23/02/2026
Kwa huduma yetu ya ufadhili wa floti, biashara yako ya uwakala inaweza kuendelea kufanya kazi bila usumbufu wowote kwa wateja wako wote ukiwa na floti ya kutosha.
Kuwa tayari kuwahudumia wakati wote, kushughulikia miamala mingi zaidi kila siku, na kuongeza faida zako ukiwa na Mtaji.
Kwa maelezo zaidi ya huduma hii, wasiliana nasi sasa; 0747 138 862. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
*****************************************
With our float financing, your Super Wakala business can operate without interruptions. No more turning customers away due to low balance.
Stay ready to serve at all times, handle more transactions daily, and increase your profits with reliable float support when you need it most.
For more information, call us today; 0747 138 862. Terms and conditions apply