MDR Investments

MDR Investments We help hospitality employers to find well qualified employees for their companies and their busines

Welcome to MDR INVESTMENTS, we deal with;
》Company Registrations
》Business Name Registration
》Hospitality consultation;- >Recruitment process
>Onsite Trainings
>Hotel setup & pre-opening
》Business Consultation;-
>Tax Returns
>VAT Returns
>Financial Reports
》Travel Consultations;-
>Visa processing
>Hotel bookings
>Air ticketing
Thank you againfor your interest in our services. Contact us +255714217326 | +255625828759
Email: [email protected]

24/01/2026
06/07/2022

We are hiring a part time tutor for AutoCAD program at Stepsworth Global Institute, if you have what it takes send me your resume through WhatsApp 0625828759

29/05/2022

MDR Investments inakuletea offer kabambe ya kwanzia 1-15 June 2022

■Usajili wa kampuni 250,000

usajili ya Jina la biashara 50,000

usajili wa Logo 190,000

Return za kampuni 250,000

•NB. Control namba ni kwamteja

Kwa mawasiliano zaidi

0714217326 | 0625828759

Faida za kusajili kampuni au Jina la biashara

kutambulika kisheria

kurasimisha biashara.

kupata huduma za kibenk.

kuwa na umiliki wa Jina la biashara au Kampuni.

Kupata zabuni za serikali kupata ulinzi wakisheria.

Viambatanisho katika kusajili kampuni

Namba za nida za madirectors

Tin namba za madirectors

Jina la kampuni

Kazi za kampuni Email ya kampuni

■Email za madirectors

Namba za simu za madirectors Namba ya Simu ya kampuni

■P.o.box ya kampuni

physical address ya ofice; mkoa, wilaya na kata; je ipo karibu na kitu gani maarufu mfano shule, msikit,

Physical address ya kila directors; mkoa, wilay na kata na je kuna kitu gani maarufu, mfano, shule, msikit nk..

Viambatanisho kwa Jina la biashara Namba ya NIDA ya mwenye biashara

Jina la biashara Kazi za Jina la biashara

Email ya biashara

Email ya mwenye biashara

Namba ya Simu ya mwenye biashara

Namba ya Simu ya biashara

P.o.box ya biashara

■Biashara au ofice ilipo mkoa, wilaya na kata; je ipo karibu na kitu gani maarufu mfano shule, msikit, kanisa, n.k...

Physical address ya mteja, mkoa, wilay na kata na je kuna kitu gani maarufu, mfano, shule, msikit nk..

Kwa maelezo na mawasiliano zaidi 0714217326

Email: [email protected]

WhatsApp: 0714217326

Pumzika kwa amani Shuja
17/03/2022

Pumzika kwa amani Shuja

26/02/2022

Sometimes you have to look around yourself

Tulipoteza viogozi mashuhuri kwa taifa letu
31/12/2021

Tulipoteza viogozi mashuhuri kwa taifa letu

Habari! Naitwa mwalimu Derick toka chuo cha Stepsworth Global Institute na zawadi yako ya mwaka mpya utanishukuru bada y...
29/12/2021

Habari! Naitwa mwalimu Derick toka chuo cha Stepsworth Global Institute na zawadi yako ya mwaka mpya utanishukuru bada ya miezi sita tu! Soma moja ya kozi hizi toka chuo chetu kwa gharama nafuu zaidi k**a vile:-
√ Hotel Management
√ English course
√ Computer Applications
Lakini kumbuka ukisoma kozi namba moja basi namba 2 na 3 utasoma bure kabisa
Tupo tabata segerea ndani ya jengo la next door investment kituo cha chama au
Tupigie au Whatsapp 0714217326 |0625828759 | 0736828759

Address

Mwai Kibaki Road
Dar Es Salaam
3376

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MDR Investments posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MDR Investments:

Share