TIBA Asilia NA Majinni

TIBA Asilia NA Majinni hii page inahusu tiba ...,tunatoa tiba zoote kw daw asilia pia tnatoa majini
*majin
*Mvuto
*bahat

04/09/2023

ASSALAMUALAIKUM VIP HALI ZENU

NIMERUDI BAADA YA MUDA

STARA NINAYO LAKINI SIOLEWI.  :-stara kwa mwanamke  ni hali ya mwana mke kuweza kuji heshimu na na kulinda usichana wake...
04/12/2022

STARA NINAYO LAKINI SIOLEWI.

:-stara kwa mwanamke ni hali ya mwana mke kuweza kuji heshimu na na kulinda usichana wake sambamba na heshima na nidhamu kwa jamii inayo mzunguuka.

Stara ni moja ya vitu vikubwa ambavyo wanaume wanapo taka kuingia katika majukumu mazima ya ndoa wao wenyewe pamoja na familia zao huangalia stara na nidhamu ya mtu.

Tangu enzi za manabii mitume hata mabibi na mababu zetu kitu hichi walikuwa wakiweza kukizingatia mno kwani stara na nidhamu ndio msingi mkubwa wa familia bora.

Na kinyume chake kukosekana kwa stara ni mwanzo wa familia kuwa na maadili mabovu na kupelekea a)- chuki b)-ugomvi. c)-kufarakana d)-na utengano wa familia e)na visasi.

WANAWAKE wengi wamekuwa wakijistiri na wana nidhamu lakini wakiingia katika mapenzi na wapenzi wao wakifikia katika maswala mazima ya ndoa basi ndipo huanza kufarakana na mapenzi kuishia hapo.

Wengi hupatwa na adha hii mara kwa mara na kuto jua nini sababu ya tatizo hili kujirudia katika katika maisha yao mazima ya mapenzi kuelekea katika maisha ya ndoa zao.

HUSABABISHA HALI HIYO?.

Hali hiyo huweza kutokea kwa kusababishwa na mambo makuu matano (5) ikiwemo.

A:- MAHABA-hawa ni majini ambao wame kaidi kuishi katika utaratibu walio wekewa na mungu wa kuishi kijini na kufanya uhuni na ufedhuli wa kutaka kuishi na wanaadamu kwa maumbile yao na kwa taratibu wanano zitaka wao.

Majinni hawa hawa wanapo muingia mtu awe wa k**e ama wa kiume basi humfanya ni k**a mwana ndoa wake pasi na wanaadamu kujijua yeye mwenye we k**a ana mpenzi alie kwenye mapenzi nae bila ya maridhiano nae.

Jini huyo huwa hataki tena kuona mtu huyo akiwa na mpenzi mwingine na endapo atatokea basi hapo ndipo huanza vituko na hasada zake.
Na kupelekea mtu kuikuta tu akimchukia mtu na kuto taka tena hata kumuona na mwishoe hulelekea kuvurugana na kutengana na baada ya muda kupita huanza kujijutia kwa alicho kifanya.

B:- kwa mtu mwenye nuksi huyu yeye atakuwa yupo kawaida na yupo tayari kwa kuingia katika ndoa lakini wachumba kwake kujitokeza ndipo inakuwa hawapati.

D:- kuna wengine huwa hawapati ndoa kwa ajili ya hasada/uchawi walio fanyiwa wengi kabla ya kuwa tayari kuingia katika ndoa kutokana na sababu za masomo ama umri kuwa mdogo wanapo takokea wachumba na kuwakatalia basi watu hao wengine hudiriki kuwafunga ili wasiolewe tena maishani.

E:- ya kinyota kuna baadhi ya watu hutokea kuwapenda watu na kutaka kuwa nao katika ndoa lakini kila wakijaribu kufanya jitihada ya maandarizi ya ndoa basi huwa hukosa rizki kabisaa na mwenza wake hali hiyo hupelekea kumuona k**a ana mtu mwingine ama hana nia nae na kupelekea kutengana na swala hilo kuishia hapo.

Wengi wamekuwa waki shindwa kuelewa na badala yake kupoteza imani kabisaa ya kuilewa na wakibaki kujijutia na kuumia mioyoni mwao na wengi huisi kudhalilika.

KIFANYIKE ILI KUWEZA KUFANIKISHA SWALA HILO?

A:- asie kuwa na vizuizi vya aina yoyo kati ya hivyo na anataka kuingia katika ndoa basi atatakiwa achukue dawa zifuatazo.

1)- .

2)- .

3)- .

4)- as-wad.

5)- makha.

6)- .

7)- .

+255789100997

Matumizi ata tumia kuoga kwa manuizo maalumu asubuhi na jioni kwa siku ishirini na moja (21).

B:- kwa yule ambae ana nasibiwa na vikwazo na jambo hilo ni lenye kujirudia kwake basi ni vyema akatafuta undani wa jambo hilo linalo sababisha kukwama kwake kwa umakinifu.


Kwani unaweza kusababisha umri kusogea mno na ikawa shida zaidi kupatikana ufunbuzi wake ni ni bora kuwahi mapema kabla tatizo halija komaa na kuwa sugu.

+255789100997

04/12/2022

Assalam Alaykum Vp Hal Zenu , naam baada ya kua kimya nimerudi sasa

Unasumbuliwa Na Maumivu mbali mbali katika mwili wako Maumivu  Miguu kuwaka motoKuuma sehemu za maungioKuuma kiunoMgongo...
12/11/2022

Unasumbuliwa Na Maumivu mbali mbali katika mwili wako
Maumivu

Miguu kuwaka moto
Kuuma sehemu za maungio
Kuuma kiuno
Mgongo
Mapajani Nk

Tafuta

Mafuta Ya Simba
Mafuta ya mnyonyo
Mafuta ya ndimu
Mafuta ya mzaituni
Karafuu Maiti
Halititi
Sembe makata

Changanya vyote kwa pamoja weka jikoni ipate moto kidogo kisha uwe unajichua sehemu zote zinazoUma
Fanya ivyo kila siku Mpaka upone

Kwa mawasiliano unataka kufika ofisini
0789100997

17/10/2022
Asalam alaiykumHabari zenu Wana group.TIBA YA KUZUIA WACHAWIMahitaji.Manyoya ya kuku.Majani ya kifumbasi.Kitezo au kibak...
17/10/2022

Asalam alaiykum
Habari zenu Wana group.

TIBA YA KUZUIA WACHAWI
Mahitaji.
Manyoya ya kuku.
Majani ya kifumbasi.
Kitezo au kibakuli Cha bati.

Chukua majani makavu ya kifumbasi na manyoya ya kuku changanya pamoja choma kwenye kitezo au kibakuli Cha bati wakati was usiki, wachawi utawaskia kwa majiraniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Pia majani ya kifumbasi mabichi ukitengeneza juice yake hutibu tumbo,pia hubalance homoni kwa wale wanao pata hedhi bila mpangilio, kifumbasi pia ukichoma wakati wa jioni hufukuza mbu.
Kwa leo niishie apa muwe na jumatatu njema wapendwa wanguπŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½.

Pia wale ambao wanataka kuangaliziwa Matatizo yanayo wasumbua kimajini kiuchawi kiafya nk Leo ni 3000 tu, tuma majina yako matatu nikuangalizie sasaivi πŸ™πŸ½.

+255789100997

17/10/2022

π—žπ—ͺ𝗔 π—¨π—Ÿπ—˜ 𝗨π—ͺπ—˜π—­π—’ π—”π—Ÿπ—œπ—’ π—‘π—œπ—π—”π—Ÿπ—œπ—” π— π—¨π—‘π—šπ—¨ π—Ÿπ—˜π—’ π—‘π—œπ—ͺπ—”π—¦π—”π—œπ——π—œπ—˜ 𝗒𝗙𝗔 π—›π—œπ—œ π—žπ—ͺ𝗔 π—ͺ𝗔𝗧𝗨 15 KWA OFA YA 3000 TU π—”π—‘π——π—œπ—žπ—” π— π—”π—π—œπ—‘π—” π—¬π—”π—žπ—’ 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗨 π—‘π—œπ—žπ—ͺπ—”π— π—•π—œπ—˜ π—¦π—›π—œπ——π—” π—¨π—Ÿπ—œπ—­π—’ 𝗑𝗔𝗭𝗒

KUONDOSHA VIFUNGO VYA KICHAWI ....Andika kombe hilo siku ya juma nne  saat mirikhi  andika kwenye karatasi au sahani nye...
24/07/2022

KUONDOSHA VIFUNGO VYA KICHAWI ....Andika kombe hilo siku ya juma nne saat mirikhi andika kwenye karatasi au sahani nyeupe kisha yayusha kwa maji wardi na marashi atakunywa na kukoga kwa siku 3-7
+255789100997

Kuhusu uchawi, majini na tiba yake.Uchawi na Majini sasa ni k**a tatizo kwenye jamiii, imefikia hatua ya watu kupima vip...
15/07/2022

Kuhusu uchawi, majini na tiba yake.

Uchawi na Majini sasa ni k**a tatizo kwenye jamiii, imefikia hatua ya watu kupima vipimo vyote na kukosa majibu ya ugonjwa. Hii ni kuwa shetani Lucifer(Azaziil) amepata kundi la washirikina miongoni mwa wanadamu na kumkumbatia kwa kumuasi Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na Mshirika. Mungu ategemewe sana katika tiba.

Soma dalili za kulogwa au kurogwa.

Tiba sahihi ya magonjwa yasiyopata majibu kisayansi ni maombi na madawa ya kunywa na kujipaka.

Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea k**a siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
Kuongea usiku na kupiga kelele
Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
Kuota uko msituni mara kwa mara
Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
Kuota uko makaburini mara kwa mara
Choo inakuwa ngumu hata k**a unakula matunda na unajisaidia mavi k**a ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla

Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi.

Naam kwa wanao taka kuangaliziwa matatizo yao yanayo wasumbua kimajini,uchawi,afya nk naangalia kwa 5000 tu.
Kalibun Sana.
+255789100997

KUWASHWA KIUNGO NA ISHALA YAKE.1. Ukiwashwa kiwiko cha mkono wa kushoto utapata habali mbaya.2. Ukiwashwa kiwiko cha mko...
14/07/2022

KUWASHWA KIUNGO NA ISHALA YAKE.
1. Ukiwashwa kiwiko cha mkono wa kushoto utapata habali mbaya.
2. Ukiwashwa kiwiko cha mkono wa kulia utapata habali nzuli au utapata pesa.
3. Ukiwashwa kiganja cha mkono wa kulia utapata pesa.
4. Ukiwashwa kiganja cha mkono wa kushoto utatoa pesa au utapoteza pia ni ishala ya kulipa madeni.
5. Ukiwashwa fundo la mguu wa kulia utapata pesa.
6. Ukiwashwa fundo la mguu wa kushoto utatoa pesa.
7. Ukiwashwa tumbo maeneo ya kitovuni, utakula kitu kizuli au utapata mwaliko.
8. Ukiwashwa makalio, utapata suluhu ya matatizoyako au k**a unakesi ita suluhiswa na k**a muna ugonvi ndani mtapata suluhu au utateuliwa kusuluhisha watu.
9. Ukiwashwa mapaja, utahama au utapata safali.
10. Ukiwashwa goti la mguu wa kushoto utaletewa habali za uongo au kunawatu wanakusema vibaya.
11. Ukiwashwa goti la kulia, utapata habali nzuli.
12. Ukiwashwa juu ya nyayo mguu wowote, utapata jambo la kukushangaza na litakukela.
13. Ukiwashwa unyayo wa mguu wa kushoto, utapata safali ya matatizo na k**a unasafali safali hiyo ni mbaya usiende.
14. Ukiwashwa nyayo ya kulia, utapata safali ya mafanikio na kuna uwezekano wa kupata pesa.
15. Ukiwashwa jicho la kulia, utaona kitu kizuli.
16. Ukiwashwa jicho la kushoto utaona kitu kibaya na hakita kupendeza na nidalili ya kupata matatizo.
17. Ukiwashwa katika ziwa kwa mwanamke ni dalili ya kupata ujauzito.
Dalili za kuwashwa ziko nyingi lakini nawapa hizi kwanza
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Assalam alaykum warahmatullah wabarakat ndg zang ktk iman Tuangalie jinsi ya kumuita Mwanamke au mwanaume aliyekimbia fa...
13/07/2022

Assalam alaykum warahmatullah wabarakat ndg zang ktk iman Tuangalie jinsi ya kumuita Mwanamke au mwanaume aliyekimbia familia au mapenz yako yaan kaamisha upendo pengine.

Andaa yafuatayo:-

1.Koroboi au kibatari.

2.Mafuta ya Kenge.

3.Sanda ya mtu aliyekufa hivi karbuni.

Kisha tengeneza utambi kwa kutumia hiyo sanda Kisha weka mafuta ya Kenge ndani ya kibatari au koroboi baada ya hapo weka utambi kwe koroboi.

Baada ya kufanya hizo hatua tafuta sehem iliyokimya Kisha washa koroboi au kibatari Chako anza kunuia utakavyo K**a yupo karbu n hiyo hiyo siku anarud K**a yupo mbal Sana basi n wiki au K**a n mkoa basi n siku tatu.

Dawa hii haijawah kushndwa ndg zang ktk iman.

ASSALAM ALAYKUM VP HALI ZENUSIKUA HEWANI KWA SABB ZILIZO NJE YA UWEZO WANGNAAM NIPO HEWANI SASA
11/07/2022

ASSALAM ALAYKUM VP HALI ZENU
SIKUA HEWANI KWA SABB ZILIZO NJE YA UWEZO WANG

NAAM NIPO HEWANI SASA

Address

Gongo La Mboto/mombasa
Dar Es Salaam
0789100997

Telephone

+255789100997

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA Asilia NA Majinni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share