Sanga investment company

Sanga investment company Wakala wa
nmb, crdb, nbc, azampesa, t-pesa, halopesa, airtel money, tigopesa, na m-pesa.

Mr. C. E. O  πŸ•Ά
08/07/2023

Mr. C. E. O πŸ•Ά

Unajiuliza utapata wapi huduma bora za CRDB zisizo na longo longo?, Usiende kwingine WEKA, TUMA, TOA NA POKEA pesa na . ...
19/05/2023

Unajiuliza utapata wapi huduma bora za CRDB zisizo na longo longo?, Usiende kwingine WEKA, TUMA, TOA NA POKEA pesa na . Karibu tucheze na miamala πŸ’°πŸ’ΈπŸ’Έ.

Kutoa huduma bora ni wajibu wetu, Karibuni sanaπŸ™
19/05/2023

Kutoa huduma bora ni wajibu wetu, Karibuni sanaπŸ™

Heri ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani.  πŸ’°πŸ’°.
08/03/2023

Heri ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani.

πŸ’°πŸ’°.

Tunakutakia heri ya sikukuu ya wapendanao ❀.Mtagi mtu wako wa nguvu ambaye hawezi kuukosa upendo wako iwe jua au mvua.  ...
14/02/2023

Tunakutakia heri ya sikukuu ya wapendanao ❀.

Mtagi mtu wako wa nguvu ambaye hawezi kuukosa upendo wako iwe jua au mvua.

25/12/2022

Sanga investment company tunawatakia heri ya sikukuu ya krismasi πŸŽ„πŸŽ„πŸŒ²
bora ni jukumu letu.

Uongozi na Crew nzima ya Sanga investment company  inapenda kukutakia heri ya siku ya uhuru wa tanzania bara. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
09/12/2022

Uongozi na Crew nzima ya Sanga investment company inapenda kukutakia heri ya siku ya uhuru wa tanzania bara. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

03/12/2022

Umekua ukipata huduma za kifedha kwa kusuasua au chini ya kiwango kutoka kwingine, Usijalii kabisaa k**a ulitafuta tiba basi umeipata tayari, Mkombozi wako Sanga investment company alikuja, akakaribia na sasa amefika. Karibu SIC HEADQUARTERS (ulimwengu wa ukombozi) ukombolewe.🚦🚦

26/11/2022

Haijalishi kuna upepo mkali, baridi kali pamoja na mvua kali kiasi gani, huduma zetu zipo palepale. Karibu Sanga investment company upate huduma bora za kifedha pamoja na vocha za jumla za mitandao yote.πŸ’₯πŸ’₯

Ndugu mteja, Hakiki laini yako leo kwa kufuata maelekezo, kesho njoo Sanga investment company  upate huduma bora za kife...
24/11/2022

Ndugu mteja, Hakiki laini yako leo kwa kufuata maelekezo, kesho njoo Sanga investment company upate huduma bora za kifedha (M-PESA, TIGOPESA, AIRTEL MONEY, HALOPESA, T-PESA, AZAMPESA, NMB, CRDB & NMB).
Karibu tukuhudumie.πŸ’₯

Je wajua? Huu ni ujumbe wa upendo kutoka Vodacom Tanzania  😍😍.Kwa huduma za vocha za jumla (kubwa na ndogo) kutoka vodac...
24/11/2022

Je wajua? Huu ni ujumbe wa upendo kutoka Vodacom Tanzania 😍😍.

Kwa huduma za vocha za jumla (kubwa na ndogo) kutoka vodacom zinapatikana Sanga investment company .
Karibuni sana

Kwa huduma za CRDB  Sanga investment company  hatukwami kwami k**a wengine, karibu upate huduma boraπŸ™
24/11/2022

Kwa huduma za CRDB Sanga investment company hatukwami kwami k**a wengine, karibu upate huduma boraπŸ™

Address

Nansio/ukerewe
Mwanza

Opening Hours

Monday 07:00 - 18:30
Tuesday 07:00 - 18:30
Wednesday 07:00 - 18:30
Thursday 07:00 - 18:30
Friday 07:00 - 18:30
Saturday 07:00 - 18:30
Sunday 07:00 - 18:30

Telephone

+255755023050

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sanga investment company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share