AzamPesa

AzamPesa Tuma pesa BURE AzamPesa kwenda Azampesa

Makato ni madogo mno kwa miamala mingine.

Okoa hadi 10%

Pakua App ufurahie unafuu wa AzamPesa

https://azampesa.sng.link/Enr10/6amx/8rlf

Mwezi bado mrefu, pea hakuna na una mipango mingi.Lakini ukiwa una OKOA na AzamPesa, unajihakikishia hela  kufika mwisho...
19/08/2026

Mwezi bado mrefu, pea hakuna na una mipango mingi.

Lakini ukiwa una OKOA na AzamPesa, unajihakikishia hela kufika mwisho wa mwezi bila presha.

Kataa Makato makubwa. Fanya miamala BUREE na AzamPesa.

Kwa maswali na maelezo zaidi tupigie: 0800 785 555

Wiki nyingine tena ya kuokoa na AzamPesa. Je, wewe umeokoa kiasi gani kwa kufanya miamala BUREE na NAFUU kwaAzamPesaPost...
18/08/2026

Wiki nyingine tena ya kuokoa na AzamPesa.

Je, wewe umeokoa kiasi gani kwa kufanya miamala BUREE na NAFUU kwa
AzamPesa

Post IG story picha ya kiasi ulichookoa. Tag marafiki, hata maadui nao waone.
Azampesa tutakuzawadia!!!

Mwisho wa ubishi umefika, mechi ya ngao ya jamii inakufikia live kwa HD kupitia AzamTv. Hakuna haja ya kwenda kujazana k...
12/08/2026

Mwisho wa ubishi umefika, mechi ya ngao ya jamii inakufikia live kwa HD kupitia AzamTv. Hakuna haja ya kwenda kujazana kwa jirani
Ofa ya CHA JUU ZAIDI inaendelea. Lipa kifurushi cha shilingi 28,000/= kwa AzamPesa upandishwe kwenda kifurushi cha shilingi 35,000/=

K**a bado hujajisajili na AzamPesa pakua App sasa kupitia Playstore/Appstore
Na ujisajili kwa alama za vidole ndani ya dakika moja tu!
https://azampesa.sng.link/Cnr10/7ndd/avvy

11/08/2026

Ngao ya Jamii tukutane Zanzibar!!!

AzamPesa inakurahisishia kukata tiketi yako ya Azam marine kwa urahisi na BUREEE!

J'tano tukutane Zanzibar, kata tiketi yako sasa.

Download application ya Azampesa ili kulipia tiketi na kwa msaada zaidi piga

06/08/2026

Mission yetu bado inaendelea!

Ni Makumbusho tena kuwatafuta watumiaji wa AzamPesa na kuwashtukiza kwa zawadi.

Kila tunapokutana na mtumiaji wa AzamPesa ni shangwe.

Usikose nafasi yako endelea kutumia AzamPesa au jisajili mapema.
Ukituona, unaweza kuondoka na tabasamu pamoja na zawadi.

Kikubwa ni kuwa na AzamPesa au wahi kujisajili utakapotuona.

Jisajili sasa kupitia Azampesa App
https://azampesa.sng.link/Cnr10/7ndd/avvy

Usikubali kuendekeza MAKATO.  Tumia Azampesa Kulipia Luku, Ving'amuzi na Bill za serikali bila makato. Lipa BURE kwa Aza...
05/08/2026

Usikubali kuendekeza MAKATO.
Tumia Azampesa Kulipia Luku, Ving'amuzi na Bill za serikali bila makato.
Lipa BURE kwa AzamPesa na mitandao yote kwa gharama sawa na Bure.

Kataa Makato. USIKUBALI kupoteza pesa kizembe.

Download AzamPesa, jisajili na NIDA chap ndani ya dakika 2 ili uanze kunufaika.

Katika Mapambano ya Maisha kutafuta Pesa. MAKATO yanakwaza na kurudisha nyuma sana.Azampesa tumeamua kukurahisishia mais...
04/08/2026

Katika Mapambano ya Maisha kutafuta Pesa.
MAKATO yanakwaza na kurudisha nyuma sana.

Azampesa tumeamua kukurahisishia maisha kwenye mwaka wako kufosi-AZAMPESA inakupa uwezo wa kutumia pesa zako kwa Uhuru na Makato yasioumiza.

Unasubiri nini sasa! Fosi na AzamPesa.
Download App & jisajili sasa uanze kufanya miamala.

31/07/2026

Agness Kapata bahati ya kukutana na Mr AzamPesa tena kwenye birthday yake. Imagine shangwe iliyokuwepo.

Tunachokifanya sisi ni kutokea mahala popote ulipo halafu... Tunakuchapa na ela.

Tulikuwa makumbusho.. Tumegawa pesa kwa watumiaji wa AzamPesa, kikubwa ni kuwa na account ya AzamPesa. Tukikutana na wewe... tunakuchapa na ela ambazo unaweza toa au lipa Bill bila Makato.

Jisajili, Download Application ya AzamPesa Sasa.

Umeshawahi Kujua ni kiasi gani cha Pesa unapoteza kila wiki kwa kufanya miamala ya simu?AzamPesa inakuwezesha kufahamu k...
29/07/2026

Umeshawahi Kujua ni kiasi gani cha Pesa unapoteza kila wiki kwa kufanya miamala ya simu?
AzamPesa inakuwezesha kufahamu kiwango cha Pesa unachookoa killa wiki kwa kufanya miamala NAFUU na AzamPesa.

Post kwenye story yako meseji yako ya kuokoa, tag na marafiki zako wawili ili kushinda zawadi kutoka AzamPesa.

Timu ya AzamPesa ilifika Njia Panda ya Shule Masjid Khadija (Kivule) na kupata fursa ya kukutana na umoja wa kina mama w...
27/07/2026

Timu ya AzamPesa ilifika Njia Panda ya Shule Masjid Khadija (Kivule) na kupata fursa ya kukutana na umoja wa kina mama wa msikiti huo, ambapo tuliwapa elimu kuhusu uwekezaji Halal kupitia huduma ya JIWEKEZEE pamoja na kuwafahamisha huduma mbalimbali zinazotolewa na AzamPesa.

Tunafurahi kuona ushiriki mkubwa, maswali yenye kujenga uelewa, na wengi wao wakichukua hatua ya kujisajili mara moja ili kuanza safari yao ya uwekezaji na huduma za kifedha kwa urahisi ,usalama na unafuu.

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AzamPesa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share