Phemu Enterprises Limited

Phemu Enterprises Limited HEAD OFFICE: SURVEY, UNIVERSITY ROAD, PT. No KAW/MLA/758 Block 250/252,
Opp. Mlimani City Apartments.

Happy Birthday to me.🙌🙌🙌👑👑
26/12/2017

Happy Birthday to me.🙌🙌🙌👑👑

02/09/2016

Unatamani kukopa na kufanya biashara ila haujui ni wapi pakuanzia? Wasiliana na sisi Elimu hii tunaitoa bure kabisa.Karibu

Tunawatakia mlo mwema
25/05/2016

Tunawatakia mlo mwema

20/05/2015

PHEMU ENTERPRISES TUPO KWA AJILI YA KUKUEPUSHA NA HAYA YAFUATAYO.
1.KWANINI UTANGAZE SHIDA ZAKO?
Kwetu sisi tunatoa huduma ambayo ni biashara pia ,hapa unapata nafasi ya kuongea k**a mteja na si k**a unaomba msaada ambapo muombaji hujikuta anaeleza shida zake zote kwa ndugu,jamaa na marafiki bila uhakika wa kutatuliwa shida yake.

2.PEL NI SEHEMU SALAMA KWA SIRI ZA MTEJA.
Utunzaji wa siri za mteja tunaupa kipaumbele yote tutakayo yazungumza yanabaki ndani ya ofisi huku changamoto zako tunazibeba k**a zetu na kukupa njia mbadala.

3.HATUPOTEZI MUDA !
Tofauti na wengine ukifika ofisini kwetu tutashughulika na wewe iwapo maongezi yetu ya awali yataonyesha unazo sifa za kupata mkopo na k**a huna tutakushauri njia mbadala ,tukishughulika na wewe mkopo ni ndani ya saa 1 hadi 24

4.USALAMA WA DHAMANA.
Mtazamo wetu katika biashara hii ni kujenga mahusiano ya kudumu na wateja wetu ili wanufaike na huduma zetu na sisi
tukizidi kukua kibiashara ,dhamana yako ni kwa ajili ya kukufanya ulipe kwa wakati na si vinginevyo!

5.RIBA ZA KUKOMOANA
Tunatoa nafasi ya kujadiliana na mteja juu riba kulingana na aina ya biashara anayoifanya ikiwa ni pamoja na muda wa kulipa lengo letu ni kutengeneza mazingira ya kuepuka mgongano katika kipindi chote cha kurejesha mkopo wako.

20/05/2015

MKOPO WA HARAKA NA UHAKIKA; Iwapo tu masharti ya mkopo yatazingatiwa.

20/05/2015

RELIABLE & FAST LOAN; If and only if, all requirements are fulfilled. Welcome PEL Financial Services

HAPA UTAPATA USHAURI WA KIBIASHARA,MKOPO WA HARAKA KUENDELEZA BIASHARA YAKO PAMOJA NA MKOPO BINAFSI.TUPO MWENGE MKABALA ...
27/02/2015

HAPA UTAPATA USHAURI WA KIBIASHARA,MKOPO WA HARAKA KUENDELEZA BIASHARA YAKO PAMOJA NA MKOPO BINAFSI.

TUPO MWENGE MKABALA NA MLIMANI CITY BARABARA YA CHUO KIKUU CHA ARDHI. KARIBU UKUTANE NA TIMU YETU HUTOKOSA CHA KUJIFUNZA.

24/02/2015

PHEMU ENTERPRISES LTD
Mkopo wa Haraka na Uhakika wapo tu masharti ya mkopo yatazingatiwa.
Tunatoa mikopo kwa Wafanyabiashara na Wafanyakazi kwa riba nafuu.

04/12/2014

Hi, welcome Phemuenterprises Enterprises Ltd for quick loans and develop your business.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

+255783621001

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Phemu Enterprises Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share