Watumishi Housing Investments

Watumishi Housing Investments Kwasasa inasimamia mfuko wa Nyumba Fund na Faida Fund.

Watumishi Housing Investments (WHI) ni taasisi ya umma iliyopo chini ya ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) iliyopewa dhamana ya kusimamia uwekezaji wa pamoja.

πŸ’”πŸ•―οΈ SALAMU ZA POLE πŸ’”πŸ•―οΈ
07/09/2026

πŸ’”πŸ•―οΈ SALAMU ZA POLE πŸ’”πŸ•―οΈ

Faida Fund Performance For more information: ☎️ +255 22 292 2211, πŸ’¬ +255 764 999 417      .
07/09/2026

Faida Fund Performance

For more information: ☎️ +255 22 292 2211, πŸ’¬ +255 764 999 417

.

Utendaji wa Mfuko wa Faida Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi sasa: +255 22 292 2211, +255 764 999 417      .
07/09/2026

Utendaji wa Mfuko wa Faida

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi sasa: +255 22 292 2211, +255 764 999 417

.

Wafanyakazi wa Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) kanda ya Dar es salaam pamoja na watumishi...
04/09/2026

Wafanyakazi wa Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) kanda ya Dar es salaam pamoja na watumishi wa Shirikala la Taifa la Maendeleo (NDC) wamepata nafasi ya kushiriki mafunzo ya uwekezaji katika masoko ya fedha kupitia mfuko wa Faida Fund pamoja na fursa nyingine za uwekezaji katika milki zinazotolewa na Watumishi Housing Investments (WHI)

Mafunzo hayo yametolewa leo Septemba 04,2026, jijini Dar es salaam ili kuwawezesha watumishi hao kuanza safari ya uwekezaji kwa kujisajili Faida Fund na kuanza mpango wa uwekezaji kila mwezi kwa kukatwa moja kwa moja kutoka kwenye mshahara kupitia dirisha la e-Wekeza.

Address

6th Floor, Golden Jubilee Towers, Ohio Street, P. O. Box 5119
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255222922211

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Watumishi Housing Investments posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Watumishi Housing Investments:

Shortcuts

Share