Forex Princess Academy - FPA Training and Mentorship

Forex Princess Academy - FPA Training and Mentorship *"Your Capital is Secured"*

*WE OFFER*
*1.* FOREX , SYNTHETIC INDICES AND CRYPTOCURRENCY TRAINING
*2.* SIGNAL SERVICE
*3.* LIFETIME MENTORSHIP
*4.* DERIV /BINARY LTD PAYMENT AGENT ( 24/7 )
*5.* YOUTH EMPOWERMENT (FUND SUPPORT )
*6.* SUPPER ACCOUNT MANAGEMENT

Karibuni sana ..FPA-Your capital is secured .Mteja kwetu ni mfalme🚀
06/07/2022

Karibuni sana ..FPA-Your capital is secured .
Mteja kwetu ni mfalme🚀

FOREX PRINCESS ACADEMY DERIV/BINARY PAYMENT AGENT/CHARITOFX DERIV P2P
02/07/2022

FOREX PRINCESS ACADEMY DERIV/BINARY PAYMENT AGENT/CHARITOFX DERIV P2P

02/07/2022
"Your capital is secured"
02/07/2022

"Your capital is secured"

Minimum Deposit and Withdrawal: *ONE DOLLAR ONLY (1$)Hello, PRO TRADER🤝KARIBU SANA FOREX PRINCESS ACADEMY (FPA) SUPPER P...
02/07/2022

Minimum Deposit and Withdrawal: *ONE DOLLAR ONLY (1$)

Hello, PRO TRADER🤝

KARIBU SANA FOREX PRINCESS ACADEMY (FPA) SUPPER PAYMENT AGENT-AFRICA.

FPA OFFICIAL Contact:
+255 717 551 788
"Your Capital is Secured"
KARIBU SANA

K**a wewe ni mgeni kwenye biashara hii ya digital currency soma makala hii mpaka mwisho!!MAANA YA BITCOIN NI NINI?Nitaan...
31/08/2017

K**a wewe ni mgeni kwenye biashara hii ya digital currency soma makala hii mpaka mwisho!!

MAANA YA BITCOIN NI NINI?

Nitaanza na kueleza mapito ambayo mwanadamu amekuwa akipitia kwenye kubadilishana bidhaa yoyote na fedha au vito!!

*1. Barter Trade Age*

Wengi tunajua mfumo huu wa manunuzi na mauzo ya vitu uliojulikana k**a Barter Trade.

Barter trade ni mfumo ambao watu walibadilishana bidhaa kwa bidhaa, hapakuwa na fedha k**a sasa. Kwa hiyo ukihitaji nguo inabidi umpe anayeuza nguo kile ulichonacho mfano mnabadilshana nguo kwa kuku, mahindi kwa mbuzi na kadhalika. Mfumo huo ukapita ukaja mfumo mwingine!!

*2. Vito vya Thamani k**a Dhahabu.*

Ulimwengu ulihama kutoka kwenye zama za kubadilisha vitu kwa vitu ukahamia kwenye kubadilisha vitu kwa KITO cha thamani k**a dhahabu. Thamani ya vipande vya dhahabu ilipimwa kwa wingi au ubora wa bidhaa husika inayobadilishana na kipande hicho cha dhahabu. Mfumo huu au zama hizo zikapita. Ukaja mfumo mwingine!! Endelea kusoma.....

*3. Coin and Paper money Age*.

Matumizi ya dhahabu bado yalikuwa magumu sana. Wizi na ugumu wa kusafiri na vipande vya dhahabu viliifanya dunia kuja na mfumo wa sarafu na fedha za makaratasi. Mfumo huu ndo ambao tunautumia kwa kiasi kikubwa mpaka sasa. Mfumo huu umedumu sana kwa karne nyingi!!

Hata hivyo, mfumo huu unaendelea kukosa nguvu. Tangu miaka ya 2005 mfumo mpya wa kutembea na Phone Wallets au mobile money umedhoofisha sana mfumo wa paper note au coin money!!

*4. Mobile Money Age.*

Huu ni mfumo ulioletwa na Internet na Mobile phones. Mfumo huu umeanza miongo k**a miwili iliyopita yaani mwisho mwa miaka ya 1990.

Mfano wa Mobile Money ni: Western Union, MPESA, Tigo Pesa, Airtel Money, Simbanking, Pesa Fasta, na mifumo mingine mingi ya kutuma, kupokea, na kutumia pesa kwa kutumia mitandao ya simu na internet au simu.

Mobile Money imeleta mageuzi makubwa sana kwenye mfumo wa fedha duniani. Fedha inahamishika kirahisi. Biashara nyingi zimekuwa rahisi kwa sababu ya matumizi ya Mobile Money au Mobile Banking. Mfumo huu nao unataka kufika kwenye kilele chake!! Mfumo ufuatao ndio unaenda kutawala tena ulimwengu wa biashara na sekta ya fedha! Hebu twende pamoja!!!!!

*5. CryptoCurrency Age.*

Kuanzia mwaka 2009 Sarafu ya Digitali iitwayo Bitcoin ilipovumbuliwa na Satoshi Nakamoto kumekuwepo mabadiliko makubwa sana kwenye sekta ya fedha duniani!!

Sasa dunia imeingia kwenye mfumo mpya na bora zaidi wa kutuma, kupokea na kutumia fedha ujulikanao k**a CryptoCurrency. CryptoCurrency ni Sarafu ya Digitali au ni Sarafu iliyojificha ambayo huwezi kuiona kwa macho (Crypto).

Crypto ni kitu kisichoweza kuonekana kirahisi, not tangible, not visible but valuable, top secret, etc!

K**a ilivyo kwa mobile money, Cryptocurrency ni fedha ya kidigitali ambayo haishikiki lakini unaweza kuitumia kwa matumizi yako ya kila siku.

Ngoja nitoe mfano wa mobile money inavyoweza kutumika k**a digital money.

Umewahi kwenda sehemu ukaona wameandika lipa hapa kwa Tigopesa? Yaani k**a una hela kwenye Tigopesa au Mpesa unalipia huduma au bidhaa bila kutoa sarafu au noti ( actual coins or paper note)? Unaweza Kupata chakula hotelini na ukalipia huduma hiyo bila kutoa noti mfukoni mwako!! Nk.

Umewahi kuona kwenye super markets watu wananunua bidhaa au huduma kwa kutumia master au visa cards bila kutoa fedha mfukoni?

Hivyo ndivyo Cryptocurrency itakavyofanya kazi siku zinazokuja kuanzia sasa!!

Swali, k**a Mobile Money ipo, Cryptocurreny ya nini tena?

Jibu ni kwamba, Cryptocurrency ina faida nyingi naomba nitaje baadhi tu:

1. Kutuma na kupokea fedha ni bure kabisa duniani kote!!!
2. Kutuma na kupokea pesa ni kwa haraka k**a unavyotuma na kupokea ujumbe wa email kwenye internet au WhatsApp na Twitter!
3. Cryptocurrency inatumika dunia nzima wakati mobile money nyingi zinatumika eneo husika tu ambapo mtandao wa simu upo. Mf MPESA
4. Mfumo wa Cryptocurrency ni madhubuti sana kwa hiyo ni ngumu sana kuibiwa (money laundering).
5. Akaunti yako ipo mikononi mwako, huna haja ya kwenda bank kuchukua fedha!!

Je, katika mfumo huu mpya wa Sarafu duniani kuna fursa yoyote ndani yake?

Jibu lake ni ndiyo

Kuna kampuni nyingi sana zipo kwenye sekta hii ya Crypto Currency zikifanya yafuatayo:

1. Exchanging digital currency with non digital currency!! Hii ni fursa kubwa sana. Changamkia

2. Trading Crypto Currency to Crypto Currency

3. Mining Crypto Currency using special software.

Kinachofanyika hapo kampuni nyingi zimewekeza kwenye technology ya kuchimbua Sarafu za kidigitali k**a Bitcoins, Ethereum, nk:

Ukiwekeza kwenye kampuni hizo kadri Sarafu zinavyopatikana utapata Sarafu zako kulingana na mtaji wako uliowapatia kwenye kampuni!!

4. Become Agents for Crypto Currency to non Crypto Currency!! Hii ni fursa ya uwakala wa Sarafu ya Digitali kwa Sarafu za kawaida mfano Dollars, pounds, euro nk. Faida yake ni kubwa!!

255717093821

*Mimi nina Bitcoin zangu nitazipataje, ziwe fedha za TZS*?? Naomba leo nitoe somo hili. Litumike kuwafahamisha wengine.W...
30/08/2017

*Mimi nina Bitcoin zangu nitazipataje, ziwe fedha za TZS*??

Naomba leo nitoe somo hili. Litumike kuwafahamisha wengine.

Wale wazoefu mnafahamu kabisa, *Bitcoin, One coin, Swiss coin, AdsCash coin* kuwa ni pesa halali kwa malipo *kokote duniani*. Tukubaliane hapo kwanza. Akili zetu zifunguke, ukisikia vitu hivyo, ujue hizo ni *pesa*.

Pesa hizi zinaitwa *pesa za kidigitali*. Hazishikiki. Hazidhibitiwi na Bank wala nchi yoyote duniani. Uanze kuzoea kuziita *Digital Currency* au *Crypto Currency*. Meza hiyo kichwani, mpe na mwenzio ajue. Dunia hii inabadilika haraka sana. Kuna msemo, *if you don't want to change, changes will change you*. Hii ndiyo technologia, itatubadili sisi bila kutaka.

K**a tumekubaliana sote kwamba hizo ni pesa sasa je nizitoeje kwenye hizo porch (wallet)?

Kuna namna mbalimbali ya kuzitoa Cryto currency kwenye Wallet yako:

1. Kwa kutumia mfumo wa Bitpesa. Fungua Account ya Bitpesa, www.bitpesa.co. Siyo dot com. Hapana. Hapo unaweza kuhamisha Bitcoin zako, zikaingia kwenye line yako ya simu zikiwa Tshs au Dollars au currency yoyote unayoihitaji. Mfano, leo k**a ungekuwa na Bitcoin moja (1B)= TZS 5,000,000+. Leo imeizidi thamani ya Dhahabu.

2. Bitcoin inaweza kutoka kwa ATM machine hasa nchini China, Ulaya, Marekani na kwa baadhi ya nchi za Africa. Sina hakika k**a kuna ATM kwa Tanzania. Kupata kadi unajaza form rasmi lakini inabidi uwe na Bitcoin nyingi kuanzia 100.

3. Bitcoin unaweza kuziuza online ukapata cash. Hii njia ndiyo watu wengi wanaitumia na ndiyo inaifanya Bitcoin isishuke thamani. Ukienda www.locabitcoin.com huko utaweza kuuza au kununua Bitcoin zako.

Kwa Mawasiliano Piga namba +255742203597 +255 717 093 821

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Forex Princess Academy - FPA Training and Mentorship posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Forex Princess Academy - FPA Training and Mentorship:

Share