Hashawa Credit Company Limited

Hashawa Credit Company Limited HASHAWA CREDIT COMPANY LIMITED ni kampuni inayohusika na mikopo kwa wajasiliamali wadogowadogo. Na tunaanza kukopesha kuanzia SH 50,000 HADI SH 2000,000/=

HASHAWA CREDIT COMPANY LIMITED ni Kampuni inayopatikana Kijijini Streat, Karibu na Stendi ya zamani ya mabasi ya Mwenge. Imeanzishwa mwaka 2015. Pia ni kampuni inayohusika na mikopo kwa wajasiliamali wadogowadogo na wafanyabiashara mbalimbali. Na tunaanza kukopesha kuanzia Elfu na Hamsini (Tshs 50,000/=) hadi Tshs Milioni mbili (Tshs 2,000,000/=) na vigezo vyetu ni rahisi.Tunatoa huduma zetu ndan

i ya masaa kumi na mbili (12) kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi, na ina malengo ya kusaidia wajasiriamali na wafanyabiashara katika biashara zao.

Address

Mwenge Kijijini
Dar Es Salam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hashawa Credit Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share