Kilimo Ushirika Saccos

Kilimo Ushirika Saccos Kilimo Ushirika Savings and Credit Cooperative Societies Limited. Registration Na. DSR 568

This page aims at interacting with KIUSACCOS members to be updated with current information, services and products

06/06/2017
06/02/2017

Habari ndugu zangu! Kwa wale wanaotaka kupata taarifa zaidi kuhusu Kilimo Ushirika SACCOS tafadhali tuwasiliane kupiti

08/01/2017
08/01/2017

Sheria Mpya ya Vyama vya Ushirika Na. 6 ya mwaka 2013

08/01/2017

Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) ulipitisha kwa kauli moja kuwa na meneja wa kuajiliwa ambaye atasimamia kwa karibu shughuli za kila siku za Kilimo na Ushirika SACCOS.

Fuatilia matangazo ya kazi hiyo ya Meneja wa Kilimo na Ushirika SACCOS na omba nafasi hiyo k**a utakuwa unakidhi vigezo.

08/01/2017

Mambo muhimu katika mkutano wa mwaka wa Kilimo Ushirika SACCOS ni uzingatiaji wa sheria mpya ya vyama vya ushirika Na. 6 ya mwaka 2017; Kanuni za vyama vya ushirika za mwaka 2015; na kanuni za SACCOS za mwaka 2016.

Bwana Ndungi ambaye siyo mjumbe wa Bodi alichaguliwa kwa kauli moja kuwa Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa Kilimo na Ushirika SACCOS.

08/01/2017

Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) wa Kilimo na Ushirika SACCOS umefanyika tarehe 7/1/2017 kwa mafanikio makubwa.

01/01/2017

BODI YA KIUSACCOS INAWATAKIA WANACHAMA WOTE KHERI YA MWAKA MPYA WA 2017. TUNAPENDA KUWASHUKURU SANA KWA KAZI KUBWA ZA KIUCHUMI NA KIJAMII AMBAZO ZIMETEKELEZWA KATIKA MWAKA 2016. TUNAWAPONGEZA KWA KUENDELEA KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA KIUSACCOS KATIKA MWAKA ULIOPITA. NI MATEGEMEO YETU KUWA TUNAPOANZA MWAKA 2017 TUTAONGEZA KASI YA KUTEKELEZA MAJUKUMU YA CHAMA ILI KUFANYA VIZURI ZAIDI.

KUMBUKA NA ZINGATIA KATIKA KALENDA YAKO KUWA TAREHE 7 JANUARI 2017 KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU WA MWAKA, FUATILIA TANGAZO LA MKUTANO KATIKA MBAO ZA MATANGAZO AU PIGA SIMU KWA WATENDAJI WA CHAMA KUPATA UFAFANUZI.

TAFADHALI HUDHURIENI MKUTANO HUO BILA KUKOSA.

------------------MWENYEKITI------------------

Address

Dar Es Salaam
15471

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimo Ushirika Saccos posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share