Tilla Insurance Agency

Tilla Insurance Agency Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tilla Insurance Agency, Insurance Agent, Shauri Moyo Street, Dar es Salaam.

INSURANCE AGENCY | LICENSED BY TIRA
๐Ÿ“Fire Insurance
๐Ÿ“Motor Insurance
๐Ÿ“Home Insurance
๐Ÿ“Travel Insurance
๐Ÿ“Health insurance
๐Ÿ“Marine Insurance
๐Ÿ“Goffers Insurance
๐Ÿ“Engineering Insurance
CONTACT: 0748 320 745
0657 717 575

03/07/2026
05/05/2026

Huduma za bima sasa zipo mkononi mwako!
Sasa huhitaji kusubiri au kwenda ofisini โ€”
jihudumie kirahisi kupitia simu yako ๐Ÿ“ฑ

๐Ÿ‘‰ Pata bima haraka, salama na kwa uhakika popote ulipo.

Tilla Insurance Agency โ€” Rahisi, Haraka, Salama.
๐Ÿ“ž 0748 320 745 / 0657 717 575

Ingia google andika
tillainsuranceagency1.netlify.app/

04/05/2026

Wamiliki wengi wa magari hufanya makosa kabla ya kukata bima โ€” bila hata kujua!
Makosa haya yanaweza kukugharimu pesa nyingi au kukunyima fidia pale unapo hitaji zaidi.

โš ๏ธ Epuka makosa haya:
โŒ Kuchagua bima bila kuelewa inachofunika
โŒ Kutoa taarifa zisizo sahihi
โŒ Kuchagua bei nafuu kuliko ulinzi bora
โŒ Kutokuchagua kampuni yenye uaminifu
โŒ Kutohakikisha nyaraka muhimu

๐Ÿ’ก Ushauri muhimu:
Sio kila bima inafaa kwa kila gari. Kabla ya kuchukua bima, fanya utafiti, uliza maswali, na hakikisha unaelewa kila kipengele.
Bima si gharama tu โ€” ni kinga ya maisha na mali yako.
โœ”๏ธ Chagua bima sahihi kulingana na matumizi ya gari lako
โœ”๏ธ Jilinde wewe, familia yako na mali zako

Karibu Tilla Insurance Agency
Tunakuunganisha na bima sahihi kwa:
โœ… Uhakika
โœ… Urahisi
โœ… Bei stahiki

๐Ÿ“ž 0748 320 745 / 0657 717 575
๐ŸŒ tillainsuranceagency1.netlify.app/

04/05/2026

Kuanzisha biashara ya usafirishaji ukiwa na (HIACE) unataka iwe Staff bus, School bus au Special hire kunahitaji maandalizi sahihi ili uepuke hasara na usumbufu usio wa lazima.

Haya ndiyo mambo muhimu ya kuanza nayo:

1 - Bima ya gari ya kibiashara (Commercial Insurance)
Linda gari lako dhidi ya ajali, wizi, moto na uharibifu mwingine ili biashara yako iendelee bila kusimama.

2 - Dereva mwenye (Leseni, Cheti cha LATRA)
Hakikisha dereva wako ana sifa zote halali ili kuepuka matatizo ya kisheria na kuongeza uaminifu wa huduma.

3 - Usajili wa LATRA
Sajili gari lako LATRA ili lifanye kazi kihalali na kufuata taratibu za usafirishaji nchini.

4 - Ukaguzi wa Polisi (Nenda kwa Usalama)
Fanya ukaguzi wa usalama kuhakikisha gari lako liko katika hali nzuri na linakidhi vigezo vya barabarani.

Haya yote yatakusaidia kuendesha biashara yako kwa usalama, uhalali na ufanisi zaidi.
Usiache biashara yako iwe kwenye hatari โ€” bima ni kinga ya biashara yako!

Karibu Tilla Insurance Agency tukusaidie kupata bima sahihi kwa urahisi, haraka na kwa bei nafuu.

๐Ÿ“ž 0748 320 745 / 0657 717 575
๐ŸŒ https://tillainsuranceagency1.netlify.app/โ ๏ฟฝ

01/05/2026

Heri ya Siku ya Wafanyakazi! ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ‘ฉโ€โš•๏ธ
Tunawapongeza na kuwashukuru wafanyakazi wote kwa juhudi zenu za kila siku katika kujenga taifa letu.
Kazi yenu ni thamani kubwa kwa maendeleo ya jamii na uchumi wetu. ๐Ÿ™Œ
Tilla Insurance Agency tupo pamoja nanyi kulinda maisha, mali na mustakabali wenu.
๐Ÿ“ž 0748 320 745 / 0657 717 575
๐ŸŒ https://tillainsuranceagency1.netlify.app/โ ๏ฟฝ

01/05/2026

HAPPY NEW MONTH โ€“ MAY ๐ŸŒธ
Tunawatakia mwezi mwema wa Mei uliojaa mafanikio, afya njema na furaha.
Asante kwa kuendelea kuamini Tilla Insurance Agency.
Tupo hapa kukuhudumia na kukulinda kila wakati.
๐Ÿ“ž 0748 320 745 / 0657 717 575

31/03/2026

๐Ÿš—๐Ÿ  Linda maisha yako na mali zako leo!

Katika maisha, hatari hazitoi taarifaโ€ฆ lakini bima inakupa uhakika ๐Ÿ’ฏ

Karibu Tilla Insurance Agency, tunakuletea suluhisho la kulinda:

โœ… Gari lako
โœ… Nyumba yako
โœ… Biashara yako
โœ… Afya yako

๐Ÿ’ก Tunakuhakikishia:
โœ”๏ธ Huduma ya haraka
โœ”๏ธ Bei nafuu
โœ”๏ธ Uaminifu wa hali ya juu

Usisubiri mpaka hasara itokeeโ€ฆ
Chukua hatua leo na uwe salama kesho!

๐Ÿ“ž 0748 320 745 / 0657 717 575
Tembelea website yetu ๐ŸŒ https://tillainsuranceagency1.netlify.app/

09/03/2026

Address

Shauri Moyo Street
Dar Es Salaam
57CC+W87

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tilla Insurance Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share