HaloPesa Tanzania

HaloPesa Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from HaloPesa Tanzania, Financial service, 2nd Floor, Tanzanite Park, Plot No. 38, South Ursino, New Bagamoyo Road, Dar es Salaam.

Ijumaa njema inaanza na urahisi.Ukiwa na HaloPesa, kufanya malipo yako na kuonyesha upendo kwa walioko mbali ni hatua ch...
19/06/2026

Ijumaa njema inaanza na urahisi.
Ukiwa na HaloPesa, kufanya malipo yako na kuonyesha upendo kwa walioko mbali ni hatua chache tu.

Piga *150*88 # au tumia HaloPesa App

Usikwame mtandaoni!Kuperuzi, kuchati na kuendelea na mambo yako sasa ni jambo la msingi. Nunua vocha na vifurushi vyako ...
18/06/2026

Usikwame mtandaoni!
Kuperuzi, kuchati na kuendelea na mambo yako sasa ni jambo la msingi. Nunua vocha na vifurushi vyako kwa urahisi kupitia HaloPesa.

Piga *150*88 # Chagua 3 au tumia HaloPesa App

Ushindi mtamu shangilia na mwenzako!Watumie pongezi na chochote kitu mashabiki wa Argentina na Ufaransa kupitia HaloPesa...
17/06/2026

Ushindi mtamu shangilia na mwenzako!
Watumie pongezi na chochote kitu mashabiki wa Argentina na Ufaransa kupitia HaloPesa.

Piga *150*88 # Chagua 1 au tumia HaloPesa App.

Wikiendi Freesh ukiwa na HaloPesa!Maliza miamala yote kwa kutumia HaloPesa ili uwe na wikiendi muruwa.Piga *150*88 # au ...
13/06/2026

Wikiendi Freesh ukiwa na HaloPesa!
Maliza miamala yote kwa kutumia HaloPesa ili uwe na wikiendi muruwa.

Piga *150*88 # au tumia HaloPesa App

Lipa fasta, Bila Stress!Kwa HaloPesa, malipo kwa mfanyabiashara ni chap, simpo na bila stress.Piga *150*88 #, chagua 5 a...
12/06/2026

Lipa fasta, Bila Stress!
Kwa HaloPesa, malipo kwa mfanyabiashara ni chap, simpo na bila stress.

Piga *150*88 #, chagua 5 au tumia HaloPesa App.

Mexico au Bafana Bafana?Leo prediction si ya mdomoni tu weka ubashiri wako chaap kupitia HaloPesa na enjoy game bila str...
11/06/2026

Mexico au Bafana Bafana?
Leo prediction si ya mdomoni tu weka ubashiri wako chaap kupitia HaloPesa na enjoy game bila stress!

Piga *150*88 # chagua 4, kisha 4 au tumia HaloPesa App.

Tamba na Ziro makato!Ukiwa na HaloPesa App, kutuma pesa ni rahisi, haraka na bila makato.Pakua HaloPesa App sasa ufurahi...
10/06/2026

Tamba na Ziro makato!
Ukiwa na HaloPesa App, kutuma pesa ni rahisi, haraka na bila makato.

Pakua HaloPesa App sasa ufurahie urahisi kwenye miamala yako ya kila siku.

Huku kwetu ni Raha tu!Nunua LUKU/TUKUZA bila makato kupitia HaloPesa App.Pakua HaloPesa App leo kufurahia urahisi wa mia...
08/06/2026

Huku kwetu ni Raha tu!
Nunua LUKU/TUKUZA bila makato kupitia HaloPesa App.

Pakua HaloPesa App leo kufurahia urahisi wa miamala yako.

Kila Leo ni HaloPesa!Chagua HaloPesa kufanya miamala yako kwa Makato nafuu zaidi.Piga *150*88 # au tumia HaloPesa App   ...
08/06/2026

Kila Leo ni HaloPesa!
Chagua HaloPesa kufanya miamala yako kwa Makato nafuu zaidi.

Piga *150*88 # au tumia HaloPesa App

Tunawatakia Ijumaa Njema yenye kheri na baraka!
05/06/2026

Tunawatakia Ijumaa Njema yenye kheri na baraka!

Address

2nd Floor, Tanzanite Park, Plot No. 38, South Ursino, New Bagamoyo Road
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 08:00 - 17:30
Saturday 08:00 - 12:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HaloPesa Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share