23/05/2026
KWA WAMILIKI WA BIASHARA NA TAASISI
Tunapenda kuwakumbusha kuwa mwisho wa kuwasilisha hesabu za mwisho wa mwaka wa kihasibu ni tarehe 30 June.
Usiruhusu biashara yako kupata usumbufu, adhabu au changamoto za compliance kutokana na kuchelewa au kutokuwa na taarifa sahihi za kifedha.
PrimEdge Accounting & Tax Services tupo tayari kukusaidia kupitia:
✔ Preparation of Financial Statements
✔ Tax Compliance & Filing
✔ Accounting & Bookkeeping Support
✔ Payroll Management
✔ Financial Reporting & Advisory
Tunajikita kuhakikisha biashara yako inakuwa na mfumo bora wa fedha, taarifa sahihi, na compliance yenye uhakika.
Wasiliana nasi leo kwa ushauri au huduma za kitaalamu.
📞 +255 741 243 441
Instagram: https://www.instagram.com/primedge_accounting?igsh=MTdxeW15bjc1NWQ4eQ==