Akiba Commercial Bank

Akiba Commercial Bank Akiba Commercial Bank Plc (ACB) commenced banking operations in August 1997 as an initiative of over 300 Tanzanian entrepreneurs.

Akiba Commercial Bank Plc (ACB) commenced banking operations in August 1997 as an initiative of over 300 Tanzanian entrepreneurs who were inspired to move into micro-finance, by the moral and economical concern for the plight of millions of Tanzanians. These founding members were bound together by a strong conviction that in Akiba Commercial Bank they will have the vehicle through which they would

reach and help transform the lives of previously unbanked and commercially ill-equipped people around the country.

Tunakutakia maadhimisho mema ya sikukuku ya Wafanyakazi Duniani.Matawi yetu ya Aggrey, Kariakoo na Tegeta yatakuwa wazi ...
01/05/2024

Tunakutakia maadhimisho mema ya sikukuku ya Wafanyakazi Duniani.
Matawi yetu ya Aggrey, Kariakoo na Tegeta yatakuwa wazi kukuhudumia kuanzia saa 4:00 asubuhi mpaka saa 8:30 mchana.
Aidha tumia huduma zetu za kidigitali k**a ACB Mobile, Akiba wakala walioneea pote nchini pamoja na ATM za Umoja Switch.
'sDay

Kamilisha malipo yako kwenye POS mbalimbali unnapofanya shopping kwa urahisi kwa kutumia ACB VISA CARD iliyo salama.Tupi...
30/04/2024

Kamilisha malipo yako kwenye POS mbalimbali unnapofanya shopping kwa urahisi kwa kutumia ACB VISA CARD iliyo salama.
Tupigie 0746 811 510 tukuhudumie.

Hii Ndio VISA sasa

Heri ya Sikukuu ya Muungano. Tujivunie miaka 60 ya muungano wetu.
26/04/2024

Heri ya Sikukuu ya Muungano. Tujivunie miaka 60 ya muungano wetu.

25/04/2024

Mwanamke mpambanaji, fungua Akaunti ya ACB WARIDI ambayo haina makato ya uendeshaji kwa kila mwezi na inayotoa fursa mbalimbali za kukuza mtaji wako.
Piga 0746 811 510 kwa maelezo zaidi.

22/04/2024

Meneja Mwandamizi wa huduma za kibenki kidigitali wa ACB Bi. Magreth Mwasumbi atoa habari njema kwa wateja wakati wa uzinduzi wa ACB VISA CARD iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

HII NDIO VISA SASA

TV-E

Nogesha wikendi yako kwa kulipia bili kwenye migahawa mbalimbali kwa kutumia ACB VISA CARD iliyo salama na rahisi kuitum...
21/04/2024

Nogesha wikendi yako kwa kulipia bili kwenye migahawa mbalimbali kwa kutumia ACB VISA CARD iliyo salama na rahisi kuitumia.
Tupigie 0746 811 510 tukuhudumie.

Hii Ndio VISA sasa

Tumia ACB VISA CARD  kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali mtandaoni, huku ukiendelea na mapumziko ya wkend.Tupigie 0746...
20/04/2024

Tumia ACB VISA CARD kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali mtandaoni, huku ukiendelea na mapumziko ya wkend.
Tupigie 0746811510 tukuhudumie.

Hii Ndio VISA sasa

Tumekuletea ACB VISA CARD inayokupa uhuru wa kufanya malipo mtandaoni kwa usalama zaidi.Kwa maelezo zaidi tupigie huduma...
19/04/2024

Tumekuletea ACB VISA CARD inayokupa uhuru wa kufanya malipo mtandaoni kwa usalama zaidi.

Kwa maelezo zaidi tupigie huduma kwa wateja 0746 811 510.

Hii Ndio VISA sasa.

Picha mbalimbali za tukio la uzinduzi wa ACB VISA CARD iliyofanyika tarehe  April 17, 2024 katika tawi Kuu ( Main Branch...
18/04/2024

Picha mbalimbali za tukio la uzinduzi wa ACB VISA CARD iliyofanyika tarehe April 17, 2024 katika tawi Kuu ( Main Branch) Jijini Dar es Salaam.
HII NDIO VISA SASA.

BENKI YA AKIBA IMEZINDUA RASMI KADI YA VISA.ACB VISA CARD inatumika kufanya manunuzi na malipo sehemu mbalimbali ulimwen...
18/04/2024

BENKI YA AKIBA IMEZINDUA RASMI KADI YA VISA.

ACB VISA CARD inatumika kufanya manunuzi na malipo sehemu mbalimbali ulimwenguni.

Pichani ni Kikundi cha ngoma za asili cha WANNE STARS kikitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa ACB VISA CARD.

Hii Ndio VISA Sasa.

17/04/2024

Tumekuletea ACB VISA Card ya kijanja inayorahisha kufanya malipo kwa uharaka na usalama wa hali ya juu.
Hii Ndio VISA sasa.

Career Opportunity.Join our team.
17/04/2024

Career Opportunity.
Join our team.

Address

Amani Place, Ohio Street/
Dar Es Salaam
P.OBOX669

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 13:00

Telephone

+255746811510

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Akiba Commercial Bank posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Akiba Commercial Bank:

Share