ORBIT Securities Co LTD

ORBIT Securities Co LTD Orbit Securities Co. Ltd. Eight of the seventeen corporates listed on the DSE main board were sponsored by Orbit Securities. This includes fours cross-listings.

ORBIT is a leading Stockbroker/ Dealer at the Dar Es Salaam Stock Exchange with an equity market share of between 60-65 percent for the past Six Years. A founding member of the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE), Orbit Securities is without peers when it comes to knowledge and experience in Tanzania’s capital market. Licensed by the Bank of Tanzania as a primary dealer in government securities, th

e firm leads the brokerage sector in fund raising, equity research, corporate finance, project finance, and other financial services. Orbit Securities was founded in 1996 and is the professional home of a highly qualified and skilled team of analysts, traders, and other experts. The firm enjoys a solid reputation for efficient resource mobilization and is considered the go-to brokerage for initial public offerings (IPOs) and bonds and rights issues. Tanzania’s capital market is one of the most dynamic financial plazas along the East African seaboard. The country’s economy is amongst the fastest growing in the world and was rebased in 2014 adding around $10bn to the GDP (plus 30%). Orbit Securities is exceptionally well placed to meet the growing demand for investors services. The firm boasts a fully up-to-date IT backbone and maintains a nationwide network of local agencies.

21/09/2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Orbit Securities, Bwana Godfrey Malauri, yuko hapa Amani Stadium Zanzibar na timu nzima ya Inuka ...
19/09/2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Orbit Securities, Bwana Godfrey Malauri, yuko hapa Amani Stadium Zanzibar na timu nzima ya Inuka Fund, wakiwa tayari kwa ajili ya mkutano na waandishi wa habari kuwaelezea watanzania kuhusu umuhimu wa kuweka akiba na kuwekeza.

Kuelekea mechi ya Klabu Bingwa Africa, Inuka Fund kwa kushirikiana na Young Africans Sports Club (Yanga) inawaletea watanzania burudani ya michezo na elimu ya uwekezaji ili kugusa zaidi maisha ya Watanzania ambao wengi bado hawajatambua fursa rasmi za uwekaji akiba na uwekezaji.

Mfuko wa Inuka Fund umeidhinishwa na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA).

Zanzibar Bado tupo tunaendelea kutoa elimu ya uwekezaji kupitia mfuko wetu mpya wa uwekezaji unaojulikana k**a  Inuka Fu...
16/09/2024

Zanzibar Bado tupo tunaendelea kutoa elimu ya uwekezaji kupitia mfuko wetu mpya wa uwekezaji unaojulikana k**a Inuka Fund .

Pemba kunazidi kunoga tukiwa na wananchi.
14/09/2024

Pemba kunazidi kunoga tukiwa na wananchi.

Katika hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa INUKA (IMMF) uliofanyika tarehe 5 Septemba 2024, tulishuhudi...
09/09/2024

Katika hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa INUKA (IMMF) uliofanyika tarehe 5 Septemba 2024, tulishuhudia ushiriki wa wageni muhimu kutoka sekta mbalimbali. Wageni waalikwa walikuwa:

-Eng. Hersi Saidi, Rais wa timu ya mpira wa Yanga.
-Mr. Shirima, Mwakilishi kutoka CMSA na Meneja wa Uhusiano wa Umma. .go.tz
-Mr. Emmanuel Nyalali, Mwakilishi kutoka DSE na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara.
-Wakurugenzi wa Makampuni na Mawakala wa Soko la Hisa la Dar es Salaam.
- Mwakilishi kutoka UTT na wa FAID Fund. .amis
-Boma Raballa, Mkurugenzi Mkuu wa Biashara wa CRDB.
Wawakilishi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, NSSF na PSSF.
-CPA Emilian Busara, ambaye alitoa elimu kuhusu uwekezaji.
- Maafisa Wakuu Wastaafu wa DSE, Bw. Moremi Marwa na Jackson Njau.
-Gerald Paul Kasato, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Uganda.
-Wakwekezaji Wakubwa wa kati na wadogo.
-Wawakilishi wa Vyama vya Biashara Tanzania.

Ushiriki wa wageni hawa ulikuwa muhimu katika kufanikisha uzinduzi wa mfuko huu na ulitoa mwanga kuhusu umuhimu wa uwekezaji wa pamoja kwa maendeleo ya kifedha binafsi na kiuchumi kwa taifa kwa ujumla.

Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa INUKA (IMMF) ulizinduliwa rasmi tarehe 5 Septemba 2024, kwa heshima ya mgeni rasmi, Dr. ...
09/09/2024

Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa INUKA (IMMF) ulizinduliwa rasmi tarehe 5 Septemba 2024,
kwa heshima ya mgeni rasmi, Dr. Charles A. Mwamwaja, ambaye alimuwakilisha Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Nchemba (MB) .

Uzinduzi huu ulihudhuriwa na viongozi mashuhuri k**a Prof. Anna Tibaijuka, mbunge na waziri mstaafu, pamoja na Mheshimiwa Joseph Sinde Warioba, waziri mkuu mstaafu, miongoni mwa wengine.

Dr. Charles A. Mwamwaja alieleza umuhimu wa mifuko ya uwekezaji ya pamoja k**a INUKA MM Fund kwa maendeleo ya binafsi na taifa kwa ujumla.
Mfuko huu sio tu unaimarisha hali ya kifedha ya wawekezaji binafsi, bali pia unachangia katika maendeleo ya kiuchumi ya nchi kwa kuongeza mtaji wa uwekezaji.

Kwa maelezo zaidi na kujiunga na mfuko huu, tafadhali wasiliana nasi kupitia:

-Barua pepe: [email protected]
-Simu: 255 752 711 552 au 0711 803 634

Jitokeze sasa na uwe sehemu ya mafanikio na ukuaji wa mfuko wa INUKA!

Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa INUKA (IMMF) chini ya Orbit Securities Company Ltd ulizinduliwa tarehe tano Septemba 202...
09/09/2024

Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa INUKA (IMMF) chini ya Orbit Securities Company Ltd ulizinduliwa tarehe tano Septemba 2024, na unatoa fursa bora kwa wawekezaji wanaotafuta viwango vya kurudi vya juu (high return ) kwa muda mfupi. Mfuko huu utajikita katika dhamana za muda mfupi (money market) k**a T-bills, T-bonds (for trade), na hisa zinazopanda thamani kwa kasi (fast-growing stocks for trade), hivyo unaweza kupata faida kubwa kwa haraka.

Mfuko wa INUKA umeelekeza nguvu zake katika masoko ya nchi za Afrika Mashariki pamoja na jumuiya ya SADC, na unatoa fursa za kipekee za kuwekeza katika maeneo yenye ukuaji wa haraka. Hii inamaanisha kwamba uwekezaji wako unaweza kuleta faida nzuri ikilinganishwa na mifuko mingine iliyopo sokoni nchini Tanzania.
Bei na Uwekezaji

-Bei ya kuanzia: Shilingi 100 kwa kipande kimoja.

-Kiasi cha kuanzia: Unaweza kuanza kwa kuwekeza kiasi kidogo cha shilingi elfu kumi 10,000 na baadaye kuongeza uwekezaji kwa shilingi 1,000 kwa kuendelea.

Hatua za Kujiunga na Mfuko

1.Pata Fomu ya Kujiunga:
Tuma ujumbe mfupi wa WhatsApp kwenda 0752 711 552 au tuma barua pepe kwenda [email protected] ili upate fomu yako na kufungua akaunti.

2.Fungua Akaunti ya Uwekezaji:
Kwa sasa, mfuko uko katika hatua za awali (IPO) ambapo tunasajili wawekezaji na kukusanya pesa kwa muda wa siku thelathini. Baada ya kipindi hiki, vipande vya INUKA vitaanza kuingiza faida na kupanda thamani kadri mfuko unavyoendelea. Faida itakuwa inapatikana na kuripotiwa kila siku za biashara jioni baada ya masaa ya kazi.

3. Weka Pesa na Pata Risiti:
Baada ya kupata fomu ya kufungua akaunti na kufanikiwa kufungua akaunti ya uwekezaji, unaweza sasa kuanza kuweka pesa kwenye akaunti nambari 01D102665400- Inuka money markets collection
Tuma stakabadhi ya benki ili upate risiti ya malipo yako. Pesa zako zitakuwa zikifanya kazi kwa ajili yako hivi karibuni.

Maelezo Zaidi

Kwa maelezo zaidi na kujiunga na mfuko huu, tafadhali wasiliana nasi kupitia:

- Barua pepe: [email protected]
-Simu: 255 752 711 552 au 255 711 803 634

Pia, unaweza kupakua programu ya INUKA kutoka App Store au Play Store, ambayo iko kwenye hatua za mwisho za kupakiwa, na kuanza kuwekeza kwa ur

Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa INUKA (IMMF) chini ya Orbit Securities Company Ltd ni fursa bora kwa wale wanaotafuta uw...
06/09/2024

Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa INUKA (IMMF) chini ya Orbit Securities Company Ltd ni fursa bora kwa wale wanaotafuta uwekezaji wenye kurudi (return) mzuri kwa muda mfupi. INUKA umejikita katika uwekezaji katika dhamana za muda mfupi, k**a vile T-bills, T-bonds, na hisa zinazopanda thamani vizuri.

Mfuko huu unalenga masoko ya nchi za Afrika Mashariki pamoja na jumuiya ya SADC, kwa hivyo, unatoa fursa za kipekee za kuwekeza katika maeneo yenye ukuaji wa haraka. Kwa kuwekeza katika soko hili tofauti, INUKA unatarajia kutoa faida inayoshindana au zaidi kuliko mifuko mingine iliyopo sokoni Tanzania kwa sasa.

Bei ya kwanza ya kipande kimoja cha mfuko huu ni shilingi 100. Unaweza kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha shilingi elfu kumi kwa mara ya kwanza, na kisha kuendelea kwa shilingi 1000 kwa kila uwekezaji mpya.

Kwa maelezo zaidi na kujiunga na mfuko huu, wasiliana nasi kupitia barua pepe: [email protected] au kwa simu :+255785137882

Pia, unaweza kupakua programu ya INUKA kutoka App Store au Play Store na kuanza kuwekeza kwa urahisi.

Jitokeze sasa na uwe sehemu ya mafanikio na ukuaji wa mfuko wa INUKA!

Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa INUKA (IMMF) chini ya Orbit Securities Company Ltd ni fursa bora kwa wale wanaotafuta uw...
05/09/2024

Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa INUKA (IMMF) chini ya Orbit Securities Company Ltd ni fursa bora kwa wale wanaotafuta uwekezaji wenye kurudi (return) mzuri kwa muda mfupi. INUKA utajikita katika uwekezaji katika dhamana za muda mfupi, k**a vile T-bills, T-bonds, na hisa zinazopanda thamani vizuri.

Mfuko huu unalenga masoko ya nchi za Afrika Mashariki pamoja na jumuiya ya SADC, kwa hivyo, unatoa fursa za kipekee za kuwekeza katika maeneo yenye ukuaji wa haraka. Kwa kuwekeza katika soko hili tofauti, INUKA unatarajia kutoa faida inayoshindana au zaidi kuliko mifuko mingine iliyopo sokoni Tanzania kwa sasa.

Bei ya kwanza ya kipande kimoja cha mfuko huu ni shilingi 100. Unaweza kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha shilingi elfu kumi kwa mara ya kwanza, na kisha kuendelea kwa shilingi 1000 kwa kila uwekezaji mpya.

Kwa maelezo zaidi na kujiunga na mfuko huu, wasiliana nasi kupitia barua pepe:
[email protected]
au kwa simu: 0763853659.

Pia, unaweza kupakua programu ya INUKA kutoka App Store au Play Store na kuanza kuwekeza kwa urahisi.

Jitokeze sasa na uwe sehemu ya mafanikio na ukuaji wa mfuko wa INUKA!

Jiunge na Mnada wa Hatifungani!Mnadani: Hatifungani za Miaka 25 zenye Riba ya 15.95%Siku: 04 September 2024Faida za Kuwe...
27/08/2024

Jiunge na Mnada wa Hatifungani!
Mnadani: Hatifungani za Miaka 25 zenye Riba ya 15.95%
Siku: 04 September 2024

Faida za Kuwekeza Katika Hatifungani Hizi:
-Mapato ya Kudumu: Utapata malipo ya riba (coupon) mara mbili kwa mwaka, tarehe 03 February na 05 August Kila mwaka.

- Uwekezaji wa Hatari Ndogo: Hatifungani ni njia salama ya kupata mapato thabiti kwa muda mrefu.

- Riba ya Kuvutia: Riba ya 15.95% kwa mwaka ni moja ya viwango vya juu vya riba sokoni, ikihakikisha mapato makubwa kwa wawekezaji.

Nani Anaweza Kushiriki?
- Watu Binafsi / Wenzi: Kila mmoja anaweza kushiriki, iwe ni mtu mmoja au wanandoa.
- Vikundi vya Kijamii: K**a VICOBA na vikundi vingine vya kijamii vinaweza kushiriki na kuwekeza pamoja.
- Kampuni: Makampuni yanaweza pia kushiriki na kuwekeza katika hatifungani hizi za serikali.

Karibu Orbit Securities kwa Maelezo Zaidi
Je, unataka kuwekeza katika hatifungani na kupata mapato thabiti? Orbit Securities iko hapa kukusaidia kuelewa na kuwekeza kwa busara.

Wasiliana Nasi:
📞 +255 763 853 659
+255 746 848 301

*Join Us for an Exclusive NMB Investors Call*Dear Valued Investor,We are pleased to invite you to our upcoming investors...
20/08/2024

*Join Us for an Exclusive NMB Investors Call*

Dear Valued Investor,

We are pleased to invite you to our upcoming investors' call, where we'll take an in-depth look at *NMB*, one of the top-performing stocks this year and the largest banking stock by market capitalization in the *East African Community (EAC).*

This year, NMB has experienced a remarkable *_20%_* increase in its stock price, now trading at an all-time high.

If you want to explore the factors driving this success and what the future may hold, this call is essential.

*Date:* 21st Aug 2024, Wed
*Time:* 2:00 PM (EAT)

_Click on the link to join_ 👇🏿👇🏿

https://zoom.us/j/92937201420?pwd=3zZNm1baiVJLFlkAi5oyGi7RkcyWpY.1

*Meeting ID: 929 3720 1420*
*Passcode: 373882*

_Don’t miss this chance to gain valuable insights and engage with experts. We look forward to having you join us._

Address

Ohio Street, Golden Jubelii Tower, 4th Floor
Dar Es Salaam
P.O.BOX70254

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255222111758

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ORBIT Securities Co LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ORBIT Securities Co LTD:

Share