Mid One TV

Call Directions Contact the business

Mid One TV Online TV for News,Current Affairs and Entertainment

30/09/2026

Mwanadada Zaiy Lissa ameweka wazi kuwa msanii Dulla Makabila alimtolea mahari mume wake wa kwanza ili kupata kibali cha kumwoa yeye.

30/09/2026

zaiylissa afunguka na kudai wanaume wote waliowahi kuwanao kwenye mahusiano wanajua tabia yake ya kutokupiga vizinga.

29/09/2026

Warembo wa kupindi cha The Royal Circle wameamua kuweka wazi kuwa hawajaiga wazo kutoka kwa A-List, wakisisitiza kuwa A-List si wa kwanza kufanya shoo ya aina hiyo na wala hawatakuwa wa mwisho.

29/09/2026

Dudu Baya amemuomba msamaha Msanii mwenzake Ommy Dimpoz kufuatia kauli alizozitoa hivi karibuni wakati wa tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva. Akiri kutumua umaarufu wake kufikisha ujumbe wake.

29/09/2026

Ricardo Momo akimwaga maneno ya dhahabu kwa mke wake Ninos kwenye arobaini ya binti yao, Aaliyah.

29/09/2026

Dr Kumbuka anasema yeye amemchambia Dudubaya Tsh 31,000 Katika faini aliopigwa na BASATA kwa kosa la maadili.

29/09/2026

Ricardo Momo akimkabidhi mke wake Ninos kitita cha Tsh Milioni 10 pamoja na iPhone 18 Pro Max kwenye siku ya 40 ya mtoto wao Aaliyah.

29/09/2026

Uno la zuchu kwa Mume wake Diamond Platnumz usiku wa arobaini ya mtoto wa Ricardo Momo na Ninos, Sio mchezo Mahaba njee njee.

29/09/2026

Makali wa Bongo Flava Diamond Platnumz, amefunguka kuwa akikaa na muimbaji wa nyimbo za Injili Joel Lwaga huwa anapata huduma ya kiroho, lakini akauliza kuhusu Rayvanny na Jux atapata huduma gani zaidi ya kudanganyana!

29/09/2026

Kajala aweka wazi kuwa kurudiana kwake na Harmonize haijatokana na kukosa mtu wa kumpenda au kukosa sehemu ya kwenda, bali ni kutokana na amani na faraja anayoipata akiwa na Konde Boy.

Address

Kinondoni

Telephone

+255694288555

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mid One TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mid One TV:

Shortcuts

Share