Wakala wa HaloPesa

Wakala wa HaloPesa Kuwa Wakala wa Halopesa ni huduma ya kifedha kwa njia ya simu (Mobile Money Service) inayotelewa kwa

✅ 2024 Shincheonji Word Seminar Viewing Guide[Seoul Yeongdeungpo] Shincheonji Word Seminar· Topic: Revelation Fulfillmen...
05/10/2024

✅ 2024 Shincheonji Word Seminar Viewing Guide

[Seoul Yeongdeungpo] Shincheonji Word Seminar
· Topic: Revelation Fulfillment Reality Evidence
· Date: 2024. 10. 5. (Sat) 8AM
· Lecture: General Chairman Man-hee Lee

Watch the live broadcast once a day, and if you leave comments and recommendations, the revelation will be spread to more people ❤️

[EN] [Seoul Yeongdeungpo] Shincheonji’s Bible Seminar

https://youtube.com/live/J1LWcUwnOKQ?

[Seoul Yeongdeungpo] Shincheonji’s Bible Seminar | Shincheonji Church of Jesus· Theme: Testimony on the Fulfilled Realities of Revelation · Date: Saturday, ...

15/07/2024
Habari yako Mtu wa Mungu!Natumaini U Mzima?😊Naitwa Henry, ni Mtumishi wa Mungu kutokea chuo cha umisheni cha Sayuni, Kil...
30/05/2024

Habari yako Mtu wa Mungu!
Natumaini U Mzima?😊
Naitwa Henry, ni Mtumishi wa Mungu kutokea chuo cha umisheni cha Sayuni, Kilichopo Dar es Salaam.

Katika fumbo hili tunaona kuna mvuvi, bahari, nyavu / juya, samaki na chombo cha kubebea samaki wazuri.

Je fumbo hili linawahusu samaki au fumbo hili lawahusu watu waishio duniani?

HABAKUKI 1:14
"na kufanya wanadamu kuwa k**a samaki wa baharini, k**a vitu vitambaavyo, ambavyo havina mtawala”.

Kumbe Watu wamefananishwa na samaki katika Biblia, kwa maana hiyo fumbo hili linazungumzia watu na si samaki, watu hawa wako baharini.

Je bahari ni nini?
Ikiwa Samaki = watu, basi pia bahari imetumika k**a fumbo.

AMOSI 8:12
“12Nao watatangatanga toka bahari hata bahari; na toka upande wa kaskazi hata upande wa mashariki; watapiga mbio, wakienda huku na huko, kulitafuta neno la BWANA, wasilione.”

Je watu hutafuta neno baharini?? hapana
Je kwahiyo bahari ni nini??

Ni matumaini kuwa unatamani kujua zaidi..
Maana ya mvuvi,
Maana ya nyavu,
Maana ya juya,
Maana ya bahari, na
Maana ya chombo pia.

Napenda kukualika katika mafunzo haya ya Biblia ambayo utapata kufahamu mengi kuhusu Mafumbo, Unabii na Utimilifu na Kitabu Cha Ufunuo.

Mafunzo haya huwa ni siku 4 Tu Kwa wiki (J3, J4, Alh & Ijum)
Muda:
Saa 3 hadi 5 Asubuhi au
Saa 1 hadi 3 Usiku

Unaweza kufika Katika vituo vyetu vilivyopo
Mwananyamala, Kimara, Kigamboni, Mbagara au Tabata

Yohana 17:3. Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

👉FURSA YA KUJIUNGA NA CHUO CHA BIBLIA NI KWAAJILI YA WOTE (WACHUNGAJI WA MADHEHEBU MBALIMBALI, MASHEMASI, WAINJILISTI, NA WASHIRIKA AU WAUMINI WOTE) NJOO UKUTANE NA NENO LILILOFUNULIWA KTK HUU UJIO WA PILI WA YESU KRISTO.

NB:
HAKUNA ADA WALA MALIPO YOYOTE
0620150540

2024 Semina ya Kitabu cha UfunuoInatolewa na Shincheonji Kanisa la YesuMada: Ushahidi halisi wa utimilifu wa ufunuo. Muo...
20/04/2024

2024 Semina ya Kitabu cha Ufunuo
Inatolewa na Shincheonji Kanisa la Yesu

Mada: Ushahidi halisi wa utimilifu wa ufunuo.
Muongoza mada: Mwenyekiti Lee Man Hee

Tar 20.04 Jmosi - Saa 4 usiku

Itarushwa live Youtube, unaweza kuangalia kwa kubofya link apo chini kwa kuchagua lugha unayopenda ifikapo saa 4 asubuhi

Kingereza
https://bit.ly/49xIzxC

Kiswahili
https://bit.ly/49Dp9Hq

Share your videos with friends, family, and the world

HabariVitu visivyozuilika ni DIGITAL CURRENCY pesa ya mtandaoni Cryptocurrency, ndo habari Duniani aikwepeki.kuna Bitcoi...
30/12/2023

Habari
Vitu visivyozuilika ni DIGITAL CURRENCY pesa ya mtandaoni Cryptocurrency, ndo habari Duniani aikwepeki.
kuna Bitcoin, Ethereal Polkadot, zote hizo ni Crypto digital cash na sasa imekuja Pi Network

Ni sarafu mpya ya kidijitali iliyotengenezwa na Stanford PhDs, ikiwa na zaidi ya wanachama milioni 35 duniani kote.

Unachotakiwa nikutengeneze Akaunti yako
Ili kupata Pi yako, fuata link hiki 👇🏼👇🏼👇🏼
https://minepi.com/henrymavulla na utumie jina langu la mtumiaji (henrymavulla) k**a code yako ya mwaliko.
na kila siku baada ya 24hrs unakuwa unabonyeza Button ambayo itakuwa inakuingizia point,
hizo point zitakuja kuwa Token zako.

Kikubwa JIUNGE SASAA UTAKUJA KUNISHUKURU Haitaji kulipia ada yoyote Wala kuwekeza chochote. Ni BUREEEEEEEEEE
👇🏼👇🏼👇🏼
https://minepi.com/henrymavulla

Waswahili tunapenda kusema kizuri kula na ndugu Mimi Sina baya k**a unaona sio lazima kwako ulazimishwi
Ila hi ni Fursa ya kweli kwa dunia nzima. Wahi Sasa pakua programu ya pi network na kujisajili.

Tuna jina henrymavulla k**a i katika msimbo wa mwaliko.

Pi is a network of tens of millions of humans mining Pi cryptocurrency to use and build the Web3 app ecosystem.

Pi is a new digital currency developed by Stanford PhDs, with over 47 million members worldwide. To claim your Pi, follo...
14/11/2023

Pi is a new digital currency developed by Stanford PhDs, with over 47 million members worldwide. To claim your Pi, follow this link https://minepi.com/henrymavulla and use my username (henrymavulla) as your invitation code.

Pi is a network of tens of millions of humans mining Pi cryptocurrency to use and build the Web3 app ecosystem.

HALOPESAMahitaji/Viambatanisho1: Kopi ya TIN NO2: Kopi ya kitambulisho3: Namba ya halotel na iwe na laki mmoja kwa accou...
31/10/2023

HALOPESA
Mahitaji/Viambatanisho
1: Kopi ya TIN NO
2: Kopi ya kitambulisho
3: Namba ya halotel na iwe na laki mmoja kwa account

Tutumie nyaraka hapa
Mawasiliano:
0620 150 540
0734 218 497

Share/Watumie na WengineJipatie Laini ya uwakala wa AZAMPESAKaribuni sana - Ndani ya Saa 24 BUREEEE...Mahitaji/Viambatan...
15/07/2023

Share/Watumie na Wengine

Jipatie Laini ya uwakala wa AZAMPESA
Karibuni sana - Ndani ya Saa 24 BUREEEE...

Mahitaji/Viambatanisho:
1. Kopi ya TIN namba
2. Kopi ya Kitambulisho
3. Namba ya mtandao wowote

Tutumie nyaraka hapa
Mawasiliano: 0620150540, 0734218497, 0629100004

Jiunganishe na Group letu na Share kwa wengine
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
https://chat.whatsapp.com/FH5t5ZjL81rLY3tQH2pY06

Usiwe na wasiwasi Tena, pangasherehe ipoo kwaajili ya kufanikisha sherehe yako.Itakupatia kumbi, MC & MUZIKI, cake, wapa...
24/04/2022

Usiwe na wasiwasi Tena, pangasherehe ipoo kwaajili ya kufanikisha sherehe yako.

Itakupatia kumbi, MC & MUZIKI, cake, wapambaji, wapishi na Kila utakalohitaji katika sherehe yako, itakupatia watoa huduma kulingana na budget yako.

Wasiliana nasi Sasa: 0620150450, 0748601601

Tembelea website yetu
www.pangasherehe.com
www.pangasherehe.co.tz

Fika ofisini kwetu
Ilala, Amana, mtaa WA tukuyu.

Hii inakuhusu!Ikiwa wewe ni Freelance/ Msajili wa Line za mitandao ya Simu, Usipitwe na Fulsa hii ya kujiongezea kipato ...
28/02/2022

Hii inakuhusu!
Ikiwa wewe ni Freelance/ Msajili wa Line za mitandao ya Simu, Usipitwe na Fulsa hii ya kujiongezea kipato chako. Wasiliana nasi kwa namba 0629102314 kwaajili ya kujipatia fulsa hii.
Karibu sana.

Kampuni kubwa na iliyoenea katika nchi ya Tanzania pamoja na nchi jirani 'Bakhresa Group' imeleta sokoni huduma mpya ya ...
27/01/2022

Kampuni kubwa na iliyoenea katika nchi ya Tanzania pamoja na nchi jirani 'Bakhresa Group' imeleta sokoni huduma mpya ya kifedha ijulikanayo k**a .

Huduma hii ni k**a zilivyo huduma nyinginezo za M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa and the like.

Ili kuielewa zaidi huduma hii, nitaenda katika mtindo wa Maswali na kisha majibu.

Je, Azam wameanzisha mtandao wao wa simu?
Hapana. Azam bado hawajaanzisha mtandao wao k**a zilivyo kampuni kadhaa za mawasiliano hapa nchini.

Bali AzamPesa wameingia makubaliano na baadhi ya mitandao kwa ajili ya kuwezesha upatikanaji wa huduma kupitia line za mitandao hiyo.

Mpaka sasa AzamPesa wameshakubaliana na Tigo, Airtel na Zantel. Hivyo huduma hii inapatikana katika line za mitandao tajwa.

Vodacom, Halotel na mitandao mingine bado wapo kwenye mazungumzo. Watakapokubaliana basi huduma hii itawezeshwa katika line hizo.

Je, huduma hi inahusika
na nini?
K**a ilivyo huduma zingine, huduma hii inahusika na;
1.Kutuma Pesa
2.Kutoa Pesa
3.Kulipia bili
4.Kulipia bidhaa za Azam

Je, huduma hii imeanza kufanya kazi?
Ndiyo, huduma hii imeshaanza kufanya kazi kwa wateja wote waliosajiliwa.

Je, najiungaje na huduma hii?
Fika katika duka la wakala na uweze kusajiliwa. Kinachohitajika ni namba yako ya simu pamoja na namba yako ya NIDA. Ndani ya dakika mbili tayari utakuwa umeshasajiliwa kuwa mteja wa AzamPesa.

Je, huduma naweza kupata vifurushi 'bundles' maalum vya Azam?
Hapana. K**a ambavyo nilijwishaeleza hapo juu kwamba Azam bado hawajaanzisha mtandao wao hivyo swala la vifurushi linabakia kuwa maamuzi ya mtandao husika.

Je, huduma hii naipata wapi?
Huduma hii inapatikana katika mikoa yote Tanzania. Ijapokuwa bado haijatapakaa kila mahali lakini upatikanaji wake katika maeneo mengi ya miji ni uhakika.

Je, menu 'ussd' ya AzamPesa ni ngapi?
Baada ya kusajiliwa, utabadili namba ya siri. Hivyo utabonyeza *150*08 # na kuweza kupata huduma ya AzamPesa.

K**a una swali lolote kuhusiana na huduma za AzamPesa, basi karibu.

Mawasiliano: 0629102314, 0628 070 188, 0620133220

Address

Dar Es Salam
16147

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wakala wa HaloPesa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wakala wa HaloPesa:

Share