Entrepreneurial Ideas Factory

Entrepreneurial Ideas Factory Tunatoa mafunzo ya wanaopenda kufanyabiashara ya kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa. Wasiliana nasi Mfuko wa Elimu Mbozi kwa namba ya simu 0765223811.

Malipo utaingiza kwenye akaunti ya mfuko wa Elimu Mbozi moja kwa moja.

Kuza biashara yako.
13/03/2024

Kuza biashara yako.

10/01/2024

Kwa ajili ya kupata stadi za kukuza biashara yako, na stadi za kushinda ugonjwa wa kisukari,wasiliana nasi kupitia namba ya simu 0765223811. Vikundi vya wanawake jiji la Mbeya karibuni sana.

09/01/2024

Kuza biashara yako sasa hasa vikundi vya wanawake jiji la Mbeya Nsalaga. Tuone unapopata ugumu namna ya kupata mbinu za kukuza biashara. Mawasiliano kwa Lawrence Richard Makheya mshauri wa biashara Kibondenyasi Street house namba 27 Midas Street.

09/01/2024

Tuambie k**a unahitaji mbinu za kukuza biashara yako kutumia stadi za USP (Unique selling point/proposition). Mawasiliano 0765223811

08/01/2024

Kuza biashara yako. Penye tatizo nitafute.

07/01/2024

Jitahidi kukuza biashara yako. Tuambie inapokwama tukusaidie.

03/01/2024

USP (Unique selling proposition/Unique selling point).

Kijana usiye na ujuzi au stadi za biashara, tafadhali tafuta fursa ya mafunzo kwakuwa ni muhimu sana kwako hata k**a hut...
09/09/2023

Kijana usiye na ujuzi au stadi za biashara, tafadhali tafuta fursa ya mafunzo kwakuwa ni muhimu sana kwako hata k**a hutapata ajira serikalini.
Baadhi ya wanao toa mafunzo haya ni Makheya Success and Access. Wasiliana kwa simu namba 0765223811.

02/08/2023

Bado hujachelwa, wasiliana nasi tuku elekeze namna ya kufanikiwa biashara kukua biashara yako kupitia elimu ya Unique Selling Point or Proposition ( USP). Kwa mawasiliano, tupigie kwa simu namba 0765223811.

Address

Tanesco Street
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Entrepreneurial Ideas Factory posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share