Lexis Insurance Agency

Lexis Insurance Agency Lexis Insurance Agency Ltd.

22/08/2022

Punguza Stress Zisizo za lazima. ✂Katia gari lako bima Nasi

Tutakufuata popote D'sm na kukuhudumia

Piga📞/sms/Dm
+255 (0) 789 020 969

09/08/2021

Punguza Stress Zisizo za lazima. ✂Ikatie Bima Nyumba/biashara/gari yako.

Tutakufuata popote D'sm na kukuhudumia

Piga📞/sms/Dm
+255 (0) 789 020 969

Punguza Stress Zisizo za lazima. ✂Katia gari lako Bima kubwa.Tutakufuata popote D'sm na kukuhudumiaPiga📞/sms/Dm+255 (0) ...
30/07/2021

Punguza Stress Zisizo za lazima. ✂Katia gari lako Bima kubwa.

Tutakufuata popote D'sm na kukuhudumia

Piga📞/sms/Dm
+255 (0) 789 020 969

Je, Unahitaji bima?1. Bima za vyombo vya moto k**a vile, gari ndogo, malori ya mizigo, mabasi, daladala, pikipiki, bajaj...
23/06/2021

Je, Unahitaji bima?

1. Bima za vyombo vya moto k**a vile, gari ndogo, malori ya mizigo, mabasi, daladala, pikipiki, bajaji n.k

2. Bima za afya

3. Bima za safari ya anga

3. Bima za ujenzi

4. Bima za moto

5. Bima za viwanda na mitambo. N.k

Wasiliana Nasi.

Piga📞/Sms/Dm
+255 (0) 789 020 969

Je, unajua hatua za kufuata pindu unapopata ajari, ukiwa na bima kubwa (comprehensive ) au ndogo (Third Party).Fuata atu...
09/04/2021

Je, unajua hatua za kufuata pindu unapopata ajari, ukiwa na bima kubwa (comprehensive ) au ndogo (Third Party).

Fuata atua zifuatazo,-

1. Simama/Acha chombo chako sehemu ya tukio/Piga picha za ajari kisha report kitu cha police kilicho karibu.
_______________________________
2. Toa taarifa kwa mtoa huduma wako wa bima kisha atakupatia fomu ya madai (claim form). Utapaswa kuijaza
_______________________________

3. Hakikisha mtu wa usalama anakupatia huduma ifuatayo.

(a). Atakagua gari lako na kukupa Nakala ya Ukaguzi wa gari (Vehicle Inspection Report)

(b). Atachukua taarifa za ajari na kukuandikia reporti (Police Report)

(c) Atakagua gari na kuanda mchoro wa ajari husika. Na kukupatia nakala ya mchoro

_______________________________
(d). Peleka gari yako ktk gereji yoyote ambayo itakupatia garama za awali za matengenezo (Repair Profoma Invoice).

-Baada ya kuwa kamilisha vitu hivyo. Sasa waweza kupeleka ombi lako la Madai ya kulipwa.

***** I n a e n d e l e a ****

______________________________

Perfect Risk Helper

Linda nyumba yako dhidi ya majanga ya moto. ✂ Ikatie bima nyumba yako sasa._________________________________________Nyum...
19/07/2020

Linda nyumba yako dhidi ya majanga ya moto. ✂ Ikatie bima nyumba yako sasa.
_________________________________________
Nyumba ya Milion 100 @ 177,000/-Tzs kwa Mwaka

Nyumba ya Milion 200@ 354,000/-Tzs

Nyumba ya Milion 300 @ 531,000/-Tzs

Kwa Maelezo juu ya bima na Ushauri

Piga📞/sms/Dm
+255 (0) 789 020 969

Je?, unajua ukiwa na bima kubwa (comprehensive), bima tunakulipia.- -Matengenezo ya gari lako___________________________...
14/07/2020

Je?, unajua ukiwa na bima kubwa (comprehensive), bima tunakulipia.-
-Matengenezo ya gari lako
_____________________________________________________
-Tunakulipa gari lenye thamani uliyo ikatia iwapo gari lako litapata ajari na kuthibitika alitengenezeki
_____________________________________________________
-Tunakulipa pesa ya kulivuta/kulibeba gari lako toka barabarani hadi garage
______________________________________________________
-Tunamlipa uliemsababishia ajari/kumgonga.
______________________________________________________
-Tunakulipa pesa ya matibabu. -N.k
______________________________________________________
Unasubiri nn sasa kata bima kubwa sasa.

Tupigie +255 (0) 789 020 969. Utafuatwa popote na kuhudumia kwa wateja wa Dar es salaam.

Address

Samora Avenue/Morogoro Road
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lexis Insurance Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share