18/05/2026
📊 Weekly Economic Calendar (18 – 22 May 2026)
Wiki hii ya masoko imebeba matukio makubwa kutoka Marekani, Uingereza, Ulaya, China na Japan yanayoweza kuongeza volatility na kubadilisha mwelekeo wa bei kwa kasi.
Kwa trader makini, hii ni zana muhimu ya:
• Kutambua fursa na hatari za soko
• Kupanga entry & exit kwa usahihi
• Kuepuka mishtuko ya taarifa muhimu
• Kuimarisha risk management
🔥 Siku k**a Jumatano (FOMC Minutes & CPI UK) na Alhamisi (PMI za kimataifa) zinahitaji umakini zaidi kwa sababu ya mabadiliko makubwa ya soko.
💡 Kumbuka: Mafanikio ya trading huanza na maandalizi, na kalenda ya kiuchumi ni sehemu yake muhimu.
📈 Trade kwa ufanisi zaidi kupitia LiteFinance jukwaa la kitaalamu kwa traders wa kila ngazi.