Goldgiver Microfinance Ltd

Goldgiver Microfinance Ltd Tunapenda kuwajulisha kuwa tunatoa mikopo midogo midogo ya fedha taslimu kwa watumishi wa sekta zote kwa wakazi wa mkoa wa Songwe na Mbeya

Goldgiver Microfinance inakutakia wewe na familia yako heri ya miaka 61 ya uhuru wa Tanzania bara.🤝
09/12/2022

Goldgiver Microfinance inakutakia wewe na familia yako heri ya miaka 61 ya uhuru wa Tanzania bara.🤝

Uongozi na timu nzima ya Goldgiver Microfinance inatoa salamu za pole kwa familia na watanzania wote kufuatia vifo viliv...
07/11/2022

Uongozi na timu nzima ya Goldgiver Microfinance inatoa salamu za pole kwa familia na watanzania wote kufuatia vifo vilivyotokana na ajali ya ndege ya Air Precision. Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi. Ameni

Familia ya GOLDGIVER MICROFINANCE inaungana na watanzania wote kukumbuka kifo cha baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage...
14/10/2022

Familia ya GOLDGIVER MICROFINANCE inaungana na watanzania wote kukumbuka kifo cha baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Kalenda zetu zipo kwenye matawi yetu yote karibu upate nakala yako hususani kwa yule ambaye tayari ni mteja wetu 🤝.
30/01/2022

Kalenda zetu zipo kwenye matawi yetu yote karibu upate nakala yako hususani kwa yule ambaye tayari ni mteja wetu 🤝.

GOLDGIVER MICROFINANCE LTD Mlowo branch, Tunaendelea kusogeza huduma karibu yako, fika ofisini ujulishwe vigezo na masha...
05/10/2019

GOLDGIVER MICROFINANCE LTD Mlowo branch, Tunaendelea kusogeza huduma karibu yako, fika ofisini ujulishwe vigezo na mashariti ya mkopo ili uendelee kuikuza biashara yako. GOLDGIVER MICROFINANCE your best solution.

21/08/2019

Habari, mikopo kwa wajasiliamali wadogowadogo inaendelea kutolewa kwa wingi kupitia matawi yetu yote na wateja wetu wanaendelea kuinua biashara zao zilizokuwa zinateteleka. Tupigie simu kupitia namba hizi
0694573330 au tembelea website yetu ya www.goldgivermicrofinance.co.tz. kwa maelezo zaidi.

15/07/2019

Habari, wakati wateja wetu wanaendelea kufurahia huduma zetu katika maeneo yote tunayopatikana, kitengo cha mikopo kinapenda kuwajulisha wateja wake kuwa mikopo ya wajasiliamali wadogo wadogo imerudi tena katika matawi yake yote piga simu no. 0719992800 fika tawini kwa maelezo na vigezo zaidi au tembelea website yetu ya www.goldgivermicrofinance.co.tz. GOLDGIVER MICROFINANCE your best solution.

25/12/2018

Uongozi na team nzima ya GOLDGIVER MICROFINANCE inayo furaha kuungana na watu wote katika kusherehekea msimu huu wa sikukuu za Krismas na mwaka mpya wa 2019 mungu aendelee kuwa pamoja nasi.

Habari njema kwa mawakala wa M-MPESA, tunapenda kuwajulisha kuwa kampuni ya Vodacom Tanzania wametuamini kwa mara nyingi...
21/10/2018

Habari njema kwa mawakala wa M-MPESA, tunapenda kuwajulisha kuwa kampuni ya Vodacom Tanzania wametuamini kwa mara nyingine na kutupatia jukumu la kuwahudumia mawakala wa M-MPESA(SUPER AGENT), na huduma tunazotoa ni float exchange yaani kuweka na kutoa fedha kwa mawakala wa mpesa, tumeanza na Ileje, Vwawa(Mbozi), Mbeya(Soweto) na Kyela. Na maeneo ya Sumbawanga mjini, Mpemba, Tunduma, Mbalizi, Mlowo, Chunya na Kamsamba tunasubiri taratibu zingine za kisheria zikamilike ili tuanze kazi huko pia, tunashukuru kwa wateja wetu wanaoendelea kutuunga mkono kwa namna moja ama nyingine, mungu awe pamoja nasi daima. Director Goldgiver microfinance Ltd.

28/07/2018

Ni dharula ipi ya kiuchumi iliyokukwamisha na kushindwa kutimiza kile ulichopanga? GOLDGIVER tupo kwa ajili yako, tembelea matawi yaliyowazi siku saba za wiki moja kati ya yafuatayo.
ILEJE. Tupo Nyuma ya Stand kuu ya mabasi na mkabala na ofisi za smart bus - 0687257 783
MBOZI. Tupo Barabara ya uhuru karibu na bank ya nmb - 0762 371 975
MBEYA; Tupo Ghorofa linalotazamana na stand ya daladala kabwe - 0719992800
KYELA; Tupo Barabara kuu mkabala na chuo cha KPC.0757206272
Tunaijali dharula yako njoo tukuhudumie. wafanyakazi wetu wapo hewani masaa 24 kwa ajili yako.

KYELA MBEYA tumewafikia. Tawi letu limefunguliwa rasmi njoo tukuhudumie.
23/06/2018

KYELA MBEYA tumewafikia. Tawi letu limefunguliwa rasmi njoo tukuhudumie.

Katika kutanua wigo wa kuihudumia jamii sasa kampuni yetu inafanya kazi na bank ya crdb pamoja na kampuni ya vodacom kat...
15/12/2017

Katika kutanua wigo wa kuihudumia jamii sasa kampuni yetu inafanya kazi na bank ya crdb pamoja na kampuni ya vodacom katika kutoa huduma za kibenk katika baadhi ya matawi yetu ya GOLDGIVER kwa viwango bora na vilivyohakikiwa. Tunaijali dharula yako, NJOO TUKUHUDUMIE.

Address

Itumba
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Goldgiver Microfinance Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Goldgiver Microfinance Ltd:

Share

Category