25/10/2020
Nifanyeje Kiwanja Changing Kiko Kwenye Udongo Mfinyanzi?
_________
Udongo Mfinyanzi sio Mzuri Katika ujenzi!
.
~Chimba msingi mpana na wenye kina Cha kutosha,kabla ya kuweka zege au kujenga tofali au kujenga mawe,jaza mchanga isipungue inchi 6 ikiwezekana weka hata futi moja ya mchanga,mwagia maji na ushindilie.
~Weka zege,au jenga lakini acha nafasi upande wa ndani na nje ya msingi isipungue inchi 6 ili baadae ujaze mchanga ndani na nje lengo ni ili udongo usiguse ukuta.
udongo ndani.
~Toa udongo wote uliochimbwa kutoka Kwenye msingi,rudishia mchanga mwagia maji na kushindilia mpaka kwenye levo unayoitaka,jaza kidogokidogo unamwagia maji na kushindilia mpaka ujaze.
tutakuwa na tabaka la mchanga linalotoka nje linapota chini ya misingi ,ndani Hadi nje ya msingi upande wa pili ili kuzuia udongo mfinyanzi usiguse ukuta wa sakafu ya nyumba au Jengo.
nini mchanga,
~Udongo wa mfinyanzi wa jua Kali hupasuka ,wakati wa mvua huziba nyufa yaani hutanuka na kusinyaa.
Unapoacha nyufa k**a umeweka mchanga,mchanga huziba nyufa hivyo kushindwa kuifikia nyumba ,wewe huoni nyufa kwenye Jengo kumbe Vita imebaki baina ya mchanga na mfinyanzi, mfinyanzi unaleta nyufa,mchanga unaziba hi ndo inakuwa maisha yao yote.
Vya ujenzi.
~Ujenzi Hatua Kwa Hatua kitabu kitakacho kuongoza kwenye ujenzi wa nyumba imara hatua kwa hatua kitabu ni digital unatumiwa kupitia WhatsApp au email yako baada ya kupokea malipo bei sh.8,000/=
~Civil Engineering Manual kimeandikwa kwa kiingereza kinakuongoza kupata Idadi ya vifaa vya ujenzi Bei sh.12,000/=
**a utanunua vyote unavipata kwa sh.15,000/= badala ya sh.20,000/=
.