23/07/2024
⭐ "UMOJA PLUS"⭐
Huduma Mpya ya Kikundi Mwanachama kutoka Wazabuni SACCOS Ltd.!
Je, nyinyi ni kikundi, kikoba, chama , taasisi ya kiraia/kidini? Jiungeni na *Umoja Plus*
leo na mnufaike na nguvu ya umoja plus!
Manufaa ya Umoja Plus
✅ Mikopo Nafuu kwa Vikundi:
Pata mikopo yenye riba nafuu kwa ajili ya miradi ya pamoja ya kikundi na uwezesahji kwa wanachama.
✅ Uwekezaji wa Pamoja:
Kikundi kuongeza kipato kupitia faida ya uwekezaji wa pamoja na Kikundi Mwanachama.
✅ Usimamizi Bora wa Fedha:
Huduma za kifedha zilizobuniwa kwa ajili ya kikundi chako na usimamizi Bora wa fedha za kikundi.
✅ Ushirikiano na Mshikamano:
Imarisha nguvu ya kikundi na wezesha wanachama wako.
✅ Bima ya afya na majanga
Kila mwanachama kupata uhakika wa bima ya afya na mkono wa pole kipindi Cha majanga.
Huduma ya "UMOJA PLUS" ni Kwa Ajili ya:
- Vikundi vya Kijamii
- Vikoba
- Taasisi za Kidini na za kiraia*
kuza mtaji wa kikundi/chama chenu maradufu kupitia umoja plus kutoka wazabuni saccos ltd. 💰
Kwa mawasiliano
0786930107
0710274997