18/08/2026
Je, hospitali yako inahitaji vifaa vya kisasa? Je, unataka kupanua jengo au kujenga chumba kipya cha wagonjwa?
Tatizo la fedha halina budi kukusimamisha tena kwa sababu AML Finance Limited iko hapa, ikiwa na suluhisho la haraka na la uhakika.
✅ Unaweza kukopa kwa ajili ya:
1. Vifaa tiba (X-ray, ultrasound, theatre equipment, ICU, n.k.)
2. Ujenzi au upanuzi wa majengo ya hospitali
3. Ukarabati wa maeneo ya wagonjwa
4. Ununuzi wa magari ya wagonjwa (ambulance)
5. Teknolojia na mifumo ya kisasa ya hospitali
Mkopo wako wa hadi Bilioni Moja ndani ya Saa 72 tu
📞 WASILIANA NASI LEO:
📧 Barua pepe: [email protected]
📍 Ofisi Kuu: Tanzanite Tower, Ghorofa ya 5, Lufungira, Mwenge — Dar es Salaam