16/12/2017
Hostel inauzwa,ipo Malimbe-mtaa wa Buganda,mwendo mfupi kutoka chuo kikuu cha st.Augustine.Hostel ipo katika mandhari mazuri,ina vyumba 12 self contained(vyote)ina kiwanja wazi eneo la nyuma ya hostel chenye ukubwa wa takriban m.square 200,Huduma muhimu k**a maji na umeme vipo,eneo limepimwa na lina nyaraka zote halali.Kwa atakae hitaji Tafadhali tupigie simu kupitia +255759273573 au +255657365777 au +255767553458.Ama tuma direct message utajibiwa.Bei maelewano,kwa Maelezo zaidi waweza fika ofisi zetu zilizopo kona ya bwiru jiran na hotel ya Taifive kwa mbele utaona bango la Shoham property developers.Karibuni sana