Nilipe Nisepe

Nilipe Nisepe Ukurasa wa Nilipe Nisepe utakulipa kwa kila kitu utachoambiwa ufanye ama swali utaloulizwa ukalijibu. Tembelea ukurasa huu ujipatie vijisenti.

Nilipe Nisepe is a page that will reward you for doing something or answer any question(s) the admins ask. Visit this page to make yourself some little money.

03/02/2013

Endeleeni kualikana, tunaplan namna ya kuleta watu humu, kwa sasa endeleeni kuwaalika wenzenu, tupo pamoja!

08/01/2013

Wakati tunawashauri muendelee kualika wengine kwenye ukurasa huu wa maajabu, sisi tupo makini na tunatumia muda huu kuendelea kuongeza walipaji, ngumu kutuelewa ila itaeleweka vyema pale tutapoanza rusha maswali na kulipa watu!

26/12/2012

Happy Boxing day, tuendelee kulike hii page

22/12/2012

Jumamosi njema, tuendelee kuInvite watu tuanze mapema kufurahia ukurasa huu pale tutapofikia 1000 Likes

20/12/2012

Maswali yetu ni rahisi, yanafurahisha na kuchangamsha ubongo, zawadi ni namna tu ya kukuvutia ushiriki, ila faida tutayoipata wote ni kupanua ubongo wetu, kujua mapya, kujua majibu ya maswali mbalimbali, pia kujiUpdate. Like page yetu, invite na wenzako, tuifikie LIKE ya 1000 kisha tuanze kugawa mshiko!

20/12/2012

Tunajua utajiuliza pesa za kukulipa zinatoka wapi. Usijali, ni mradi uliojizatiti. Cha msingi ni wewe kutoa jibu sahihi na kulipwa bila longo longo
Like kisha INVITE tuanze mapema, tukifikia LIKES 1000 tu tunarusha swali la kwanza!

20/12/2012

Karibu katika ukurasa huu wa kipekee. Ndio tumeanza leo. Kwa sasa tunatafuta "Likes" 1000 kisha tutaanza. Tutachokuwa tunafanya ni kuuliza swali, anayejibu kwa kutoa jibu sahihi anapatiwa zawadi (sana sana pesa, muda wa maongezi, vitu, shopping, mtoko, n.k kadiri ya siku na siku). Mfano tutaweza uliza Swali, ama tukakupa uchague jibu sahihi, ama ujaze sehemu iliyoachwa wazi, atayepata atapatiwa zawadi iliyoahidiwa. Mfano, Rais wa Kenya anaitwa nani, taja majina yake matatu kamili, mtoa jibu sahihi wa kwanza atapata Tsh ###x. Halafu watu wanaaza kujibu. Ni njia ya kufaidika hapa FB, sasa LIKE ukarasa huu na INVITE wenzako tuanze. Unalipwa unasepa!

Address

Posta Mpya
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nilipe Nisepe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share