Rubondo Finance Ltd

Rubondo Finance Ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rubondo Finance Ltd, Loan service, Geita.

Rubondo Finance Ltd ni kampuni inayotoa mikopo kwa wamiliki wa maduka ya dawa mhimu, wafanyakazi wa tasisi za afya binafsi, wajasiliamali wadogowadogo na wafanyakazi wa serikali.

23/08/2022

Fursa kwenu kwa wamiliki wa maduka ya dawa mhimu kwa wakaazi wa Mkoa wa Geita. Kuza mtaji wa duka lako. Tupigie leo 0767466761 na ujipatie mkopo chapchap.

Rubondo Finance Ltd ni kampuni inayotoa mikopo kwa wamiliki wa maduka ya dawa mhimu, wafanyakazi wa tasisi za afya binafsi, wajasiliamali wadogowadogo na wafanyakazi wa serikali.

01/08/2022

Rubondo Finance Ltd ni kampuni inayotoa mikopo kwa wamiliki wa maduka ya dawa mhimu, wafanyakazi wa tasisi za afya binafsi, wajasiliamali wadogowadogo na wafanyakazi wa serikali.

30/07/2022
wamiliki wote wa maduka ya dawa mhimu karibuni
30/07/2022

wamiliki wote wa maduka ya dawa mhimu karibuni

FAIDA ZA KUSAJIRI JINA LA BIASHARAFAIDA ZA KUSAJILI JINA LA BIASHARA TANZANIAJina la biashara ni jina la utambulisho amb...
23/07/2022

FAIDA ZA KUSAJIRI JINA LA BIASHARA
FAIDA ZA KUSAJILI JINA LA BIASHARA TANZANIA
Jina la biashara ni jina la utambulisho ambalo umeamua biashara yako ifahamike na kuitwa kwa jina hilo. Kwa lugha nyingine tunaweza kusema jina la biashara ni jina ambalo hutumika kutambulisha bidhaa, huduma au shughuli za biashara, aidha waweza kusema jina la biashara ni utambulisho wa huduma, bidhaa au shughuli zako Jina la biashara kwa kiingereza ni Business name.
BRELA (Business Registration and Licensing Agency) ni wakala wa serikali inayohusika na kutoa vibali na usajiri wa biashara nchini Tanzania. Kupitia BRELA-ORS mjasiriamali au mfanyabiashara anaweza kusajili jina jipya la biashara, anaweza kubadili maelezo ya jina la biashara lililokwisha kusajiliwa, anaweza kulipa ada ya kila mwaka ya jina la biashara na anaweza kuomba kusitisha usajili wa jina la bishara. Zipo faida lukuki za kusajili jina la biashara ambazo mtu, wabia au kampuni inaweza kuzipata kutokana na usajili huo. Baadhi ya faida hizo ni k**a zifuatazo;
1. Usajili wa jina la biashara unasaidia kuitambua biashara yako na kuitofautisha na biashara nyingine.
2. Usajili unakusaidia uaminifu kwa wale unaofanya nao biashara kwamba hata mamlaka za kiserikali zinatambua biashara yako.
3. Usajili wa jina la biashara inakusaidia katika mchakato wa kuifanya biashara yako itambulike kisheria na kuwa halali.
4. Usajili unasaidia kuitangaza biashara yako
5. Ukisajili jina la biashara pia inakusaidia wewe (mmiliki) kuweza kuzuia mtu mwingine asitumie jina lako isivyo halali.
6. Ni hatari kulikuza jina ambalo hujasajili. Hakikisha jina la bidhaa zako linasajiliwa ili kulinda mtu mwingine kukutumia.
7. Ukisajili jina la biashara unaweza kufungua account ya bank yenye hilo jina ulilosajili.
8. Mtu mmoja au k**a mko kikundi mnaweza kusajili jina la biashara na kikundi chenu kikafahamika kwa hilo jina kiasi kwamba hata account ya bank mnaweza kufungua kwa hilo jina.
9. Pia k**a mnataka mikopo kwenye taasisi za fedha huwa wanahitaji usajili wa namna hii k**a ushahidi kuwa ninyi ni kikundi halali na sio kikundi hewa ambacho hakijasajiliwa popote.

Karibu tukusaidie kusajili jina la biashara yako

Address

Geita

Telephone

+255767466761

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rubondo Finance Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rubondo Finance Ltd:

Share

Category