08/01/2016
Taasisi ya Huduma za Kifedha na Kuboresha Makazi(TAFSUS) inatangaza uuzaji wa viwanja ilivyopima eneo la Tundwi, Songani Kigamboni, karibu na Dar es salaam Zoo. Fomu za maombi zinapatikana ofisi zetu zilizopo Msasani mkabala na jengo jipya la polisi Oyster bay kwa Tsh 30,000/=, Pia kuna fursa ya kununua kiwanja kwa mkopo kutoka benki ya Azania. Wasiliana nasi kwa namba +255222664685 au 0743348898 kwa maelezo zaidi. Karibuni wote.