27/07/2015
Waziri wa Ardhi , Nyumba na maendeleo ya makazi , Mheshimiwa William Lukuvi akizindua Uuuzaji wa Hisa za MUCOBA PLC Leo jumatatu 27/07/2015 , katika ukumbumbiwa siasa na kilimo mjni Iringa . Akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza akihamasisha wananchi kununua hisa za MUCOBA PLC.