21/06/2017
Otea patia upate nafasi ya kushiriki nasi! Ni kitu gani na watakifanya Ijumaa hii?
1. Like & share post, tumia hashtag
2. Jumla ya washindi 5 watachaguliwa
3. Watatu ni wale watakaoshinda na wawili watakaobahatika kuteuliwa (randomly selection)
4.Washindi wote watagawiwa zawadi na Irene Uwoya balozi wa itel na watapiga nae picha ya kumbukumbu kwenye tukio hilo muhimu.