Assemble Insurance Tanzania Limited

Assemble Insurance Tanzania Limited The Leading Medical Insurance company in East Africa

ASSEMBLE INSURANCE TANZANIA Formally known as AAR Insurance, is the largest and most successful private Insurance company in Tanzania with operations spanning all over Tanzania. We have been in existence for over 35 years providing Insurance solutions to clients ranging from large corporate organizations to individual family units. ASSEMBLE INSURANCE TANZANIA has it’s offices in Dar es salaam, Aru

sha, Mwanza and Zanzibar, Mbeya and Dodoma. We command more than 40.36% of the medical insurance market share in Tanzania (TIRA Annual Market performance report 2016). We understand the importance of technology in driving business growth, opening new frontiers and managing costs, and as such, we have invested in IT to automate our core business processes ranging from information systems, IT infrastructure, digital presence and people skills.

Sisi tupo mstari wa mbele katika kulinda mazingira yetu. 🌱Assemble Insurance imekuwa ikishirikiana na taasisi mbalimbali...
06/06/2026

Sisi tupo mstari wa mbele katika kulinda mazingira yetu. 🌱

Assemble Insurance imekuwa ikishirikiana na taasisi mbalimbali katika kuhifadhi na kutunza mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.

Tunawakaribisha kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kupanda miti, kufanya usafi wa mazingira, na kushiriki katika shughuli zinazochangia mazingira safi na salama kwa wote. 🌍

☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300

Sisi tupo mstari wa mbele katika kulinda mazingira yetu. 🌱Assemble Insurance imekuwa ikishirikiana na taasisi mbalimbali...
05/06/2026

Sisi tupo mstari wa mbele katika kulinda mazingira yetu. 🌱

Assemble Insurance imekuwa ikishirikiana na taasisi mbalimbali katika kuhifadhi na kutunza mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.

Tunawakaribisha kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kupanda miti, kufanya usafi wa mazingira, na kushiriki katika shughuli zinazochangia mazingira safi na salama kwa wote. 🌍

☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300

Happy World Environment Day!Today, we celebrate the beauty of our planet and the responsibility we all share to protect ...
05/06/2026

Happy World Environment Day!

Today, we celebrate the beauty of our planet and the responsibility we all share to protect it.

Let’s work together to keep our environment clean, green, and healthy for future generations.

Happy World Environment Day from all of us at Assemble Insurance.

☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300

Mapema leo, timu ya Assemble Insurance ilifanya makabidhiano ya kadi za bima ya afya kwa washindi wa Miss World Tanzania...
04/06/2026

Mapema leo, timu ya Assemble Insurance ilifanya makabidhiano ya kadi za bima ya afya kwa washindi wa Miss World Tanzania.

Tukio hilo lilihudhuriwa na Miss World Tanzania, Latricia Ian, pamoja na First Runner-Up wa Miss World Tanzania, Nour Masoud, na menejimenti yao. Assemble Insurance ilipata fursa ya kutoa elimu kuhusu bima na kufanya makabidhiano ya kadi za bima kwa washiriki hao.

Wamepokea kadi za bima ya afya (Gold Package) ambazo zitawawezesha kupata huduma za matibabu ndani na nje ya Afrika Mashariki kwa kipindi cha mwaka mmoja.

☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300

Haka kamchezo unakakumbuka? 😃Sasa wengine tunafanya haka kamchezo na maisha yetu. Maisha hayana formula; leo uko mzima, ...
04/06/2026

Haka kamchezo unakakumbuka? 😃

Sasa wengine tunafanya haka kamchezo na maisha yetu. Maisha hayana formula; leo uko mzima, kesho unaumwa. Ukikosa bima, unakutana na changamoto mara mbili.

Je, bado unasubiri yakukute au utachukua hatua leo kwa kukata bima na Assemble Insurance?

☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300

Your Health, Your Wealth!The biggest investment anyone can make is investing in their health.Tell us in the comments: Wh...
03/06/2026

Your Health, Your Wealth!

The biggest investment anyone can make is investing in their health.

Tell us in the comments: Which cardio exercise do you do on a weekly basis?

For more health and wellness tips, join our Wellness Program today.

☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300

Je, unajua hazina kubwa ya biashara yako ni waajiriwa wako?Mmoja wao anapougua, uzalishaji na ufanisi wa biashara vinawe...
02/06/2026

Je, unajua hazina kubwa ya biashara yako ni waajiriwa wako?

Mmoja wao anapougua, uzalishaji na ufanisi wa biashara vinaweza kuathirika. K**a mfanyabiashara, chukua hatua sahihi kwa kuwapatia Bima ya Bronze Jamii kwa gharama nafuu kuanzia Shs 360,000 tu kwa mtu mmoja kwa mwaka.

Kupitia bima hii, watanufaika na:
✅ Matibabu ya kutwa
✅ Huduma za uzazi
✅ Punguzo la Mkono wa Pole

Linda afya ya wafanyakazi wako, linda maendeleo ya biashara yako.

☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300

Happy New Month 🎉 Hatimaye tumeweza kufika mwezi june, je jambo gani ungependa kukamilisha mwezi huu?Katika yote, usisah...
01/06/2026

Happy New Month 🎉

Hatimaye tumeweza kufika mwezi june, je jambo gani ungependa kukamilisha mwezi huu?

Katika yote, usisahau kukata bima yako kutoka Assemble Insurance kupitia namba hizi.

☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300

“Salary Credited” the sweetest weekend message 😄Now it’s time to relax, recharge, and stay protected with Assemble Insur...
30/05/2026

“Salary Credited” the sweetest weekend message 😄

Now it’s time to relax, recharge, and stay protected with Assemble Insurance. Before you invest in fun and games, try investing in your future.

☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300

29/05/2026

Sio kila mmoja wetu anaifurahia Ijumaa au weekend. 💔

Wengine hawana furaha, na kwa wale tunaoweza kutambua na kuwasaidia wenzetu katika mapito wanayopitia — tuwasaidie.

Sio kila tabasamu linamaanisha “nipo sawa.”
Mengine ni mask tu. Karibu Assemble Insurance tukupe tabasamu unalostahili.

☎️ 0768 983 800 | 022 550 8300

Address

1st Floor, Mlimani City Office Park, Building No. 6
Dar Es Salaam
P.O.BOX9600SAMNUJOMARD,DARESSALAAM

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Assemble Insurance Tanzania Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Assemble Insurance Tanzania Limited:

Share