkubwa sana ambaye wengi wetu tunaye jikoni k**a kiungo cha pilau au chai—naye si mwingine bali ni Mdalasini (Cinnamon).

Tafiti za kisayansi zilizofanywa duniani kote zinathibitisha kuwa mdalasini una maajabu makubwa katika kudhibiti kisukari:

Kuiga Utendaji wa Insulin: Mdalasini una uwezo wa kipekee wa kuziambia seli za mwili zifunguke na kupokea sukari kutoka kwenye damu, sawa kabisa na jinsi homoni ya insulin inavyofanya kazi.

Kupunguza Usugu wa Seli (Insulin Resistance): Husaidia seli za mwili kuwa nyeti zaidi (sensitive) kwa insulin iliyopo, na kufanya usafirishaji wa sukari uwe wa ufanisi mkubwa.

Kushusha Sukari Baada ya Kula: Kunywa chai ya mdalasini baada ya mlo husaidia kuzuia sukari isipande kwa ghafla mwilini.

Jinsi ya Kuutumia kwa Usalama
Ili kupata faida hizi, unaweza kutumia nusu kijiko cha chai cha unga wa mdalasini safi kwenye kikombe cha maji ya moto (au chai bila sukari) kila siku.

Angalizo Muhimu: Mdalasini sio mbadala wa ghafla wa dawa ulizopewa na daktari wako wa hospitali. Unafanya kazi vizuri zaidi k**a tiba saidizi. Pia, hakikisha unatumia mdalasini halisi (Ceylon cinnamon) na kwa kiwango kidogo cha wastani, kwani matumizi yaliyopitiliza yanaweza kuathiri ini.

Ndugu zangu, afya bora huanza na kile tunachokiingiza miili yetu. Hebu tualishe mdalasini kwenye mtindo wetu wa maisha na tuchukue hatua dhidi ya kisukari.

Ahsanteni sana kwa kunisikiliza!

SIKU UKIENDA HOSPITAL UNAUMWA MALARIA Omba wakupe dawa hizi    1. Artemether + Lumefantrine (ALu) — inatibu malaria kwa ...
05/15/2026

SIKU UKIENDA HOSPITAL UNAUMWA MALARIA Omba wakupe dawa hizi

1. Artemether + Lumefantrine (ALu) — inatibu malaria kwa asilimia 89 ila inaharibu mishipa ya moyo.


2. Artesunate (Injection) — inatibu malaria kwa asilimia 76% ila inakausha damu mwilini.

3. Dihydroartemisinin + Piperaquine (DP) — inatibu malaria kwa asilimia 65% ila inaharibu umeme wa moyo

4. Artesunate + Amodiaquine (ASAQ) — inatibu malaria kwa asilimia 51% ila inasababisha homa ya damu na ini.

5. Artemether (Injection) — inatibu malaria kwa asilimia 43% ila inasababisha gazi na kukaza kwa misuri.

6. Quinine — inatibu malaria kwa asilimia 38% ila inaharibu masikio kusikia

7. Sulfadoxine + Pyrimethamine (SP) — inatibu malaria kwa asilimia 33% ila inaharibu ngozi na figo

8. Mefloquine — inatibu malaria kwa asilimia 26% ila inaleta ukicha wa afya ya akili.

9. Atovaquone + Proguanil — inatibu malaria kwa asilimia 14% ila inasababisha kukosa choo, mfumo wa chakula kufunga.

10. Doxycycline — inatibu malaria kwa asilimia 17% ila inaleteleza meno kung'oka , na ngozi kuungua.

SIKU UKIENDA DUKA LA MADAWA HAPO UTACHUKUA IPI YENYE NAFUU KIDOGO?

Ulikuwa unajua kwanini maiti yenu ulikutwa imechanwa na kushonwa upya, Takataka wewe- Now days hospital zinavuna viungo ...
05/15/2026

Ulikuwa unajua kwanini maiti yenu ulikutwa imechanwa na kushonwa upya, Takataka wewe

- Now days hospital zinavuna viungo kwenye maiti za ndugu zenu, kuna baadhi ya viungo sio lazima waombe ruhusa kuvichukua wanajua wakichukua k**a familia hamtahoji ila kisheria ni makosa ila mlisha zika maana kwenu mhimu ni kwenda kuzika, haraka ili mgawane nguo za marehemu.

SIKU UKIENDA HOSPITAL UNAUMWA UTI – UTAPEWA DAWA KATI YA HIZI 1. Nitrofurantoin – inatibu UTI kwa asilimia 85% hadi 90%....
05/15/2026

SIKU UKIENDA HOSPITAL UNAUMWA UTI – UTAPEWA DAWA KATI YA HIZI

1. Nitrofurantoin – inatibu UTI kwa asilimia 85% hadi 90%. ILA Ikichukuliwa muda mrefu inaharibu mapafu na kusababisha kukohoa damu. Pia inaharibu mishipa ya neva na kusababisha ganzi miguuni.

2. Fosfomycin – inatibu UTI kwa asilimia 80 hadi 90. ILA Kwa mtu mwenye pumu inaweza kusababisha uvimbe wa njia ya hewa na kufanya kupumua kuwe shida. Pia inaharibu umbo la damu kwa wazee.

3. Ceftriaxone (sindano) – inatibu UTI kwa asilimia 70 hadi 80. ILA Inasababisha maji kujengana kwenye nyongo na kusababisha homa ya manjano kwa watoto. Pia inaweza kufanya ini kushindwa kufanya kazi.

4. Ciprofloxacin – inatibu UTI kwa asilimia 75 hadi 85. ILA Inararua mishipa ya mguu (Achilles) na kusababisha mgonjwa kutetemeka ghafla. Pia inasababisha kuchanganyikiwa akili, fadhaiko na mawazo ya kujiua hasa kwa vijana.

5. Levofloxacin – inatibu UTI kwa asilimia 70 hadi 80.
MADHARA MAKUBWA: K**a Ciprofloxacin, inararua mishipa ya miguu. Pia inasababisha upungufu mkubwa wa maji mwilini hadi ubongo kuchanganyikiwa na mtu kulala usingizi mzito usio wa kawaida.

6. Gentamicin (sindano) – inatibu UTI kwa asilimia 75.
MADHARA MAKUBWA: Inaharibu figo kabisa na kusababisha uziwi wa kudumu. Mtu anayepata sindano hii mara nyingi anaweza kukosa kusikia tena milele.

7. Cefixime – inatibu UTI kwa asilimia 60 hadi 70.
MADHARA MAKUBWA: Inaongeza hatari ya kupata maambukizi sugu ya kuvu kwenye ini. Kuvu hukua ini polepole na haionekani kwenye vipimo vya kawaida vya damu.

8. Trimethoprim – inatibu UTI kwa asilimia 55 hadi 65.
MADHARA MAKUBWA: Inapunguza seli nyekundu za damu na platineti. Mtu anaanza kutokwa na damu puani, kutapika damu, au kuona madoadoa ya damu kwenye ngozi.

9. Co-trimoxazole (Septrin) – inatibu UTI kwa asilimia 50 hadi 65.
MADHARA MAKUBWA: Inasababisha ngozi kuchomwa moto. Ngozi huanza kutoa malengelenge na kujitenga k**a ilichomwa. Pia inaharibu ini na figo kwa pamoja.

10. Amoxicillin na Clavulanic acid – inatibu UTI kwa asilimia 40 hadi 50.
MADHARA MAKUBWA: Inasababisha kuhara damu na bakteria tumboni hadi utumbo kufa na kutoa gesi zenye sumu mwilini.

Hapo utachukua dawa gani, Angalau kutibu UTI sugu yako ???

05/15/2026
05/14/2026

UNAUMWA TATIZO GANI
NIKUSAIDIE DAWA

Happy UK Armed Forces Day! Today, we honor the bravery and sacrifice of our military personnel. Let's raise a toast to t...
06/29/2024

Happy UK Armed Forces Day! Today, we honor the bravery and sacrifice of our military personnel. Let's raise a toast to the heroes who serve our country with pride and dedication. Thank you for your service and commitment to keeping us safe. 🇬🇧🎉

SAKATA LA MPINA Kuna ule wimbo tulifundishwa kanisani kabla ya mimi kuwa mchawi " wimbo uliimbwa hivi " walipo mua Yesu ...
06/25/2024

SAKATA LA MPINA
Kuna ule wimbo tulifundishwa kanisani kabla ya mimi kuwa mchawi " wimbo uliimbwa hivi " walipo mua Yesu walidhani wameishinda kumbe badala yake injiri inaendelea" hakika siasa za Bongo bahati mbaya zinataka kufanana na wimbo huo " Imagine wabunge zaidi ya 300, wote wamekaa kumjadili mtu mmoja Mpina.

Yani, kwa kigezo cha Spika na wabunge wa CCM kumfukuza Mpina, nje ya mbunge kisa tu kuyasema hadharani madudu yaliofanywa na Mbunge ambaye anajifanya mtakatifu maria kumbe ni nyoka mtakuja kumjua soon ila hapa CCM ni k**a inajipalia kaa la moto 2024 - 2025.

Mbunge ni la wananchi ila now limefanywa ni la spika, Spika huna kitu hapo hata kiti unachokalia sio mali yako ni kodi za wananchi hata ile gari wabunge mnatembele sio mali zenu zile ni pesa za walipa kodi watanzania ambao mmewalisha uwogo kwa miaka 60 wakiongea au kuandamana mnawatishia na wengine mnawatimua.

Mpina tuna historia ya makosa yake sio k**a hatuyajui, Ila mpina kwa hili ameonesha kusimamia ukweli na wanachi watabaki kuwa nyuma yake na ipo siku ule uwogo na unafiki utakuja kuondoka kwa watanzania hasa watanganyika na ukiondoka watadai pamoja na hili ambalo mmelizima kwa kulipaka mafuta kutumia mgongo wa chupa.

Shida watanzania hawajui kuwa wazalendo wao wote, wanapotezwa waliojikoni wote ni watu wanalipiza hasira kwa watanganyika maana walikuwa wanaamini watanganyika waliwaumiza kwa kuwanyonya kupitia muungano leo hatuna baba wala mama kengele kapewa paka tutaliwa k**a nini ipo siri na agenda nisha iona kuna nukia uzanzibari na utanganyika hapo soon watanganyika wanakuja kuamka wameachiwa Tanganyika ya magofu na madeni ya kunyongwa yasio lipika kila leo ni watanganyika kulia na kodi, bandari na biashara kuwa ngumu wezetu wapili wanakula bata kwa mrija yani watesa kwa zamu duh!.

Yupo wapi Job Ndugai ?
Wapi polepole ?
Sasa hata Mpina mtakuja kuskia yupo wapi ? maana round hii wote walio na uchu na nchi hii wanakalishwa pembeni na wale wangunge tulionao kwa bahati mbaya wanaendeshwa kwa limoti ndio maana sio ajabu hata wameuza bandari kwa kupewa chai ya kiharabu.

Siku akili zenu zikitoka kwenye uwoga , Post hii ndio mtakuja kuilewa maana yake, !!!

Address

Bettendorf, IA
574/5586/556/003DSM

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Duka la dawa za Asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share