01/11/2023
Habari ! 🌾🌾 Je, unatafuta mchele mtamu wa Kitanzania? Nimekuja na suluhisho! Nauza mchele wa hali ya juu kutoka Mbeya, Tanzania, jumla na reja reja. Ukiwa Tanzania au popote pengine, ninaweza kukupa mchele bora kabisa. Nijulishe ni kiasi gani unahitaji! 🍚👍🏼