Be boss build strong empire

Directions

Be boss build strong empire Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Be boss build strong empire, Financial service, Dar es Salaam.

25/09/2026
Hello Wateja Wetu Ongeza uzuri wa asili kwenye  nyumba,Hotel, Apartments au BnB yako kwa kutumia MKEKA WA ASILI πŸ‘πŸ“ Size:...
24/09/2026

Hello Wateja Wetu

Ongeza uzuri wa asili kwenye nyumba,Hotel, Apartments au BnB yako kwa kutumia MKEKA WA ASILI 🏑

πŸ“ Size: 5Ft
πŸ’Έ Tsh. 100,000

✨ Inafaa kwa:
πŸ›‹οΈ Sofa area
β˜• Chini ya coffee table
πŸ›οΈ Pembeni ya kitanda

πŸ“ž WhatsApp: 0753 106 387 | 0746 615 577
πŸ“ TUPO ARDHI CITY MALL DUKA NO.19

🧺 KARIBU WEKA ODA YAKO LEO!Unatafuta storage za asili zitakazokusaidia kupanga na kuhifadhi vitu kwa mpangilio mzuri, hu...
23/09/2026

🧺 KARIBU WEKA ODA YAKO LEO!

Unatafuta storage za asili zitakazokusaidia kupanga na kuhifadhi vitu kwa mpangilio mzuri, huku zikiipa nafasi yako mwonekano wa kipekee na wa kuvutia?

Makapu haya yanafaa kwa Hotels, Apartments, BnB, Restaurants na matumizi ya Home. ✨

Zinapatikana kwa ujazo tofauti kulingana na mahitaji yako, na zinafaa kwa kuhifadhia:

🧺 Linens

🧺 Laundry

🧺 Towels

🧺 Vifaa vya matumizi ya kila siku

🧺 Vitu mbalimbali vinavyohitaji kupangwa na kuhifadhiwa

Tunawaletea storage inayochanganya utendaji, ubora na uzuri β€” huku ikiongeza mvuto wa bidhaa za asili katika nafasi yako.

Unahitaji kwa matumizi ya nyumbani, hotelini au kwenye biashara yako? Weka oda yako sasa!

Hii unaipata kwa Tsh. 40,000/=

πŸ“ž Mawasiliano:
0746 615 577
0753 106 387

πŸ“ Tupo Ardhi City Mall - Dar es Salaam
Karibu na Chuo Kikuu cha Ardhi.

Karibu uchague storage inayokidhi mahitaji ya nafasi yako. 🀎

🧺 KARIBU WEKA ODA YAKO LEO!Unatafuta storage za asili zitakazokusaidia kupanga na kuhifadhi vitu kwa mpangilio mzuri, hu...
23/09/2026

🧺 KARIBU WEKA ODA YAKO LEO!

Unatafuta storage za asili zitakazokusaidia kupanga na kuhifadhi vitu kwa mpangilio mzuri, huku zikiipa nafasi yako mwonekano wa kipekee na wa kuvutia?

Makapu haya yanafaa kwa Hotels, Apartments, BnB, Restaurants na matumizi ya Home. ✨

Zinapatikana kwa ujazo tofauti kulingana na mahitaji yako, na zinafaa kwa kuhifadhia:

🧺 Linens

🧺 Laundry

🧺 Towels

🧺 Vifaa vya matumizi ya kila siku

🧺 Vitu mbalimbali vinavyohitaji kupangwa na kuhifadhiwa

Tunawaletea storage inayochanganya utendaji, ubora na uzuri β€” huku ikiongeza mvuto wa bidhaa za asili katika nafasi yako.

Unahitaji kwa matumizi ya nyumbani, hotelini au kwenye biashara yako? Weka oda yako sasa!

Hii unaipata kwa Tsh. 65,000/=

πŸ“ž Mawasiliano:
0746 615 577
0753 106 387

πŸ“ Tupo Ardhi City Mall - Dar es Salaam
Karibu na Chuo Kikuu cha Ardhi.

Karibu uchague storage inayokidhi mahitaji ya nafasi yako. 🀎

TABLE MAT YA ASILI INAPENDEZESHA NA KUONGEZA MVUTO KATIKA MEZA YAKOUnapanga meza yako lakini bado unaona k**a kuna kitu ...
22/09/2026

TABLE MAT YA ASILI INAPENDEZESHA NA KUONGEZA MVUTO KATIKA MEZA YAKO

Unapanga meza yako lakini bado unaona k**a kuna kitu kinakosekana?

Wakati mwingine huhitaji kubadilisha meza, vyombo au decor zote. Unahitaji tu touch sahihi inayokamilisha muonekano katika meza yako

Table mat yetu ya asili imeundwa kwa ajili ya kuongeza uzuri, warmth na natural touch kwenye table setting yako.

🏑 Nyumbani β€” kwa dining table na special occasions
🏨 Hotel β€” kwa breakfast, lunch na dinner setting yenye mvuto
🍽️ Restaurant β€” kuongeza character na kufanya meza ionekane imekamilika
🏝️ Beach resort & Airbnb β€” kuleta natural, coastal na welcoming feel

🀎 Kwa mtu anayependa meza yenye simplicity lakini bado inaonekana elegant, hii ni moja ya details zinazofanya tofauti.

πŸ’Έ BEI NI TSH. 12,000/=

πŸ“© Tuandikie DM kwa order/maelezo zaidi.

HELLO MPENDWA MTEJA WETU, KARIBU UJIPATIE TREI NA TABLE MATS ZA ASILI KWA UREMBO NA MATUMIZI MBALIMBALI Ongeza mvuto na ...
22/09/2026

HELLO MPENDWA MTEJA WETU, KARIBU UJIPATIE TREI NA TABLE MATS ZA ASILI KWA UREMBO NA MATUMIZI MBALIMBALI

Ongeza mvuto na mpangilio katika nafasi yako kwa trei hizi za asili, zilizotengenezwa kwa mtindo wa kipekee.

Zinafaa kwa: β€’ 🍽️ Kuhudumia chakula na vitafunwa
β€’ β˜• Kuweka chai, kahawa na vinywaji
β€’ πŸ•―οΈ Kupangia mishumaa na decor
β€’ 🏨 Hotels, BnB & Apartments
β€’ πŸ›‹οΈ Coffee table na living room
β€’ 🧺 Kupangia vitu vidogo na accessories
β€’ πŸ›οΈ Bedroom & bedside styling
β€’ πŸ’ Kubebea au ku-display maua na mapambo
πŸ§–πŸ½β€β™€οΈ SPA β€” kupanga taulo, oils, skincare na vifaa vya spa

πŸ“ž Mawasiliano:
0746 615 577
0753 106 387

πŸ“ Tupo Ardhi City Mall - Dar es Salaam
Karibu na Chuo Kikuu cha Ardhi.

Karibu uchague TREI inayokidhi mahitaji yako.

NI MUDA WA KUPENDEZA NA TOTE BAG YAKO πŸ‘œβœ¨Tote Bag yenye ubora wa hali ya juu πŸ’―, muonekano wa classy na touch ya asili ya ...
21/09/2026

NI MUDA WA KUPENDEZA NA TOTE BAG YAKO πŸ‘œβœ¨

Tote Bag yenye ubora wa hali ya juu πŸ’―, muonekano wa classy na touch ya asili ya Kiafrika. 🀎

πŸ‘œ Standard Size
πŸ’° TZS 50,000/= TU

πŸ“ Tupo Ardhi City Mall

πŸ“² CALL/WHATSAPP
0746 615 577
0753 106 387

Class yako inaanzia kwenye Tote Bag yako. 🀎✨
Karibu sana 🀍

HELLO MPENDWA MTEJA KARIBU SANA TUMEKULETEA MIKEKA MIZURI YA ASILI KWA AJILI YA KUPENDEZESHA ENEO LAKO.Mikeka ya asili s...
21/09/2026

HELLO MPENDWA MTEJA KARIBU SANA TUMEKULETEA MIKEKA MIZURI YA ASILI KWA AJILI YA KUPENDEZESHA ENEO LAKO.

Mikeka ya asili si kwa ajili ya kukalia tu.
Kwa ubunifu na mpangilio sahihi, inaweza kuwa sehemu muhimu ya interior dΓ©cor na kuipa space yako mwonekano wa asili, wa kisasa na wenye mvuto wa kipekee.

Inafaa sana kwa:

🏨 Hotels & Resorts
🏑 Apartments & Homes
πŸ›οΈ BnB / Airbnb
πŸ’†πŸ½β€β™€οΈ Spa
β˜• Restaurants & CafΓ©s
🏒 Reception & Commercial Spaces

Unaweza kuitumia k**a floor dΓ©cor, chini ya coffee table, pembeni ya sofa au kitanda, kwenye reception, lounge na maeneo mengine yanayohitaji touch ya asili.

πŸ“ INAPATIKANA KWA SIZE:
3FT ni Tsh. 60,000
4FT ni Tsh. 80,000
5FT ni Tsh 100,000
6FTni Tsh 120,000
8FT ni Tsh 150,000

πŸ“ Tunapatikana Ardhi City Mall

πŸ“² CALL/WHATSAPP
0746 615 577 | 0753 106 387

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Be boss build strong empire posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share