Stori za kweli katika maisha

Stori za kweli katika maisha Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Stori za kweli katika maisha, Mbeya mjini, Mbeya.

Familia ya  mwaimui ilipata msiba wa ghafla bila kutegemea kumpoteza aliyekuwa tajiri  kichwa ama kiongozi wa familia hi...
25/04/2024

Familia ya mwaimui ilipata msiba wa ghafla bila kutegemea kumpoteza aliyekuwa tajiri kichwa ama kiongozi wa familia hiyo Mr Rafael Mwaimui aliyefariki dunia mnamo tarehe 06/03/2022 katika hospitali ya rufaa iliyopo jijini mbeya.
Kuhusu familia ya Ndugu Rafael mwaimui aliacha binti wa miaka 16 jina lake Stela Rafael mwaimui.

Kuhusu utajiri wake aliacha mali nyingi zikiwemo pesa nyingi katika akaunti zake za bank, gari 4 na nyumba16 ambazo9 zipo ndani ya mbeya na nyingine 7 zilizopo sehemu nyingine ndani na nje ya Tanzania.

Maisha yake ya Ndoa Ndugu Rafael hakuwa na mke kwani mkewe alifariki dunia miaka kumi iliyopita mnamo mwaka 2012.

Ukoo wa Mwaimui Ndugu jamaa na marafiki wa Rafael waliweza kutoa ahadi kumwekea uangalizi Stela binti Rafael mpaka pale atakapofikia umri wa kujitambua na kusimama mwenyewe.

Maendeleo ya Stela kimasomo Stela aliendelea kusoma kupitia mali za baba yake bila shida yeyote akibakiza miezi kadhaa kumaliza kidato cha nne.

Mgogoro wa mali kuanza Kilifika kipindi ndugu wa marehemu Rafael walizoza kuja juu wakitaka mali za kaka yao zigawanishwe haikuwezekana kwani mwanasheria John Mwita aliyesimama kwa niaba ya Rafael kulinda maslahi ya Stela alimaliza mgogoro huo kisheria kiasi cha kusababisha ndugu hao kusambaratika kukimbia serikali maana hatua kisheria zilichukuliwa kwa kitendo walidiriki kukifanya ikihesabika ni jaribio la dhuluma.
Kutawanyika kwa ndugu hao kulirejesha Amani na Matumaini kwake Stela akitazamia zaidi kufanya vizuri katika mitihani yake kuhitimu elimu ya sekondari.

Mwaka mmoja ulipita Stela alikamilisha masomo yake Elimu kidato cha nne katika shule ya St Merry Goreth iliyopo Moshi mkoa wa kilimanjaro.

Maisha baada ya kumaliza Elimu ya Upili Akiwa katika nyumba moja wapo ya zilizoachwa na baba yake huko Njiro Jijini Arusha aliendelea kusimamia miradi aliyoiacha baba yake k**a vile supermarket ndogo iliyopo jijini apo maarufu k**a RM supermarket na Sheli iliyopo Ngusero.

Kuhusu mahusiano ya kimapenzi K**a kawaida kw

Address

Mbeya Mjini
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Stori za kweli katika maisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share