Islamic SACCOS of Al-Hilaal

Islamic SACCOS of Al-Hilaal The Financial Organization "Hakika Mwenyezi Mungu (Subuhaanahu Wataala) habadilishi yalioko kwa watu mpaka wabadilishe yaliyo katika nafsi zao"(Qur-an: 13:11).

Hakika mafanikio ya ulimwengu Allah (Subuhaanahu Wataala) ameyaweka katika kufuata nidhamu na kanuni za kimaumbile na yeyote atakaezifuata atafanikiwa.

31/08/2014

Asasi itajulikana k**a ISLAMIC SACCOS OF AL – HILAAL ikiwa na maana ya Asasi ya Kuweka na Kukopa ya Kiislam ya Al-hilaal. Makusudio yake ni kuwa, neno Al-hilaal lina maana ya mwezi mchanga ambao ndio unaotumika kuoneshea alama za mabadiliko ya nyakati kwa waislam. Hivyo Asasi itawaoneshea dira na mu…

31/07/2014

http://isagrup.blogspot.com/
29/04/2014

24/03/2014

Assalaamu Alaykum

unaweza kupata updates ya kila kinachoendelea kwenye Islamic Saccos of Al-Hilaal kupitia kwenye blogu yetu http://isagrup.blogspot.com/

14/03/2014

Bismillahi Rahmani Raheem
ISLAMIC SACCOS OF AL-HILAAL
P. O. Box 2159 ZANZIBAR
Web: www.isa.co.tz. Email: [email protected]

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

Islamic Saccos of Alhilaal (iSA) ni Asasi isiyo ya Kiserikali yenye kujishughulisha na Kuweka na Kukopa katika misingi ya Kiislam.
Asasi iko katika hatua za mwishoni kupata usajili wake na kuendesha shughuli zake kihalali katika misingi inayofuata sheria hapa Zanzibar.

Asasi inatafuta kijana mmoja mwenye ari ya kufanya kazi zote k**a atakavyoelekezwa na Bodi ya Wadhamini ya Asasiili kuiimarisha Asasi.

Sifa za Muombaji
o Awe kijana asiezidi miaka 30
o Awe amekamilisha elimu ya kidato cha nne au zaidi
o Awe mkaazi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar
o Awe mwepesi wa ufuatiliaji
o Awe mwepesi wa ufahamu na uwekaji wa kumbukumbu

Taratibu za Ajira
o Usaili utafanyika ili kumpata kijana alien a uwezo zaidi
o Haki zote za ajira zitazingatiwa

Malipo
o Malipo yatakuwa ni ya makubaliano

Maombi
o Muombaji anatakiwa awasilishe Barua ya Maombi, Vyeti vya kumalizia masomo na Cheti cha kuzaliwa
o Maombi yote yawasilishwe kupitia Anuani:
Katibu
Islamic Saccos of Alhilaal
S. L. P 2159
Zanzibar.
o Tarehe ya mwisho ya maombi ni 20/03/2014

________________________________________

iSA office partitioning on progress
12/03/2014

iSA office partitioning on progress

iSA office location
12/03/2014

iSA office location

12/03/2014

Askm

iSA ipo kwenye mchakatao wa kufanya Registration
na matumaini ni kwamba within April tutakuwa tumesajiliwa rasmi katika authority husika

uzuri ni kwamba tuna sifa za upekee kutokana na ushirika wetu kuwa decipline za kiislaamu

mpaka sasa iSA ina

founders member 15
other member 100+

iSA inamiliki

Sanduku la Posta
Official Stamp yenye kuonesha nembo yake
domain adress name of http://isa.co.tz
katiba yake
office ambayo ipo maeneo ya Magomeni-Mpendae
Other!!!!

Address

Zanzibar
255

Telephone

+255773179059

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Islamic SACCOS of Al-Hilaal posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share