Rabbit Care Limited

Rabbit Care Limited we keep parent stock for high quality rabbits in Tanzania that we sell to prospective farmers for keeping with assurance of good market internationally

Tuko Barabara ya Cocacola Mwenge jengo la Josam House A17, 3rd Floor Plot No. 16.

https://youtu.be/BGMBTaNDFk8
26/10/2020

https://youtu.be/BGMBTaNDFk8

Many farmers plant their crops with hope of High yields but the results contravene their expectations. Nutriplant organic fertiliser is the solution to such ...

07/03/2018

Bitcoin is the future of both asset and currencies

07/03/2018

Instead of doing Rabbit business Lets invest in Bitcoins.

31/01/2018

I miné Bitcoin please inbox Me. Lets miné this precious stuff.

01/08/2015

Coming soon Coming soon Coming Soon MWANZA MPO.Tarehe 19 mwezi wa tisa tunatia timu Mwanza.Karibuni kwenye Launch kubwa ya ufugaji wa Sungura Mwanza.Zaidi ya watu mia tatu tayari wamedhibitisha kuhudhuria.Kiingilio Elfu Kumi.

02/05/2015

This year's Easter weekend rabbit meat consumption data is out.Germany once again is leading in consuming Rabbit meat.Over 60 tonnes were consumed in the four days. This gives me the reason to keep more rabbits.market is ready and waiting for you.

16/04/2015

Kwa wale ambao wengependa kujua zaidi jinsi ya kufuga sungura wa kisasa, tunapanga ratiba maalum ya kukufikia kokote uliko Tanzania.Twambie uko wapi na tutakupa ratiba maalum.Asante

14/04/2015

JE WAJUA MKOJO WA SUNGURA NI DEALI.Haya ni kati ya manufaa ya ufugaji wa sungura.

13/04/2015

Karibuni kwenye ufugaji wa sungura wa kisasa, gharama zake ni za chini mno ukilinganisha na ufugaji mwingine.Faida yake ni kubwa sanaa.Nyama ya sungura inaongoza kwenye orodha ya nyama nyeupe(white meat). Ndo nyama inayouzwa bei ghali mno duniani.Kwenye sungura hupotezi chochote; yaani, unauza nyama, ngozi, mkojo,kucha, manyoya na mbolea.Sungura mmoja anauwezo wa kukupa kipato kisicho chini ya million moja laki nne kwa mwaka.Kumbuka huyu ni sungura mmoja.
Yeyote anaweza kufuga, kwa eneo ndogo sana unauwezo wa kufuga zaidi ya mia.

Karibuni

13/04/2015
12/04/2015

KARIBUNI KWENYE KIJIJI CHA SUNGURA TANZANIA

Address

P. O BOX 75588 A17 3rd Floor, Josam House
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rabbit Care Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rabbit Care Limited:

Share