The FUSE GROUP TZ Limited.

The FUSE GROUP TZ Limited. Mikopo Yetu:
1. Kopa Kwa Kutumia Gari Lako
2. Agiza Gari Kwa Mkopo 45%
3. Nunua Gari Kwa Mkopo Toka YARD 55%
4. Weka Mfumo Wa Gas Kwa Gari Lako - CNG

Our company is located in Dar es Salaam along Morogoro road, Manzese, Kilimani Street and we provide professional experiential Consultation services on
A) Business Registrations (Company Registrations, Business Names, TIN, VAT, License)
B) Loans (Guidance & Advice) from Various Financial Institutions that we deal with. C) Taxation's
This company has professional and experienced staffs that are very creative, hard working to provide solution for our clients.

Its Friday, na Ndio Mwanzo Wa Weekend. Usiruhusu changamoto za leo zikukatishe Tamaa, Una uhitaji wa Cash Chap!! Ili ku ...
21/08/2026

Its Friday, na Ndio Mwanzo Wa Weekend.

Usiruhusu changamoto za leo zikukatishe Tamaa, Una uhitaji wa Cash Chap!! Ili ku sort some issues, TheN UMEPATA.

Tuchekiane kwa Namba hizo hapo Juu. Tuweke vitu sawa.


Mkopo Huu, Unitwa LBF MAIN. Ni kuanzia Tsh 1m hadi 70m, kwa Dhamana ya KADI ya Gari Lako.Muhimu zaidi, unapata mkopo nda...
10/08/2026

Mkopo Huu, Unitwa LBF MAIN.

Ni kuanzia Tsh 1m hadi 70m, kwa Dhamana ya KADI ya Gari Lako.

Muhimu zaidi, unapata mkopo ndani ya 24hours.

Usijione mpweke. Tambua kila changamoto ina mlango wake wa kutokea. Na changamoto zako kifendha mlango wake ni
.

K**a unamiliki gari, iwe kwa matumizi ya kawaida ama bishara, Mchongo huu hapa, Njoo kwa wepesii kabisaa, tukuwezzeshe k...
06/08/2026

K**a unamiliki gari, iwe kwa matumizi ya kawaida ama bishara, Mchongo huu hapa, Njoo kwa wepesii kabisaa, tukuwezzeshe kuunganishwa na mfumo wa Gas.

1. Ni nafuu sana
2. Unaweza switch na kuhamia mfumo wa petrol anytime.

Chap, kwa haraka na mkopo nafuu.

Tuwasiliane.

Import Financing. Agiza gari uipendayo, nasi tukusaidie kulipia kwa sehem yaani 45% ya gharama. Kumbuka, Gari Itaagizwa,...
05/08/2026

Import Financing.

Agiza gari uipendayo, nasi tukusaidie kulipia kwa sehem yaani 45% ya gharama.

Kumbuka, Gari Itaagizwa, Itasafirishwa, itafika na utaemdelea na matumizi yako.

Karibu sasa.

Mkopo Wa Gari Toka YARD. (YARD FINANCING).Miliki gari la ndoto yako kwa urahisi kabisa.Tunawawezesha wateja wanaonunua m...
29/07/2026

Mkopo Wa Gari Toka YARD. (YARD FINANCING).

Miliki gari la ndoto yako kwa urahisi kabisa.

Tunawawezesha wateja wanaonunua magari kutoka kwa wauza magari (dealerships na showrooms) za hapa nchini, Waliyoidhinishwa kwa kuchangia hadi asilimia 50 (50%).

Faida Za Mkopo Huu.

1. Unalipa kidogo kidogo
2. Unaendelea na matumizi ya gari lako.
3. Unapata Gari Mpya Na Uipendayo.

This is where we connect

Ebwana Eeeh, Mchongo Huu Hapa. 1. KADI yako Mkwanja Chap2. Baki na Gari, Misele Iendeleeeee. ..3. Kopa chap, Kuanzia 1m ...
29/07/2026

Ebwana Eeeh, Mchongo Huu Hapa.

1. KADI yako Mkwanja Chap
2. Baki na Gari, Misele Iendeleeeee. ..
3. Kopa chap, Kuanzia 1m to 7m ndani ya 24hrs.

Ndio, Mambo Yasiwe Mengiiiii, Daka Mkwanja. UFANYE MAENDELEO.



Inaawezekana. !!!
04/07/2026

Inaawezekana. !!!

Platinum Credit tunatoa mikopo kwa wafanyabishara ya Haraka ili kuboresha na kutanua wigo wako kibiashara.Mkopo ya Biash...
28/06/2026

Platinum Credit tunatoa mikopo kwa wafanyabishara ya Haraka ili kuboresha na kutanua wigo wako kibiashara.

Mkopo ya Biashara hadi 70M, Kwa Kutumia KADI YA GARI.

Tafadhari, Tuwasilianee

Call/Whatsapp: 0651 909 890

Karibu.

30/07/2016

Karibuni Sana..

Address

Mlimani Branch
Dar Es Salaam
20988

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The FUSE GROUP TZ Limited. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to The FUSE GROUP TZ Limited.:

Shortcuts

Share