Uchumi Bank

Uchumi Bank Tunalenga Kutoa Huduma Bora na Rafiki. Jiunge nasi leo kupitia link iliyopo kwenye Bio.

25/08/2026
MPENDWA MTEJA,Tunapenda kukufahamisha kuwa matawi yetu yote yatafungwa siku ya Jumanne, tarehe 25.08.2026, ili kuungana ...
24/08/2026

MPENDWA MTEJA,
Tunapenda kukufahamisha kuwa matawi yetu yote yatafungwa siku ya Jumanne, tarehe 25.08.2026, ili kuungana na ndugu zetu Waislamu katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (Maulid).
Hata hivyo, endelea kufurahia huduma zetu saa 24 kupitia:
• ATM za Umoja Switch na NMB nchi nzima
• UCB Mkononi (*150*41 #)
• Mawakala wa Uchumi Benki walio karibu nawe
• UCB Mobile App
“Benki Inayojali Uchumi wa Familia.”

Leo, tarehe 20/08/2026, UCB tumeshiriki Mkutano Mkuu wa 39 wa Dayosisi ya Kaskazini, ulioambatana na uzinduzi wa kitabu ...
20/08/2026

Leo, tarehe 20/08/2026, UCB tumeshiriki Mkutano Mkuu wa 39 wa Dayosisi ya Kaskazini, ulioambatana na uzinduzi wa kitabu cha kumbukumbu ya Hayati Askofu Dkt. Erasto Kweka, mwanzilishi wa Benki ya Uchumi, katika Hoteli ya Kilutheri Uhuru.

Tunaendelea kuthamini na kuenzi mchango wake katika kuleta mageuzi, kuimarisha jamii na kujenga taasisi yenye thamani kwa Watanzania.

, Wewe ni Familia

17/08/2026

Furaha yetu ni kuona ndoto za wastaafu zikiendelea hata baada ya kustaafu ajira!
Benki ya Uchumi inakupa heshima mstaafu kupitia Mkopo wa Wastaafu, wenye riba rafiki kwa ajili ya kujikimu na kukamilisha miradi yako mbalimbali.^HD

📞 Tupigie: 0748 465 131


, wewe ni familia.

Jiunge na Uchumi Benki katika kujenga uelewa, maarifa na uimara wa uchumi wako binafsi pamoja na familia yako kupitia   ...
13/08/2026

Jiunge na Uchumi Benki katika kujenga uelewa, maarifa na uimara wa uchumi wako binafsi pamoja na familia yako kupitia jukwaa linalotoa elimu ya fedha kuhusu:
• Utunzaji wa akiba katika mifumo rasmi.
• Elimu juu ya mikopo salama (ukopaji na urejeshaji)
• Matumizi sahihi ya fedha,bima na huduma mbalimbali zinazotolewa benki ya Uchumi.
📍 Ukumbi wa Kanisa Kuu Tabora – Dayosisi ya Magharibi Kati
Tarehe: 15/08/2026
Saa 4:00 kamili asubuhi
, ujifunze, jiimarishe kifedha na jenge kesho bora kwa familia yako.
.

Tuma pesa kwa familia na wapendwa wako ulimwenguni kote kwa haraka, urahisi na usalama kupitia huduma za MoneyGram & Wes...
11/08/2026

Tuma pesa kwa familia na wapendwa wako ulimwenguni kote kwa haraka, urahisi na usalama kupitia huduma za MoneyGram & Western Union katika matawi yetu.
📍 Tembelea tawi lililo karibu nawe leo!
TumaTabasamu

Benki ya Uchumi inaendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo ya vijana kupitia huduma za kifedha na kuunga mkono majukwaa ya...
10/08/2026

Benki ya Uchumi inaendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo ya vijana kupitia huduma za kifedha na kuunga mkono majukwaa yanayolenga kukuza vipaji vya vijana na kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.
Jumapili, tarehe 09 Agosti 2026, Benki ya Uchumi ilishiriki katika uzinduzi rasmi wa Koola Vunjo Cup 2026 viwanja vya Polisi-Himo, ulioandaliwa na Mheshimiwa Enock Koola, Mbunge wa Vunjo, kwa kushirikiana na viongozi mbalimbali wa kisiasa na dini.
Uzinduzi huo ulilenga kuendeleza na kukuza vipaji vya vijana kupitia michezo, huku ukiwa ni sehemu ya jitihada za kuwajengea vijana fursa za kutumia vipaji vyao k**a chachu ya maendeleo na kujikwamua kiuchumi.
Benki ya Uchumi tunaamini katika vijana, tunawekeza katika vipaji, na tunaunga mkono fursa zinazojenga jamii yenye maendeleo endelevu kupitia akaunti ya Youth yenye gharama nafuu za uendeshaji.

Heri ya Sikukuu ya Wakulima! 🇹🇿Tunathamini mchango wa wakulima, wajasiriamali, na wawekezaji katika kujenga uchumi imara...
08/08/2026

Heri ya Sikukuu ya Wakulima! 🇹🇿

Tunathamini mchango wa wakulima, wajasiriamali, na wawekezaji katika kujenga uchumi imara wa Taifa. Tutaendelea kuwa mshirika wako wa kuaminika katika kila hatua ya ukuaji wa biashara na uwekezaji.

07/08/2026

Heri ya Sikukuu ya Nane Nane!
Tunawafahamisha kuwa matawi yetu yote yatakuwa yamefungwa tarehe 8/8/2026 na kufunguliwa tena siku ya Jumapili (Moshi & Karatu) tarehe 9/8/2026.
Endelea kupata huduma zetu kwa urahisi kupitia mifumo ya Kidigitali.

*150*41
Rafiki Wakala

Address

P. O BOX 7811
Moshi
255

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 16:00
Wednesday 08:30 - 16:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 13:00
Sunday 11:00 - 16:00

Telephone

+255748465131

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uchumi Bank posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share