SanlamAllianz Tanzania

SanlamAllianz Tanzania SanlamAllianz - Live With Confidence

27/08/2026

Uamuzi unaoufanya leo unaweza kuwa msaada mkubwa kwa familia yako kesho.

Kupitia Bima ya Maisha ya Vikundi ya SanlamAllianz, vikundi vinapata suluhisho linalowalinda wanachama na familia zao kupitia mafao mbalimbali yanayolenga kutoa msaada wakati unapohitajika zaidi.

Mafao hayo yanajumuisha: Fao la maisha kwa mwanachama, Fao la maisha kwa mwenza, Fao la elimu kwa wategemezi, Fao la ulemavu wa kudumu, Fao la maisha kwa wazazi na watoto.

Kufahamu zaidi kuhusu huduma zetu, wasiliana nasi bure 0800 750 234.

25/08/2026

Tunapoadhimisha siku hii tukufu, tuendelee kuenzi upendo, amani, mshik**ano na huruma kwa kila mmoja.

Mawlid Mubarak!

Tunaamini ulinzi wa kweli huonekana wakati unapouhitaji zaidi. Ndiyo maana tunakupa suluhisho mbalimbali za Bima ya Mais...
20/08/2026

Tunaamini ulinzi wa kweli huonekana wakati unapouhitaji zaidi. Ndiyo maana tunakupa suluhisho mbalimbali za Bima ya Maisha na Bima ya Mali zilizoundwa kukusaidia kulinda familia yako, mali zako, biashara yako na mipango yako ya baadaye.

Popote ulipo kwenye safari ya maisha, tupo tayari kukupa ulinzi unaokupa amani ya moyo na kujiamini.

πŸ“ž Bima ya Maisha: 0800 750 234
πŸ“ž Bima ya Mali: 0800 780 066

Behind every construction project are years of planning, investment and commitment. But unexpected events can put progre...
17/08/2026

Behind every construction project are years of planning, investment and commitment. But unexpected events can put progress at risk.

With Contractors All Risks (CAR) Insurance, your project is protected against unforeseen losses during construction from damage to works under construction, materials and equipment, to third-party liabilities.

Whether you are a project owner, contractor, or subcontractor, we provide protection designed around your project needs.

Build with confidence. Protect your progress.

For more info, call General Insurance: 0800 780 066

Chama kubwa SanlamAllianz lilivyowakilisha mapema leo kwenye CRDB Marathon.
16/08/2026

Chama kubwa SanlamAllianz lilivyowakilisha mapema leo kwenye CRDB Marathon.


Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa SanlamAllianz Life Insurance, Bw. Mika Samwel , akizungumza mapema leo  katika viwanja vya ...
16/08/2026

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa SanlamAllianz Life Insurance, Bw. Mika Samwel , akizungumza mapema leo katika viwanja vya posta kijitonyama Dar es salaam , wakati wa mbio za CRDB .

Kupitia mbio za CRDB zilizopita, SanlamAllianz k**a mdhamini mkuu kwa miaka 7 mfululizo, imeigusa jamii na kuwa sehemu ya mafanikio ya mbio hizi ambayo ni pamoja na kuchangia Opereshen za moyo kwa zaidi ya watoto 500 wenye matatizo ya moyo kupitia taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete na kusaidia wanawake 270 wenye ujauzito hatarishi kupitia taasisi ya CCBRT.

Aidha, alisema kuwa mwaka huu SanlamAllianz imeendelea kuunga mkono jitihada za kuokoa maisha kwa kuchangia upasuaji wa watoto wenye matatizo ya moyo kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Wanawake wenye ujauzito hatarishi kupitia taasisi ya CCBRT.

SanlamAllianz imekuwa pia ikikuza na kuvitangaza vipaji vya wanariadha hapa nchini, kwa kutoa udhamini wa 100% kwa washindi wa kwanza watanzania kutoka CRDB marathon, kushiriki katika marathon kubwa kuliko zote barani Afrika iitwayo Sanlam Capetown Marathon, inayoendeshwa na kampuni yao mama yani Sanlam Group.




SanlamAllianz tunajivunia kuwa sehemu ya safari hii ya kuleta mabadiliko chanya na kurudisha kwa jamii yetu. Pamoja tuna...
15/08/2026

SanlamAllianz tunajivunia kuwa sehemu ya safari hii ya kuleta mabadiliko chanya na kurudisha kwa jamii yetu.

Pamoja tunakimbia kwa afya bora, tukiimarisha huduma za afya ya mama na mtoto na kuhamasisha maisha yenye afya zaidi kwa wote.



The best time to protect your future isn't when life takes an unexpected turn. it's before it does.At SanlamAllianz, our...
11/08/2026

The best time to protect your future isn't when life takes an unexpected turn. it's before it does.

At SanlamAllianz, our Life Insurance solutions are designed to help you protect what matters most. Depending on the plan you choose, you can enjoy benefits such as:

βœ” Financial protection for your loved ones
βœ” Permanent disability cover
βœ” Savings and investment opportunities for future goals
βœ” Education support for your dependants through selected plans
βœ” Long-term financial security and peace of mind

The decisions you make today can shape the future of those who matter most. Choose protection. Choose confidence.

Call us toll-free: 0800 750 234

08/08/2026

Leo tunasherehekea wakulima wote ambao kwa juhudi na kujituma kwao wanaendelea kulisha taifa na kuchangia ukuaji wa uchumi wetu.

Katika maadhimisho ya Nane Nane, SanlamAllianz inaendelea kusimama bega kwa bega na Watanzania kwa kutoa suluhisho za bima za maisha na bima za mali zinazokuwezesha kulinda familia, mali na mipango yako ya baadaye kwa kujiamini.

Heri ya Nane Nane!

Ajali, wizi au moto vinaweza kutokea bila kutarajiwa. Ukiwa na Bima ya Magari, unapata kinga ya kifedha dhidi ya hasara ...
07/08/2026

Ajali, wizi au moto vinaweza kutokea bila kutarajiwa. Ukiwa na Bima ya Magari, unapata kinga ya kifedha dhidi ya hasara zinazoweza kuathiri safari zako za kila siku.

βœ… Kinga dhidi ya ajali, moto na wizi
βœ… Huduma ya kuvuta gari saa 24
βœ… Fidia ya ulemavu unaotokana na ajali.

Tupigie simu bure 0800 780 066.

Address

Amani Place, Ohio Street, 6th Floor
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Telephone

+255800780066

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SanlamAllianz Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SanlamAllianz Tanzania:

Shortcuts

Share