PBZ BANK

PBZ BANK PBZ BANK is one among the oldest commercial banks in Tanzania. It is fully owned by the Government of Zanzibar.

PBZ BANK is the only bank in Tanzania with its head office in Zanzibar. The People’s Bank of Zanzibar Limited (PBZ Bank) is the one of the oldest commercial banks in Tanzania incorporated in 30th June 1966. The Bank does both retail and corporate banking with equipped modern systems that facilitate banking business locally and overseas efficiently. Our motto being "The People's Bank, The People's

Choice", we always thrive in offering the best possible service to to our customers. Come bank with us and realize the real meaning of customer service.

JUMAA MUBARAK
28/08/2026

JUMAA MUBARAK

Hodi Hodi Dodoma Karibu kituo chetu kipya cha PBZ Bank Bunge, kwa huduma bora za kibenki zinazokidhi mahitaji yako.10 Ba...
27/08/2026

Hodi Hodi Dodoma

Karibu kituo chetu kipya cha PBZ Bank Bunge, kwa huduma bora za kibenki zinazokidhi mahitaji yako.

10 Barabara ya Morogoro, 40490 Tambukareli, Jengo la Bunge, Dodoma.

Tembelea tawi letu na upate huduma kwa urahisi, karibu na wewe.

PBZ Bank: "Benki ya Watu, Chaguo la Watu"

Ulinzi wa vyombo vyako, sasa kwa urahisi zaidi! Usisubiri majanga yakukute ndipo utafute suluhisho. Kwa Mkopo wa Malipo ...
26/08/2026

Ulinzi wa vyombo vyako, sasa kwa urahisi zaidi!

Usisubiri majanga yakukute ndipo utafute suluhisho. Kwa Mkopo wa Malipo ya Bima wa PBZ Bank, lipia bima yako kwa awamu za kila mwezi na endelea kuwa salama bila mzigo wa malipo ya mara moja. 💙
Ulinzi mkubwa, kwa malipo madogo!
Tembelea tawi la PBZ Bank lililo karibu nawe ujipatie huduma hii.

Au tupigie bure kupitia 0800000004

PBZ Bank: "Benki ya Watu, Chaguo la Watu"

?

TAARIFA KWA UMMA
24/08/2026

TAARIFA KWA UMMA

Pata Mkopo, Timiza Malengo Yako!Usiruhusu ndoto zako zisubiri. PBZ Bank inakupa fursa ya kupata mikopo ya wafanyakazi ye...
24/08/2026

Pata Mkopo, Timiza Malengo Yako!

Usiruhusu ndoto zako zisubiri. PBZ Bank inakupa fursa ya kupata mikopo ya wafanyakazi yenye muda wa hadi miaka 10 na riba nafuu kuanzia 14%–16%, ili uweze kutimiza malengo yako kwa urahisi.

Iwe ni kujenga nyumba, kuendeleza biashara, kusomesha watoto au kutekeleza mipango mingine muhimu, PBZ Bank ipo pamoja nawe kila hatua.

Tembelea tawi la PBZ Bank lililo karibu nawe au Tupigie simu huduma kwa wateja kwa namba 0800000004 leo na upate maelezo zaidi.

PBZ BANK: "Benki ya Watu, Chaguo la Watu"

Malengo makubwa yanahitaji mipango mikubwa!Je, una ndoto ya kujenga, kuendeleza biashara au kutimiza mahitaji yako muhim...
18/08/2026

Malengo makubwa yanahitaji mipango mikubwa!

Je, una ndoto ya kujenga, kuendeleza biashara au kutimiza mahitaji yako muhimu? Mkopo kutoka PBZ Bank unakupa nafasi ya kusonga mbele bila kuahirisha ndoto zako.

Usisubiri kesho, anza kutimiza malengo yako leo!

Piga 0800000004 au tembelea tawi la PBZ Bank lililo karibu nawe kwa maelezo zaid

PBZ Bank :" Benki ya Watu, Chaguo la Watu"

PBZ Bank imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha huduma za uwakala kwa kuwajengea uwezo mawakala wake kupitia...
16/08/2026

PBZ Bank imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha huduma za uwakala kwa kuwajengea uwezo mawakala wake kupitia mafunzo yaliyofanyika leo Zanzibar.

Mafunzo haya yalijikita katika:
➡️Huduma mbalimbali zinazotolewa na PBZ Bank.
➡️Elimu ya kudhibiti utakatishaji wa fedha.
➡️Mbinu bora za kuwahudumia wateja na kujenga wakala mwenye mafanikio.
➡️Maboresho ya Mfumo wa Huduma za PBZ Wakala, CASH OUT, Mfumo unamuwezesha Mteja wa PBZ kutoa pesa kwa Mawakala wa PBZ kupitia PBZ Mobile App, bila ya kutumia kadi yake ya ATM

Tunawashukuru mawakala wote walioshiriki kwa ushirikiano wao. PBZ Bank itaendelea kuwa karibu na mawakala wake kwa kuwapa elimu, kuwajengea uwezo na kuhakikisha wanatoa huduma bora, salama na zenye kuaminika kwa wateja wetu.

PBZ WAKALA – Rahisi, Salama na Nafuu.



Address

ZIC Building, Mpirani
Zanzibar
1173

Opening Hours

Monday 08:30 - 16:30
Tuesday 08:30 - 16:30
Wednesday 08:30 - 16:30
Thursday 08:30 - 16:30
Friday 08:30 - 15:30
Saturday 08:30 - 12:30

Telephone

+255800000004

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PBZ BANK posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to PBZ BANK:

Shortcuts

Share