Mauja Jr's

Mauja Jr's Financial market, Fx&Vix trader, Technologist and Bussiness& Marketing expert,Not a financial advisor

Vini Jr.'s response to Man City fans' "Stop crying your heart out" banner:-Helped create goal to make it 2-2-Assisted Ju...
12/02/2025

Vini Jr.'s response to Man City fans' "Stop crying your heart out" banner:

-Helped create goal to make it 2-2
-Assisted Jude Bellingham's winner
-MOTM

Got the last laugh 🥶

🖱It's Finally Neymar amerejea Brazil👑Baada ya kuvuna mabilioni ya fedha kwenye soka la Ulaya, Neymar Jr ameamua kurejea ...
01/02/2025

🖱It's Finally Neymar amerejea Brazil👑

Baada ya kuvuna mabilioni ya fedha kwenye soka la Ulaya, Neymar Jr ameamua kurejea kwenye klabu iliyomlea—Santos FC.

Kabla ya utambulisho wake, alipiga goti k**a ishara ya heshima na kumuomba Mungu.

Thread: ⤵️

Kisha, huku machozi yakimtoka, akaibusu nembo ya Santos na kurudia ushangiliaji wake wa enzi zile.

Hii ni hadithi ya kilele na mwisho wa safari ya nyota mmoja wa zama hizi.

Wapenda soka wengi hawajafurahia uamuzi wa Neymar. Lakini at the end of the day we care about his happiness.

Madhabiki walitamani bado awe Ulaya, akipigania nafasi yake ya kuwa miongoni mwa wanasoka wakubwa.

Tangu akiwa kinda, watu waliamini angeweza kushinda Ballon d'Or angalau mara moja. 🔥

Je, nini kilikwamisha ndoto hiyo?

✅ Barcelona 2013-2017

Alipotua Camp Nou, alikuwa kipaji safi. Lakini kivuli cha Lionel Messi kilimfanya asitawale kikamilifu.

✅ PSG 2017-2023

Alipoenda PSG, alitaka kuwa mfalme wa timu. Lakini baada ya miaka miwili, ujio wa Kylian Mbappé ulibadili mpango mzima.

Baada ya hapo, alihisi kutengwa na klabu ikaanza kujengwa kumzunguka Mbappé.

Tatizo kubwa likawa majeraha.
Kati ya misimu 6 aliyocheza PSG, alikosa 53% ya mechi kwa sababu ya majeraha!

⚠️ 2018: Majeraha yakamfanya akose mechi muhimu vs Man United (UCL)

⚠️ 2019: Alikosa Copa América, Brazil wakashinda bila yeye

⚠️ 2021-2023: Mechi nyingi alizocheza zilikuwa chache sana kumlinganisha na nyota wa kiwango chake

Hatimaye, PSG walichoka, naye akaamua kuondoka.
Akachagua Saudi Pro League, akijiunga na Al-Hilal kwa mkataba wa €300M kwa miaka miwili. 💰

Lakini majeraha bado yakamuandama. Katika mechi 9 pekee, alifunga bao 1 na kutoa assist 3.

Baada ya jeraha lingine kubwa, Al-Hilal wakaamua kuvunja mkataba wake.

Ndoto ya kuendelea kutamba duniani ilizimika kabisa.

Wanadamu hawana huruma.
Watu wakaanza kusema: "Wabrazil ndivyo walivyo—wanapenda sana starehe!" 😏

Lakini Neymar si wa kwanza:

🇧🇷 Ronaldinho: Alipoanza kupungua makali, Barcelona walimtema haraka.

🇧🇷 Kaká: Alishinda Ballon d'Or 2007, lakini majeraha yalimmaliza.

🇧🇷 Ronaldo Nazário: Aliumia vibaya, lakini bado akarudi kushinda Kombe la Dunia 2002.

Kwa Neymar, hakukuwa na kurudi tena.

Wanasema ukikosa kila sehemu, rudi nyumbani.

Neymar amerudi Santos FC akiwa shujaa. Hapa hatakuwa na presha ya kushindana na Mbappé, Haaland, au Vinícius Jr.

Ni k**a kustaafu kwa heshima.

⚽️ Anaondoka bila Ballon d’Or
⚽️ Anaondoka bila Kombe la Dunia

Lakini anaondoka akiwa na historia ya mmoja wa wanasoka wenye kipaji cha kipekee kuwahi kutokea!

Katika historia ya soka, kuna wachezaji wachache waliofanikiwa k**a Neymar:

🏆 29 trophies
⚽️ 436 club goals
🎯 270+ assists
💰 Mchezaji ghali zaidi duniani (€222M 2017, PSG)
🌎 Mchezaji wa pili mwenye magoli mengi kwa Brazil (79), nyuma ya Pele (77)

Kwa wengi, Neymar hatakuwa katika hadhi ya Messi au CR7, lakini ubunifu wake ulibadilisha mchezo wa soka.⤵️
Neymar aliwapa mashabiki wa soka:

✅ Mbinu kali za dribbling 🎭
✅ Ubunifu wa hali ya juu 🧠
✅ Magoli ya kiufundi 🎯
✅ Sense of humor uwanjani 😂

Huwezi kumzungumzia soka la karne ya 21 bila Neymar.

Ni msanii aliyepaka rangi mchezo wa mpira wa miguu! 🎨

Asante kwa burudani, Neymar da Silva Santos Júnior. 🏆🔝

Hatujakusahau, na hatutakusahau. 🙌

🚨 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄: Man City are planning to INCLUDE Rodri in the list for Champions League knockouts, reports Telegraph! 💣💣😯Altho...
30/01/2025

🚨 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄: Man City are planning to INCLUDE Rodri in the list for Champions League knockouts, reports Telegraph! 💣💣😯

Although there were fears for Rodri to be out until the end of the season, the player now hopes to be back soon and help City in the crucial stages ✨

🚨🗣️ "You are not a WORLD Class player, so we won't pay you more than €10M a year. Take it or leave." ❌😳⬇️That's what the...
30/01/2025

🚨🗣️ "You are not a WORLD Class player, so we won't pay you more than €10M a year. Take it or leave." ❌😳⬇️

That's what the president of Bayern Munich told Toni Kroos in 2014.

"Kroos wanted to have the same salary as Mario Götze, who had arrived at the club as a Bundesliga star."

In the same year, Toni Kroos went on Winning The World Cup in which he scored a BRACE against Brazil in 1-7 demolition in Semis.

Carlo Ancelotti personally requested Real Madrid to sign Toni Kroos, who believed the player would play a key role in Real Madrid's Midfield.

Real Madrid went on Signing Toni Kroos for just €25M. 🤯

Only 8000 fans attended Kroos's Real Madrid presentation..

and The Rest is History.... 😮‍💨

Toni Kroos RETIRED not only as One of The Greatest Players in Real Madrid's History but also One of The Greatest in Football History! 🐐

LEGEND OF THE GAME. ❤️⚽👏

😀😀😀
20/09/2023

😀😀😀

Mbn wanatuchanganya? Hatuelewani sasa wanataka tuwe loyal au tuwacheat?? 😂😂
17/09/2023

Mbn wanatuchanganya? Hatuelewani sasa wanataka tuwe loyal au tuwacheat?? 😂😂

Kuna mtu anabisha na hili? 😀😀
17/09/2023

Kuna mtu anabisha na hili? 😀😀

Weekly trades
17/09/2023

Weekly trades

Address

Dodoma
41111

Telephone

+255757789229

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mauja Jr's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mauja Jr's:

Share