21/08/2026
πΊ TUKTUK YAKO NI MTAAJI WAKO!π
Tuktuk ikiwa kwenye hali nzuri, unasafirisha abiria kwa ufanisi, unapunguza gharama za matengenezo na unaendelea kutengeneza kipato kila siku. Usisubiri tatizo dogo likue na kukugharimu zaidi.
Na k**a bado huna tuktuk yako, MOGO inakupa fursa ya kumiliki usafiri wako na kuanza safari ya kujiongezea kipato.
π Tuma DM neno βMKOPOβ umiliki usafiri wako leo au piga 0690 000 222 kwa maelekezo zaidi.
Usisubiri kesho. Chukua hatua leo!