Pongwa AGRO trading

Pongwa AGRO trading PONGWA AGRO TRADING dealing with seed, fertilizer and agro-chemical products of pesticides such as insecticide, herbicides fungicides and many more

08/01/2026

Wateja wetu karibuni kwa ushauri wa matumizi sahihi ya viuatilifu hasa mkija na wasaidizi wa kazi shamba ambao ndio watendaji wakuu katika matumizi hayo na ndio watumiaji


Korosho💪 Fanya maandalizi mazuri ili kupata mavuno bora  na mengi zaidi Karibuni Pongwa Trading kwa ushauri zaidi
14/06/2025

Korosho💪
Fanya maandalizi mazuri ili kupata mavuno bora na mengi zaidi
Karibuni Pongwa Trading kwa ushauri zaidi

Matumizi chanya ya viuatilifu huleta matokeo chanya kwenye mazao kwa kuzingatia afya ya mimea.Karibu tukuhudumie
11/02/2025

Matumizi chanya ya viuatilifu huleta matokeo chanya kwenye mazao kwa kuzingatia afya ya mimea.
Karibu tukuhudumie


Kazi iendelee
16/01/2025

Kazi iendelee



Byter magugu Active ingredient: glyphosate 88.8% Ni kiuagugu kinachoangamiza magugu aina yote sasa inapatikana kwa bei n...
13/12/2024

Byter magugu

Active ingredient: glyphosate 88.8%

Ni kiuagugu kinachoangamiza magugu aina yote sasa inapatikana kwa bei nafuu jumla na reja reja


Kazi kubwa inafanywa na JaliKilimo kuhakikisha inazalisha mbegu bora ikiwa na ubora wake ule ule wa asili (purity)Jipati...
30/08/2024

Kazi kubwa inafanywa na JaliKilimo kuhakikisha inazalisha mbegu bora ikiwa na ubora wake ule ule wa asili (purity)
Jipatie mbegu za bamia Okra Clemenson kwa mazao bora na mavuno ya muda mrefu Jumla na rejareja





FaruTZH536  na  ShokaTZM523 Mbegu za mahindi aina ya Faru na Shoka zinapatikana dukani kwetu karibuni sana
19/05/2024

FaruTZH536 na ShokaTZM523
Mbegu za mahindi aina ya Faru na Shoka zinapatikana dukani kwetu karibuni sana



  inapatikana dukani kwetu kwa bei nafuu Jumla na Rejareja.
18/05/2024

inapatikana dukani kwetu kwa bei nafuu Jumla na Rejareja.



Pongwa Trading na Jalikilimo inatoa pole kwa wahanga wote waliokumbwa na mafuliko katika bonde la Rufiji wilayani Rufiji...
02/05/2024

Pongwa Trading na Jalikilimo inatoa pole kwa wahanga wote waliokumbwa na mafuliko katika bonde la Rufiji wilayani Rufiji na Kibiti ambapo mafuliko hayo yameathili uwekazaji wa kilimo katika bonde hilo na makazi ya watu yasiyo ya kudumu ndani ya bonde.


Jipatie mbegu Bora za bamia Okra Clemenson C1 and C2 Purity
03/03/2024

Jipatie mbegu Bora za bamia Okra Clemenson C1 and C2 Purity

Address

Pongwa
Ikwiriri
33

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pongwa AGRO trading posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pongwa AGRO trading:

Share