21/04/2026
🏠 *UNAMILIKI ARDHI AU UNAKAA TU?* 🏠
Watu wengi wanaamini kuwa na kiwanja ni kumiliki ardhi, lakini kisheria: K**a huna Hati, Ardhi hiyo siyo yako!
Nyaraka hizi tatu zinakutambulisha, *lakini* *HATI* pekee ndiyo ushahidi wa mwisho:
📜 Barua ya Toleo (Letter of Offer)
📜 Hati ya Miliki ya Kimila (CCRO)
📜 Umiliki wa Kujitwalia (Adverse Possession)
Unayo ardhi Dodoma lakini huna muda wa kufuatilia Hati? Usipoteze urithi wa vizazi vyako kwa uzembe!
✅ Sisi tunakushughulikia mchakato mzima wa Hati mpaka ikufikie mkononi.
📍 *Tupate* : Stendi Kuu ya Mkoa wa Dodoma, Chumba No: 18.
📞 *Wasiliana nasi:* 0763581704
*A & K CREST CORPORATE SERVICES*
"Ardhi yako, Hati yako, Urithi wa vizazi VYAKO