Linkhem World Group

Linkhem World Group construction of all kinds of buildings, connecting you with loan giving companies

LINKHEM WORLDNi kampuni ya kitanzania ambayo ofisi zake zipo mkoa Mwanza katika jengo la Rock City Mall ghorofa ya pili:...
11/10/2022

LINKHEM WORLD

Ni kampuni ya kitanzania ambayo ofisi zake zipo mkoa Mwanza katika jengo la Rock City Mall ghorofa ya pili: kampuni hii inajihusisha na masuala ya
1. Kusimamia miradi ya Ujenzi wa nyumba za kila aina na barabara, ambapo hapa tunatoa ushauri wa kitaalam na ukiwa na mradi wa ujenzi wa kuanzia 100million tunaweza kukujengea ukalipa baada ya kumaliza mradi kulingana na mkataba tutakaoingia na mteja wetu.
2. Kufanya utafiti, uchimbaji, ununuaji na uuzaji wa madini ya kila aina.
3. Tunakuunganisha wewe unayetaka mkopo wa kufanya mradi wako ulionao na kampuni kubwa ya kimataifa ambayo itakusaidia kupata mkopo kwa masharti rahisi bila kuwa na dhamana ya aina yoyote, na haijarishi k**a una mkopo mwingine benki yoyote, tunacho kiangalia ni aina ya mradi ulionao na k**a umekidhi vigezo vyetu. Ni wakati wako sasa kufanya nasi biashara kwa ufanisi wa hali ya juu, tupo kukupa kilicho bora ni muda sasa wa kufanya miradi mikubwa kwa kupata (innovative financial solutions).

KARIBU TUKUHUDUMIE

Kwa mawasiliano:
1. Yusuph Joseph Magige - Founder & CEO
Phone: +255718879751
+255757484441
2. Johannes selealis John - CMO
Phone: +255718384659
3. Anwary Shaban Iluja - CFO
Phone: +255763766122

Email: [email protected]

Tufollow: https://www.facebook.com/profile.php?id=100085998639072

LINKHEM WORLDNi kampuni ya kitanzania ambayo ofisi zake zipo mkoa Mwanza katika jengo la Rock City Mall ghorofa ya pili:...
22/09/2022

LINKHEM WORLD

Ni kampuni ya kitanzania ambayo ofisi zake zipo mkoa Mwanza katika jengo la Rock City Mall ghorofa ya pili: kampuni hii inajihusisha na masuala ya
1. Ujenzi wa nyumba za kila aina na barabara, ambapo hapa tunatoa ushauri wa kitaalam na ukiwa na mradi wa ujenzi wa kuanzia 100million tunaweza kukujengea ukalipa baada ya kumaliza mradi kulingana na mkataba tutakaoingia na mteja wetu.
2. Kufanya utafiti, uchimbaji, ununuaji na uuzaji wa madini ya kila aina.
3. Tunakuunganisha wewe unayetaka mkopo wa kufanya mradi wako ulionao na kampuni kubwa ya kimataifa ambayo itakusaidia kupata mkopo kwa masharti rahisi bila kuwa na dhamana ya aina yoyote, na haijarishi k**a una mkopo mwingine benki yoyote, tunacho kiangalia ni aina ya mradi ulionao na k**a umekidhi vigezo vyetu. Ni wakati wako sasa kufanya nasi biashara kwa ufanisi wa hali ya juu, tupo kukupa kilicho bora ni muda sasa wa kufanya miradi mikubwa kwa kupata (innovative financial solutions).

KARIBU TUKUHUDUMIE

Kwa mawasiliano:
1. Yusuph Joseph Magige - Founder & CEO
Phone: +255718879751
+255757484441
2. Johannes selealis John - CMO
Phone: +255718384659
3. Anwary Shaban Iluja - CFO
Phone: +255763766122

Email: [email protected]

Tufollow: https://www.facebook.com/profile.php?id=100085998639072

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 18:00

Telephone

+255718879751

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Linkhem World Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Linkhem World Group:

Share