EFTA LTD

EFTA LTD EFTA Ltd is an award-winning equipment finance company dedicated to helping small entrepreneurs and farmers to grow.

EFTA Ltd is a Tanzanian finance company specialised in serving small and medium enterprises and farmers. We focus on equipment loans of up to USD 500,000, with no collateral except for the equipment itself.

EFTA LTD kwa kushirikiana na   tunakuletea PROMOTION KUBWA YA EECO VAN! ๐ŸšMILIKI EECO VAN KWA KULIPIA TZS 44,811 TU KWA S...
03/06/2026

EFTA LTD kwa kushirikiana na tunakuletea PROMOTION KUBWA YA EECO VAN! ๐Ÿš

MILIKI EECO VAN KWA KULIPIA TZS 44,811 TU KWA SIKU.

โœ… Anza na asilimia 20% ya thamani ya EECO Van k**a malipo yako ya awali
โœ… Kisha lipia kiasi kilichosalia kidogo kidogo kwa muda wa hadi miaka 3
โœ… Inafaa kwa usambazaji wa bidhaa (FMCG)
โœ… Inafaa kwa huduma za delivery
โœ… Inafaa kwa biashara ndogo na za kati (SMEs)
โœ… Gari lipo stoo tayari kukabidhiwa

EECO VAN โ€“ Beba Zaidi. Sambaza Zaidi. Faidika Zaidi.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba zetu hapa chini au tutumie namba zako pamoja na mkoa uliopo nasi tutawasiliana na wewe.

๐Ÿ“ž +255 765 417 387

Tipper sahihi hubadilisha mchezo wa biashara.๐Ÿš› Sio tu usafirishaji โ€” ni kasi mpya ya mapato.Unabeba zaidi. Unakamilisha ...
02/06/2026

Tipper sahihi hubadilisha mchezo wa biashara.๐Ÿš›

Sio tu usafirishaji โ€” ni kasi mpya ya mapato.

Unabeba zaidi. Unakamilisha miradi kwa muda mfupi. Unapanua uwezo wa kushindana kwenye kazi kubwa zaidi.

Hii ni hatua ya tofauti kwa biashara zinazotaka kukua kwa kasi, si kubaki sehemu moja.

Kupitia EFTA, unaweza kumiliki gari au mashine ya kazi kwa mkopo nafuu โ€” bila dhamana, k**a ambavyo tumemkabidhi mteja wetu huyu tipper mbili kwa ajili ya shughuli zake.

๐Ÿ”ฅ Swali ni moja: Biashara yako iko tayari kuingia level hii ya ukuaji?

k**a jibu ni ndio tafadhali tupigie sasa au tutumie namba zako na mkoa uliopo tuanze safari ya kuikuza biashara yako.

๐Ÿ“ž +255 765 417 387

๐”๐’๐€๐…๐ˆ๐‘๐ˆ ๐’๐€๐‹๐€๐Œ๐€ ๐–๐€ ๐–๐€๐๐€๐…๐”๐๐™๐ˆ ๐”๐€๐๐™๐ˆ๐€ ๐‡๐€๐๐€ ๐ŸšWazazi wanataka usalama.Wanafunzi wanahitaji uhakika.Shule yako inahitaji suluh...
01/06/2026

๐”๐’๐€๐…๐ˆ๐‘๐ˆ ๐’๐€๐‹๐€๐Œ๐€ ๐–๐€ ๐–๐€๐๐€๐…๐”๐๐™๐ˆ ๐”๐€๐๐™๐ˆ๐€ ๐‡๐€๐๐€ ๐Ÿš

Wazazi wanataka usalama.
Wanafunzi wanahitaji uhakika.
Shule yako inahitaji suluhisho la uhakika.

Miliki basi la shule kupitia EFTA kwa mkopo bila dhamana na marejesho rafiki yanayolipika kwa mfumo wa mihula ya shule.

Chukua hatua leo na uboreshe huduma za usafiri za shule yako pamoja na kuongeza kipato.

Kwa msaada zaidi, tupigie sasa au tutumie namba yako pamoja na mkoa uliopo ili tuanze kukuhudumia mara moja.

๐Ÿ“ž +255 765 417 387

NAFASI YA KAZI YA AFISA MKAGUZI WA NDANI (INTERNAL AUDIT OFFICER)EFTA, kampuni inayoongoza Tanzania katika ufadhili wa v...
27/05/2026

NAFASI YA KAZI YA AFISA MKAGUZI WA NDANI (INTERNAL AUDIT OFFICER)

EFTA, kampuni inayoongoza Tanzania katika ufadhili wa vifaa, inakaribisha maombi ya nafasi ya Internal Audit Officer.

๐Ÿ“… Mwisho wa kutuma maombi: 05 Juni 2026

๐Ÿ”— Omba kupitia: www.efta.co.tz/careers

๐ŸŒ™ EID MUBARAK kutoka EFTA!Katika kusherehekea sikukuu hii yenye baraka, tunawatakia wateja wetu, wadau na familia zenu a...
27/05/2026

๐ŸŒ™ EID MUBARAK kutoka EFTA!

Katika kusherehekea sikukuu hii yenye baraka, tunawatakia wateja wetu, wadau na familia zenu amani, furaha, mafanikio na baraka tele.

Asanteni kwa kuendelea kuwa sehemu ya safari yetu.

26/05/2026
๐Š๐ฐ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ฆ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š๐›๐ข๐š๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฆ๐š ๐ฐ๐š ๐ฆ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐šโ€”๐ก๐ข๐ข ๐ง๐ข ๐ก๐š๐๐ข๐ญ๐ก๐ข ๐ฒ๐š๐ค๐จ!Kila siku unaamka mapema, unakanyaga mashamba yako, una...
25/05/2026

๐Š๐ฐ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ฆ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š๐›๐ข๐š๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฆ๐š ๐ฐ๐š ๐ฆ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐šโ€”๐ก๐ข๐ข ๐ง๐ข ๐ก๐š๐๐ข๐ญ๐ก๐ข ๐ฒ๐š๐ค๐จ!

Kila siku unaamka mapema, unakanyaga mashamba yako, unalima kwa bidiiโ€ฆ lakini faida unayoipata bado haionekani kulingana na kazi uliyoifanya. Mara nyingi unauza mpunga ghafi kwa bei ya chini, huku ukijua kwamba ungekuwa na mashine yako ya kuchakata, ungegeuza mpunga huo kuwa bidhaa bora na kupata faida mara mbili au tatu.

๐’๐š๐ฌ๐š ๐Ÿ๐ข๐ค๐ข๐ซ๐ข๐š ๐ก๐ข๐ฏ๐ขโ€ฆ

Siku ya leo inabadili kesho yako. Unasimama mbele ya mashine yako ya kuchakata mpungaโ€”mashine yako halisi, unayoimiliki. Wateja wanakuja, wengine wanapiga foleni, na wewe unaendesha biashara yako kwa uhuru, kwa kujiamini, bila kumtegemea mtu.

๐‡๐ข๐ข ๐ง๐๐ข๐ฒ๐จ ๐ง๐ ๐ฎ๐ฏ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ข ๐ฆ๐š๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐ž ๐ฒ๐š๐ค๐จ.

Kupitia EFTA, unapata mkopo wa mashine bila dhamana, na kwa kianzio cha 25%โ€“35% tu, unamiliki mashine inayogeuza jasho lako kuwa faida halisi.
Na zaidi, tunakupa muda wa marejesho hadi miaka mitatuโ€”hongera, safari ya mafanikio inaanza hapa.

K**a kweli unataka kuinua biashara yako ya mpunga, hii ndiyo fursa ambayo umekuwa ukiisubiri tupigie sasa au tuma namba zako nasi tutawasiliana na wewe.

๐Ÿ“ž +255 765 417 387

Kila biashara inayokua huwa na hatua moja ya ujasiri nyuma yake.Leo, kampuni ya VASCO Pharmaceutical Co. Ltd ya Arusha i...
24/05/2026

Kila biashara inayokua huwa na hatua moja ya ujasiri nyuma yake.

Leo, kampuni ya VASCO Pharmaceutical Co. Ltd ya Arusha imechukua hatua hiyo muhimu kwa kupokea gari aina ya Mitsubishi Rosa kupitia ufadhili wa EFTA.

Ukuaji wa biashara haupaswi kusubiri mtaji ukamilikeโ€”unapaswa kuanza sasa na zana zinazokuwezesha kusonga mbele.

Kuchukua hatua yako leo, tupigie simu au tuma namba zako na mkoa uliopo tukuwezeshe kupata mkopo nafuu bila dhamana.

๐Ÿ“ž +255 765 417 387

Miliki Magari na Mashine kwa mkopo nafuu bila usumbufu kupitia EFTA ๐Ÿšœ๐Ÿš—Panua biashara yako, ongeza uzalishaji, na timiza ...
22/05/2026

Miliki Magari na Mashine kwa mkopo nafuu bila usumbufu kupitia EFTA ๐Ÿšœ๐Ÿš—

Panua biashara yako, ongeza uzalishaji, na timiza ndoto zako kwa urahisi.

Ni kwa mkopo bila dhamana na marejesho rahisi hadi miaka 3 โณ

Kwa mawasiliano zaidi tupigie au tuma namba zako tukupigie mara moja!

๐Ÿ“ž +255 765 417 387

๐–๐š๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฆ๐š ๐Ÿ,๐Ÿ–๐ŸŽ๐ŸŽ ๐–๐š๐š๐ง๐ณ๐š ๐Š๐ฎ๐ง๐ฎ๐Ÿ๐š๐ข๐ค๐š ๐Š๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐š ๐Œ๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐„๐…๐“๐€Katika hatua ya awali ya utekelezaji wa mtaji uliotokana na kupitia...
21/05/2026

๐–๐š๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฆ๐š ๐Ÿ,๐Ÿ–๐ŸŽ๐ŸŽ ๐–๐š๐š๐ง๐ณ๐š ๐Š๐ฎ๐ง๐ฎ๐Ÿ๐š๐ข๐ค๐š ๐Š๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐š ๐Œ๐ญ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐„๐…๐“๐€

Katika hatua ya awali ya utekelezaji wa mtaji uliotokana na kupitia Hati Fungani ya EFTA, zaidi ya wakulima 1,800 tayari wameanza kunufaika kupitia ufadhili wa zana za kisasa za kilimo, ikijumuisha Power Tiller 1,500 na Matrekta 300, kwa lengo la kuongeza tija ya uzalishaji mashambani.

Hatua hii, imetatangazwa na Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Bw. Nicomed Bohay wakati wa hafla ya kuorodheshwa kwa bond ya kampuni katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Hatua ambayo inaonesha mwanzo wa utekelezaji wa vitendo ambapo sekta ya kilimo ndiyo imeanza kupokea matokeo ya moja kwa moja ya uwekezaji huo.

Wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka sekta zote wanaohitaji zana kazi wanahimizwa kuchangamkia fursa hii ya ufadhili ili kuongeza uzalishaji, kupanua shughuli zao na kukuza biashara zao kwa ufanisi zaidi.

Kwa maelezo zaidi: +255 765 417 387

Address

EFTA Headquarters In Dar Es Salaam, ๐Ÿข Find Us On The 9th Floor Of Mwanga Tower, Near Millennium Towers
Moshi
๐Ÿ“CONTACTUSAT+255(0)0719597958OR0765417387

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255719597958

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EFTA LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to EFTA LTD:

Share