Iki_kitchenware

Call Directions Website Contact the business

Iki_kitchenware IKI HOUSE OF QUALITY TUNAUZA BIDHAA ZOTE ZA MAJUMBANI,OFISINI &BAKERY
TUNASAMBAZA DSM BURE 075357583

12/10/2026

ELECTRIC HOT POT

MAPISHI MATAMU, KWA URAHISI ZAIDI

Unapenda kupika supu, nyama, samaki au seafood kwa familia na marafiki? Hii hapa RAF Electric Hot Pot ya lita 6 na 8, kwa ajili ya mapishi ya kufurahisha na kushare pamoja!

✅ Ujazo mkubwa litre 6 na 8
✅ Nguvu ya 1350W
✅ Non-stick coating — chakula hakishikamani kirahisi
✅ Ina steaming rack kwa kupikia kwa mvuke
✅ Joto linadhibitiwa kwa k**b
✅ Rahisi kusafisha
✅ Warranty ya miaka 3 🎯

Litre 6 Tsh 145,000/=
Litrr 8 Tsh. 160,000/=

🍤 Kuanzia seafood, supu, nyama hadi mboga — leta ladha mezani kwa mtindo wa kisasa!

📍 IKI HOUSE OF QUALITY
Safari Plaza Underground, Uhuru Street, Dar es Salaam.

🚚 Tunakufikishia mzigo popote ulipo Tanzania!

❤️ THE SEASON OF QUALITY
East or West, IKI is the Best!

📲 Tuandikie WhatsApp uulizie bei na upatikanaji.

09/10/2026
03/10/2026

🔥 UNAJUA TOFAUTI YA MAJIKO YA UMEME?

Kabla hujanunua jiko, ni muhimu kujua teknolojia yake 👇

⚫ Solid Plate — hutumia plate ya chuma inayopata joto na kulihamishia kwenye sufuria. Ni imara na rahisi kutumia.

Plate 1 Tsh 45,000/=
Platre Tsh 85,000/=

🌀 Coil — hutumia coil ya waya inayopata joto moja kwa moja na kupasha sufuria.

Plate 1 Tsh 45,000/=
Platre Tsh 85,000/=

✨ Ceramic Cooker — ina glass-ceramic surface iliyo laini, rahisi kusafisha; chini yake kuna heating element inayopasha eneo la kupikia.

🔴 Infrared Cooker — hutumia infrared heating element kutoa joto kali; mara nyingi utaona sehemu ya heater iking’aa nyekundu inapopata moto.

Plate 1 Tsh 100,000/=
Plate 2 Tsh 185,000/=

🧲 Induction Cooker — hutumia electromagnetic technology kupasha sufuria yenyewe. Inahitaji sufuria inayovutwa na magnet.

Plate 1 Tsh 145,000/=
Platre Tsh 285,000/=

👉 Usinunue kwa kuangalia mwonekano tu—jua technology iliyopo ndani ya jiko.

📍 IKI HOUSE OF QUALITY
Safari Plaza Underground, Uhuru Street – Dar es Salaam
🚚 Delivery inapatikana mikoani.

THE SEASON OF QUALITY 🔥 | IKI — HOUSE OF QUALITY

02/10/2026

🔥JIKO LA KISASA, JIKONI KUWE KWA KISASA!

Unatafuta built-in cooker inayochanganya uzuri, nguvu na matumizi rahisi? Hizi hapa ni chaguo mbalimbali kulingana na mahitaji yako — 2 plates, 3 plates, 4 plates hadi 5 plates, pamoja na combinations za Gas + Ceramic/Electric.

✨ Tempered Glass – muonekano wa kisasa na rahisi kusafisha
🔥 Gas Burners – moto wenye nguvu kwa mapishi ya kila siku
⚡ Ceramic/Electric Plate – option ya ziada bila kutegemea gas pekee
🛡️ Safety Features – kwa matumizi yenye usalama zaidi
💪 Cast Iron Supports – imara kwa matumizi ya kila siku
🔥 Auto Ignition – washa bila kutumia kiberiti kwenye baadhi ya models
🏠 Built-in Design – inakaa vizuri kwenye kitchen cabinet yako

💰 Bei kuanzia TSh 175,000/-

📍 IKI HOUSE OF QUALITY
Safari Plaza Underground, Uhuru Street – Dar es Salaam

🚚 Tunapeleka mizigo mikoani.

Usinunue jiko tu — tengeneza kitchen yenye LEVEL nyingine. 🔥🏠

IKI HOUSE OF QUALITY — THE SEASON OF QUALITY. ❤️

01/10/2026

CHAGUO LAKO KULINGANA NA MAHITAJI YAKO! 👨‍🍳✨

K**a unapanga kitchen ya kisasa, built-in oven inakupa nafasi ya kupika kwa mpangilio, usafi na muonekano wa kisasa.

Kutoka kwenye oven zetu za HOMEBASE, kuna options tofauti kulingana na budget na matumizi kuanzia oven yenye 5 cooking functions hadi model zenye 17+ / 20+ functions, Air Fry, Wi-Fi, drying function, smart display na zaidi. 🔥

🍗 Roast
🍟 Air Fry
🍕 Bake
🥩 Grill
🧁 Cake
na options nyingine kulingana na model.

💡 Usichague oven kwa kuangalia bei tu — angalia functions unazohitaji, capacity na matumizi yako ya kila siku.

📍 IKI HOUSE OF QUALITY
Safari Plaza Underground, Uhuru Street – Dar es Salaam
🚚 Delivery inapatikana mikoani.

📲 DM/WhatsApp kwa bei na model inayokufaa.

IKI HOUSE OF QUALITY ❤️‍🔥
THE SEASON OF QUALITY

30/09/2026

BADILISHA JIKONI LAKO KWA RANGE HOOD YA KISASA!

TUNA MAJIKO AINA ZOTE
MICROWAVE ZA KUJENGEA
OVEN ZA KUJENGEA

Ondoa moshi, harufu na mafuta yanayosambaa wakati wa kupika, huku ukifanya jikoni lako libaki safi na lenye hewa nzuri.

Tunazo kwa ukubwa wa 60cm:

✅ Button Control – TSh 270,000/=
✅ Touch Control – TSh 320,000/=
✅ AI Flat Hood – TSh 390,000/=
✅ T-Shape Hood – TSh 420,000/=

✨ 3 Speed Control
✨ LED Lights
✨ Aluminium Filters
✨ Muonekano wa kisasa unaopendezesha jikoni

📞 0753 575 083

📍 IKI HOUSE OF QUALITY

“Jiko safi linaanza na Hood sahihi.”

KitchenDesign HomeAppliances

Address

Uhuru, Kariakoo Iki_shoppingcenter
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Iki_kitchenware posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Iki_kitchenware:

Shortcuts

Share