emanuemlingwa

emanuemlingwa Ninatoa Elimu ya fedha, namna ya kuwekeza fedha yako upate faida, pia Natoa mikopo ya riba rafiki na consultations zihusuzo fedha.

Kwa yoyote nitakae fanya nae kazi atapata Elimu ya Afya bure kabisa na consultation pia

JE UNAJUA K**A UCHKUAJI WA MIKOPO BILA KUWA NA ELIMU YA FEDHA YA NAMNA GANI UTAREJESHA UTAATHIRI AFYA YAKO??Leo tutaenda...
21/05/2020

JE UNAJUA K**A UCHKUAJI WA MIKOPO BILA KUWA NA ELIMU YA FEDHA YA NAMNA GANI UTAREJESHA UTAATHIRI AFYA YAKO??

Leo tutaenda kuangalia maeneo makuu mawili yanayoathirika zaidi.

Eneo la kwanza:Mfumo wa Fahamu
(Ubongo)
Katika eneo hili likiathirika yafuatayo yanawezekana kutokea

1.ugonjwa Wa akili
2.kusahau Mara Kwa mara
3.kupata msongo Wa Mawazo utakaopekea shinikizo la damu Kuwa juu
4.kujiua Maana ubongo unakosa maamuzi sahihi
5.kupunguza Uwezo Wa kufikiri

Eneo la pili litakaloathirika ni mfumo Wa kinga.

Mfumo wa kinga ukiathiriwa mwili utapata magonjwa nyemelezi Mara kwa Mara k**a
1.mafua na kikohozi cha Mara kwa mara
2.vidonda vya tumbo hii ni kwa sababu ya uzalishwaji Wa free radical nyingi yaani oksijeni ilionamapungufu na hii Hishambulia kuta za tumbo
3.hupelekea Kuongezeka kasi ya kuzeeka.

Ushauri :kabla ya kuchkua mkopo hakikisha una majibu ya maswali haya
Kwann na chkua mkopo
Je nitaweza kuurejesha
Je nina Elimu ya Kunisaidia kupata njia rahisi ya kurejesha

Haya yote Buce agrimoney company limited, kampuni inayotoa Elimu ya fedha na mikopo kwa riba rafiki it akusaidia kukushauri namna ya kurejesha mkopo wako kwa urahisi kabisa.
Pia kampuni hii Inatoa Elimu ya Afya kwa Wanachama wake bure

Wako pharmacist and ceo Buce agrimoney ltd, tunajali Afya na mafanikio ya mteja wetu.

Wasiliana Nasi kwa 0763231060
Au Barua Pepe, [email protected].
.

JE UNAJUA UCHKUAJI WA MIKOPO BILA MALENGO UNAVYOATHIRI  AFYA YAKO YA MWILI?FUATANA NAMI KATIKA SOMO LA KESHO.        ES ...
20/05/2020

JE UNAJUA UCHKUAJI WA MIKOPO BILA MALENGO UNAVYOATHIRI AFYA YAKO YA MWILI?

FUATANA NAMI KATIKA SOMO LA KESHO.
ES SALAAM.

SOMO LA LEO :UMUHIMU WA KUWA NA MSHAURI WA AFYA KWAKO BINAFSI AU FAMILIA YAKOJe uwahi kwenda hospitali ukakaa zaidi ya M...
15/05/2020

SOMO LA LEO :UMUHIMU WA KUWA NA MSHAURI WA AFYA KWAKO BINAFSI AU FAMILIA YAKO

Je uwahi kwenda hospitali ukakaa zaidi ya Masaa 8 Lakini ukapewa paracetamol tu Kisha ukarudi nyumbani?

Je uwahi Kuwaza nini juu ya kuboresha Afya yako na familia yako?

Twende pamoja katika Somo Hilo.
Washauri wanaweza Kuwa Daktari, nesi au mfamasia.

1. Kuwa na MSHAURI Inakusadia kuokoa muda na Pesa, kwani sio Kila ugonjwa unahitaji Kwenda hospitali na Kumbuka ukienda hospitali utapoteza muda na fedha,simanishi usiende hospitali Lakini kwa Kuwa na MSHAURI itapunguza safari zisizo za lazima za kwenda hospitali

2.kuboresha mfumo wa maisha Maana MSHAURI atakueleza ule nini na ufanye mazoezi ya Aina gani, Kumbuka takwimu zinaonesha mgonjwa mengi yanasabishwa na mfumo wa maisha mfano kisukari, shinikizo la damu nk

3.kuongeza muda wa kuishi kwani kwa kufuata maelekezo ya MSHAURI wako hii Itakusaidia kuboresha kinga ya mwili na hivyo mwili kukabiliana na mgonjwa nyemelezi.

4 kupunguza uwezekano Wa tatizo Kuwa Kubwa kwani MSHAURI Utazitambua dalili za awali na kukushauri nini cha kufanya.

5.Kwa makundi maalumu k**a wajawazito, watoto, wazee ni rahisi kuwapunguzia athari kiafya na kuboresha maisha yao

Mwisho. Nathani unafikiria juu ya gharama je uwewahi kuhudumiwa Kisha ukaomba namba ya Daktari aliekuhudumia kwa ajili ya Kuwa unamjulisha juu ya Afya yako?

ZINGATIA :kampuni ya BUCE Agrimoney limited ni kampuni atakayotoa offer ya ushauri Wa Afya bure kabisa kwa wateja wake, kampuni hii Inatoa Elimu ya fedha pia Inatoa mikopo kwa Wafanyakazi na Kuwaonesha sehemu za kuwekeza Pesa zao pindi Wachkuapo mikopo....

Wako ni pharmacist and ceo Wa Buce agrimoney company ltd.

Kwa Mawasiliano Bonyeza linki hii👇

https://wa.me/255763231060

Karibu Buce agrimoney company limited tu najali Afya ya mteja wetu.

Ukihisi maumivu mwilini mwako zingatia yafuataya, lakini kabla sijakueleza nini cha kufanya nikuelekeze Aina mbili za da...
14/05/2020

Ukihisi maumivu mwilini mwako zingatia yafuataya, lakini kabla sijakueleza nini cha kufanya nikuelekeze Aina mbili za dawa.

YA KWANZA - DAWA ZINAZOHITAJIKA CHETI CHA DAKTARI NDIPO UWEZE KUZINUNUA DUKA LA DAWA NIKIMANISHA HADI UANDIKIWE NA DAKTARI (PRESCRIPTION ONLY DRUG) mfano Wa Dawa hapa ni antibiotiki mfano amoxycillin nk, dawa za shinikizo la damu, dawa za kisukari, Dawa za macho nk

YA PILI :DAWA ZISIZOHITAJI CHETI CHA DAKARI KWA HIO UNAWEZA KUZINUNUA DUKA LA DAWA KWA USHAURI WA MFAMASIA AU DAKTARI, Mfano Wa Dawa hizi ni zile dawa za maumivu, dawa za ngozi, dawa za Minyoo na nk. (OVER THE COUNTER DRUGS).

BAADA YA KUJIFUNZA AINA ZA DAWA SASA TUANGALIE NINI CHA KUFANYA UKIHISI MAUMIVU

* Nenda duka la dawa ukapate
Ushauri Wa kitaalamu Wa
Nini ufanye au utumie dawa gani zingatia kwa mama mjamzito au kwa mtu mwenye matatizo ya moyo nenda au vidonda vya tumbo nenda hospitali au kituo cha Afya kilicho karibu nawe kwa uchunguzi zaidi.

*K**a maumivu yataendelea nenda
hospitali kwa uchunguzi zaidi.


*Epuka kutumia dawa za maumivu
Bila ushauri Wa mtaalamu Wa afya
Kwani unaweza pelekea madhara
Zaidi,

*Kwa Wanawake wanaotumia dawa
Za maumivu wakati wa maumivu ya
Hedhi epuka kutumia kabla hujapata ushauri Wa mfamasia au Daktari
Jitahidi kutumia njia za asili mfano
Kujikanda na maji ya uvuguvugu.
Kwani kutumia dawa za maumivu
Kunaweza kupeleka Kutokwa damu nyingi au kupata hatari ya vidonda vya tumbo.

ZINGATIA :sio Kila maumivu ya nahitaji utumie dawa za maumivu.

Kampuni ya BUCE Agrimoney ltd inajali Afya yako Ichague Leo kufanya nayo kazi katika Elimu ya fedha na mikopo kwa riba rafiki Ufaidike na consultants ya masuala ya Afya bure.

Wako, pharmacist and ceo of Buce agrimoney ltd,

👇
https://wa.me/255763231060.

Maumivu mwilini ni Hali ambayo hutokea baada ya kemikali itwayo protaglandins, kuzalishwa mwilini au Eicosainaids, Tutae...
13/05/2020

Maumivu mwilini ni Hali ambayo hutokea baada ya kemikali itwayo protaglandins, kuzalishwa mwilini au Eicosainaids, Tutaenda kujifunza sababu za kemikali hizi kuzalishwa na ufanye nini unaposikia maumivu
SABABU ZA KEMIKALI HIZI KUZALISHWA NI

1)Kujigonga au kujikata na kitu cha mcha Kali.
2)Maumivu ya jino

3)Maumivu ya vidonda vya tumbo

4)Maumivu katika via vya uzazi

5)Maumivu Wakati wa hedhi

6)Uvimbe mwilini ambao unaweza Kuwa ni Saratani

7)maumivu baada ya kupata ajali
Je Kila maumivu lazima unywe dawa za maumivu k**a Diclofenac au Diclopar nk, fuatana Nami Somo la Alhamis ujue nini cha kufanya unapojiskia maumivu

Emanuel, pharmacist and ceo Buce agrimoney, karibu tunajali mafanikio na Afya yako.

Address

Mbeya

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

0763231060

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when emanuemlingwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to emanuemlingwa:

Share