Upright audit firm

Upright audit firm we provide financial audit services and consultant service to our clients .

28/03/2026

Online Tax Clinic

Tumekuandalia online tax clinic kwa ajili yako wewe mfanyabiashara itakayokuwa ya siku mbili ambayo ni tarehe 1 April & tarehe 2 April.

Usipange kukosa.





06/03/2026

Leo tumeweza kushiriki katika uzinduzi wa jukwaa la wanawake na kodi.
Jukwaa hili limeandaliwa na mamlaka ya mapato Tanzania, katika ukumbi wa JNICC.





16/02/2026

Watu watano ambao wanastahili na kuhudhuria training yetu ya mwezi Machi.




11/02/2026

Usipitwe!

Workshop yetu ya Filling Returns sasa ipo Online na Physical.
​Iwe uko mikoani au Dar, Iwe ndani au nje ya nchi tunakusubiri mwezi huu wa Machi!

Wasiliana nasi kupitia +255 (0) 685 357 956

06/02/2026

Moja ya kosa kubwa sana ambalo wafanyabiashara wengi tunalikosea katika safari yetu ya ushindi, ni kuchanganya pesa za matumizi binafsi na biashara katika akaunti moja ya kifedha. Jamba ambalo lina impact moja kwa moja katika masuala mazima ya kikodi.






Tax

Mfanyabiashara unafahamu mfumo wa Idras unaanza kutumika lini?Mfumo wa Idras unaanza kutumika rasmi tarehe tisa mwezi wa...
03/02/2026

Mfanyabiashara unafahamu mfumo wa Idras unaanza kutumika lini?
Mfumo wa Idras unaanza kutumika rasmi tarehe tisa mwezi wa pili (9/02/2026).





Ukiwa k**a mfanyabiashara kwenye safari ya ushindi rekodi ndogondogo na maamuzi madogomadogo ndiyo hupelekea matokeo mak...
31/01/2026

Ukiwa k**a mfanyabiashara kwenye safari ya ushindi rekodi ndogondogo na maamuzi madogomadogo ndiyo hupelekea matokeo makubwa.





30/01/2026

Usisubiri mpaka mambo yawe mengi!
​Kama wewe ni mjasiriamali, siri ya amani katika biashara ni kufanya makadirio yako ya kodi mapema. Gawanya malipo yako katika robo nne za mwaka na uendelee kukuza biashara yako bila hofu.

​Tayari umeshafanya makadirio yako? Tuambie kwenye comments!

Habari njema kwa Wafanyabiashara! Je, unajua IDRAS ni nini?Masuala ya kodi sasa yamerahisishwa kiganjani mwako! TRA imel...
27/01/2026

Habari njema kwa Wafanyabiashara! Je, unajua IDRAS ni nini?

Masuala ya kodi sasa yamerahisishwa kiganjani mwako! TRA imeleta mfumo wa IDRAS (Integrated Domestic Revenue Administration System) mahususi kwa ajili ya kurahisisha huduma za kodi nchini.

Iwe wewe ni mfanyabiashara mkubwa au mdogo, IDRAS inakusaidia:
-Kujisajili na kulipa kodi kwa urahisi.
-Kutoa risiti za kielektroniki BURE (bila mashine ya EFD!).
-Kuomba marejesho na misamaha ya kodi.
-Kupata huduma saa 24/7 popote ulipo.

26/01/2026

Je unafahamu nini kuhusu mfumo mpya wa IDRAS?

Habari njema ni kwamba TRA wamezindua mfumo huu mpya.
Hivyo basi ukiwa k**a mfanyabiashara kwenye safari yako ya ushindi, hakikisha unafahamu walau basics za kuhusu mfumo huu.






Address

SAMORA AVENUE
Dar Es Salam
+255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Upright audit firm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share